Saturday 12 January 2013

Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi? *

Ingefaa Yona kama kuna uwezekano kikundi cha wanabidii kitoke kiende kwenye machimbo wakaone hali maeneo ya artisanal mining areas yalivyo. Uhoji mtu alitoka wapi akafika hapo na amejihusisha na madini kwa muda gani. Waulize kuhusu kujiunga umoja usikie. Magazeti juzi na jana yameandika suala hili na wanashauriwa wajiunge vipi na wasaidiwe nini. Serikali inatabu sana. Wanaweza eneo lao wakaliuza kwa mwekezaji wakalipwa mahela mkupuo na kuwa wabia kupata kipato kila mwezi na kupata ajira. ifikapo kuuza eneo kazi, kujiunga umoja tabu. Kama tuonavyo ilivyongumu kumfanyamtu asitupe uchafu mtaroni ambao unakuja kuziba underground drainage channel, kisha maji na kinyesi kufurika vinamuathiri yeye ambaye wakishirikiana kimtaa na kutoa mchango wake wa 500/= wa wiki taka hizo zitazolewa. Hataki. Matende anayaona, malaria yanaua anajua, na kinyesi kinajaa ndani ya jengo mafuriko yakianza-tumezoa! Anapika biashara hapo anatupa mtaroni. Hata elimu ikitolewa atatokea mtu tu kutoa maneno kuyumbisha wengine-CCM inauza nchi, viongozi kutaka kula kumbe ni wao kufaidika, hawana vifaa wapate kusaidiwa. Wakijiunga-kuwaacha wenzao kinyemela-baadhi ya artisanal miners hufanya hivi (mfano Handeni Magambazi Canadians wanapata shida na mgogoro wao).Zonal mining offices na district ones zipo kwa msaada ila malumbano ya miners yawapo endeless inakula kwao.

Tatizo ni sisi wabantu tulivyo hatushauriki. Bomani Report-Presidential Review of the Mining Sector April 2008 imeongea mengi na kushauri pamoja na nia ya serikali kusaidia artisanal miners. Download. Mikopo, vifaa  au technolojia ya kisasa ya kuchimba, mambo ya usalama wao, masuala ya kujikinga mpaka maradhi; masuala ya mercury wanayotumia na madhara yake wanaambiwa. Lakini ni matatizo makubwa. Nenda Butiama, Nyarugusu, Mugusu, Nyangarata huko Geita, Handeni Magambazi mining site etc ubishi ni aina moja; kuchezea neurotoxin hiyo wakubwa na watoto wake kwa waume; umoja is a far fetched idea kwao ila kulalamika ndio zetu kuwa hatujaliwi. Sheria ya madini download, sheria ya ardhi, forestry zinahusika maana madini mengine wananchi wanaingia misitu ya hifadhi, catchment forest, RAMSAR site kama kilombero (wetlands).

Leseni ya kumiliki eneo kuchimba 20,000/= (50x50 metres) mkiwa na zaidi ya plot moja kundi kadhaa mkiunda ka kampuni yenu na mna leseni miliki na uchimbaji, bank akaunti na kujidhamini kichama kilichoandikishwa ni rahisi kulipo eti Juma au John kwa jina lako tu bila dhamana na mdhamini upewe tu mkopo vijaa kama maandazi ya chai haiji.

Si bongo, Kenya au nchi nyingine zinazoendelea madini haya yamekuwa kama laana hivi. Sierra Leone vita imemaliza watu, ujinga watoto hawasomi sasa ndio wakazane. DRC madini ndio vita balaa haishi mika yote hiyo artisanal miners na matajiri wa nchi hawajaweza kuungana kuchimba kwa amani kwa maendeleo ya jamii zao. TZ wasukuma wamechimba nan kuuza dhahabu kwa masonara wahindi na Ghoa DSM Story wakaishia kulimbikiza mifugo na uzao.

World Bank, UNEP wapo interested kutokana na dhima ya kupunguza Mercury Emissions of toxic metal from artisanal miners wanaotoa 35% ya emission ya mercury duniani. Hivyo nia ni kuondoa/punguza madhara haya na ya kiafya kwa watu pia. Emissions have doubled kwa sasa kutokana na uchimbaji kuongezeka kwa vile bei ya dhahabu imepanda. Udongo huwa na mercury kutokana na shughuli ya artisana mining uncontrolled pollution.
 
Hawa wachimbaji wanatuua na kwani hii mercury kuingia mitoni, maziwa, madimbwi ya maji katika samaki, maziwa ya mifugo na vyakula vingine (food chain) tulavyo kwani mvua nazo husambaza madini hayo licha ya kuingia ktk maji ya vyanzo tutumiavyo.

Wao wanaipumua mercury, kuichavanga, kuua mishipa ya fahamu- kuharibu central nervous system, kuharibu figo, ubongo, mapafu, immune system ya mwili, macho etc. ubovu wa binadamu na vilema kwa taifa la kesho. Wajawaziti wamo na kuzaa watoto vilema au mtu si mtu bali dude la ajabu. UNEP-Worls Bank wapo kusaidia kuhakikisha serikali wanakuwa na regulatory frameworks na incentive ili kuwe na transition to viable safe commercial operations; monotoring of mercury emissions na uwekaji wa data wa athari kwa watu na wanyama pori na wafugwao. Wanafanya mkutano/Mikutano ya kimataifa mwaka huu kwa suala hili huko Geneva ili kuweka mkakati wa kimataifa wa kulazimisha nchi kupunguza madhara haya kwa watu na mazingira. Hivyo takwimu za arisanal miners muhimu.

Mwenye kurudi kwao anayependa maendeleo ya kwao na afya za watu wake anakusanya Sera na sheria ya madini, sheria ya madini, anaandika madhara ya madini watumiayo kwa kusoma kutoka mtandao anaandika kiswahili rahisi-anachapa awape; sheria ya ushirika, au ya kuunda kampuni na jinsi ya kuandikisha; kuwaelekeza mfumo wa madini na kumtumia zonal mineral officer kuwaelekeza haki zao na bwana ushirika na maendeleo kuwasaidia elimu ya ushirika na jinsi ya kujiunga/kuandikisha kikundi chaa ushirika wa madini kama chao za kuzalisha mali hiyo. Wajiandikie Katiba ya chama chao, na processes nyingine zote watambulike wapate misaada na hata jinsi ya kumpata mwekezaji wajiunge naye ili wale Bata kwa raha na afya. Kuungana tatiozo kutokana na imani za kishirikina pia-mauaji na matumizi ya viungo vya binadamu. Waache haya ya analog waende digitali kwa tija ya kipato. waache anasa-kunywa pombe na kutumia fedha wapatayo kwa tabu ktk anasa tunazoziona za vibanda vya dhambi kibao migodini.

--- On Sat, 12/1/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi? *
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 12 January, 2013, 20:54

Hili suala la madini inabidi iwe mada tofauti kwa sababu imeanzishwa hapa itabidi niongee kile kilichopo sasa hivi .

Hapo zamani kidogo shida ilikuwa sio kusaidia wachimbaji wadogo wadogo shida ilikuwa ni kuwatambua na kuwa na utaratibu wa kuwasaidia kwa vifaa na mikopo mengine ili waweze kuchimba madini yao , kusafisha na kuuza kwa usalama zaidi .

Kama nilivyosema kwenye ujumbe wangu wa siku chache zilizopita ni kwamba kuna mradi unaofadhiliwa na benki ya dunia wenye lengo la kutafuta taarifa za wachimba madini wote popote walipo , idadi yao , kile wanachochimba , masoko yao ili waweze kusaidia na hii ni kwa tanzania nzima .

Kuna kampuni zimeshaanza kazi hiyo na wiki chache zilizopita taarifa za kwanza zilishatolewa na database imeanza kutengenezwa ya wachumbaji hawa .

Nawashauri wachumbaji haswa wadogo wadogo waungane ili waweze kusaidiwa na kufanya biashara yao kwa faida zaidi na wapatiwe mitaji mikubwa zaidi kwa ajili ya kukuza biashara zao na maisha yao .

Usiku mwema .

2013/1/12 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>

Kama kuna mtu anayejua sheria ya madini inasemaje kuhusu fate ya wachimbaji wadogo inakuaje kwenye maeneo yanayowekezwa na hawa matajiri wa kimagharibi anisaidie ili nimkumbushe Katibu Mkuu wa wizara ya madini ili awasaidie wakazi wanaokaa karibu na Nyamongo. Kwa.sasa wamebaki kuwa mtaji wa polisi w kuwakamata kama intruders na kula laki kwa kila kijana. Au mwenye uwezo na influence na polisi atusaidie kumwambia mzee IGP Mwema awaokoe vijana wetu

On Jan 12, 2013 9:11 AM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Ndugu zanguni watani wangu.
Haya yanayotokea Tarime ni picha ndogo lakini inayowakilisha maeneo yaliyo mengi hapa nchini.

Ni mahali pengi ambapo wananchi hawafaidiki na rasilimali zinazowazunguka. Ht wawekezaji wanatumia loop holes zilizopo katika mifumo yetu ya utawala kujineemesha na hasa wakishagundua gaps. Hebu fikiria haya maeneo yenye migodi, ni sheria au muongozo gani uliotumika kupanga halmashauri husika zipewe dola laki mbili (200000 usd)? Wananchi wahusika na ht halmashauri husika hazikushirikishwa katika mchakato mzima wa mapato haya. Ni amri toka juu ilipitisha hii flat rate bila kujali km ni madini ya mkaa, gesi,dhahabu, almasi ama ulanga.
Hiki kiasi ni kidogo sana ukinganisha na hali halisi ya mapato na kile kinachopatikana kwenye madini. Huu ni mshahara wa mtu mmoja  junior expat tena sio senior, kwenye rates za maexpert hapo migodini just kuwapeni picha. Kiasi hiki kingetolewa katika kuchangia maendeleo ya vijiji tu jirani lakini sio pato la mwaka mzima kwa halmashauri.

Nyumbani Karagwe tunaishi kwa kutegemea kahawa lakini bei ziko wapi nakila mkulima analazimishwa akauze kwenye chama tena kwa mkopo au nusu bei, wakishauza ndio mnaletewa areas ama halbaki. Akija Mganda full mkoko ananunua mara tatu au nne ya bei ya chama mnaambiwa hzmruhusiwi na hapewi kibali kununua. Hivi mnJua waliwahi kuwekwa polisi Murongo mpakani kudhibiti watu kuvusha kahawa kupeleka UgandA na baadhi ya watanzania walipoteza maisha kwa kupigwa risasi? Sasa jiulize hawa waganda wenye bei kubwa wNauza wapi buko duniani km soko la dunia ni moja? Sisi huambiwa kuwA bei ni ndogo nandio maana ht wao hutoa bei ndogo kwa wakulima.

Kwa hiyo tatizo lipo sio Tarime tu..tunahitaji mabadiliko makubwa sAna kwenye hili. Sisi kama wananchi tuna nafasi yetu kwenye hili lakini pia tunahitaji back up kubwa ya mamlaka khpitia uwajibikaji wa viongozi, wawKilizhi na taasisi za umma ili kufanikisha mabadiliko ya ukweli.

Vinginevyo ht juhudi binafzi zitakwama ama zitakwamishwa na mfumo mbovu; hasa pale siasa zinapotumika ktk kuamua maendeleo ya wananchi.

Ireneus

On Jan 11, 2013 10:10 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com> wrote:
Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (victormwita@gmail.com) Add cleanup rule | More info

This meaning that Tarime is not part of the nation. This is one of the weak points of our tribe. When one holds a big position, the next thing is to avaoid his kinsmen. Helping your place of origin has never been a bad thing only if you balance it. So Magufuli and mzee Msuya did the wrong thing to help their area to leap forward eti eeeh?

On Jan 11, 2013 9:41 PM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:
We didnt hold those positions to serve our tribes but our beloved nation.

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, January 11, 2013 7:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Mr. Mgamba u have put it right, Kuryans are known for their hard work which is a slecial attribute. Wherever they are they work hard. But i have the opinion that some people are deliberately pulling them back. We who have been fortunate to hold positions of influence should unite and be the reason for change of our society. I am trying to find a forum where we can meet and discuss means that will enable our district shine as it is supposed to be
On Jan 11, 2013 6:20 PM, "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com> wrote:
Jabir,
Tanzania ina wapumbavu wengi sana. Ndiyo maana tuko hivi.
Matinyi.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "jabir yunus" <jabirgood@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
Date: Fri, Jan 11, 2013 9:19 am

Richard's talking volume.
 
Is Mizengo Pinda one of those stooges? Once he said before journalists that Kuryas must stop to LOVE fighting.

--- On Fri, 1/11/13, RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, January 11, 2013, 3:57 AM

Hivi kweli hawa ni watu wa Tarime au ninaota?
Miaka miwili iliyopita nilisikia watu wa Tarime wasomi wameunda umoja wa Tarime, na kufanya vikao mbali mbali, sasa what happened?
 
Kwa kifupi: Tarime is no longer the domant place it used to be called. It's no longer a place of criminals or thugs as many people thought. Today, our youths are the best enterpreneurs in Mwanza, Mara and eslewhere. They have invested back home, and through their sacred efforts, we have modern hotels and many more good things.
Today in Lake zone Kurya youths are among the wealthy, contrary to four decades ago. Today, our brothers and sisters are taking their children to the best private schools in Tanzania, Kenya and elsewhere.
 
 The first thing that can change our society is stop being negative about ourselves. What we have done for this country can't be undermined by those who are naive of what we are and the values that we stand for as a society.. During the liberation struggle and post independence, our brothers sacrificed the lives becuase they wanted us to have a better country. Though at the end we were branded as the most violent, barbaric and brutal people, the truth is very clear: We have never produced wealthy individuals who made their fortunes by stealing from the government.
 
 Cattle theft was just  a minor traditional process, which in today's world, has been abandoned by many of us. We have first of all to be very proud of what we are before thinking about having our umbrella organisation for development of our people.
 
One thing I have never regretted in my life is being a Kurya because it's something that happened naturally. I never chose to be born there, but God did it for me and therefore I am proud of who I am as well as my people. While we think of having an umbrella organisation, we should first of all remember that Tarime is changing economically, politically and socially. Those who still believe we are criminals are just mere stooges who dont understand our history and values.

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 10, 2013 9:14 PM
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Ndugu yangu kama mnapenda kukutana tunaweza kuwasiliana ntaweza kuwasaidia katika kusudio hili ni muhimu sana katika kukutana kujadili na kuwa na roadmap kwa ajili ya maendeleo yenu , bila majadiliano ni ngumu kusonga mbele .

Kuhusu suala la madini uliloongelea hapo juu kuna mpango wa benki ya dunia kwa ajili ya kukusanya taarifa muhimu kuhusu wachimbaji wadogo wadogo taarifa zao na mengine mengi kwa ajili ya kuwasajili kwenye chombo kimoja kwa ajili ya kuwasaidia nchi nzima mpango kama huu umefanikiwa nchini Ghana kwa kiasi kikubwa .

Ni kujitahidi tu majadiliano au mikutano hii isiingiliwe na ajenda nyingine za kisiasa maana inaweza kuleta shida siku zijazo au hapo hapo kwa sababu hili eneo ni nyeti sio kama tunavyolijadili hapa kwenye mtandao .

2013/1/10 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>

Ili kukutana inatakiwa watu tuliowapa madaraka ya kutuongoza watukusanye na wawe na agenda. Mm nadhani tunafanya makosa wakati wa kuchaghua viongozi hasa wabunge. Just imagine tuna bahati ya kuwa na wabunge watatu na mmoja ni waziri! Wameshindwa kuinua jamii yao ipate maendeleo. Fortunately watu wa huko ni wachapa kazi sana
On Jan 10, 2013 7:10 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Tunarudi kule kule kwamba wanatarime wenyewe wanawajibu wa kuonyesha dunia na Tanzania kwa ujumla kwamba wanaweza kwa kukaa pamoja na kufanya kazi kwa pamoja ,msipokaa pamoja na ndugu zenu hata akirudi yesu hapo hamtaelewana ..

2013/1/10 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>

Nilitegemea mbunge wetu angetukusanya sisi wana Tarimw wenye taaluma mbali mbali tukawa kama think tank yake ili tutafute solution ya pamoja, but he is busy with petty politics. Nampenda January Makamba kwa kazi yake kwa wana-Bumbuli. Angekuwa wa kwetu Tarime ingekua vingine

On Jan 10, 2013 6:52 PM, "Victor Mwita" <victormwita@gmail.com> wrote:

Nilichogundua watumishi wanaopelekwa huko wanatumia udhaifu wa tofauti za koo zilizopo huko Tarime kujineemesha badala ya kuwatumikia wananchi. Yona wale watu wako frustrated kwa sababu ya kuwa neglected kwa muda mrefu kwa hiyo baada ya kufukuzwa migodini kuwapisha wawekezaji, wengi wakaanza kulima bangi for commercial purposes maana mazao hayana masoko
On Jan 10, 2013 6:39 PM, "Mathew Bukhi" <bukhimathew@gmail.com> wrote:

Chifu, 
Uhalali huo ni kwa ajili ya 'medical marijuana.

medicalmarijuana.procon.org/view.resource.php?resourceID=000881

 Yaani kama mtu amepewa prescription ya kutumia bangi kama dawa; na si kutumia bangi kwa ajili ya bangi kukubangua (kukupa ecstacy).

Ingawa nakumbuka majimbo ya Colorado na Washington walikuwa kwenye mchakato wa kulegalize recreational marijuana. Ambapo Obama kupitia federal government walikuwa wakipinga sana hilo suala. Sina uhakika na hatima yake.

On Thursday, January 10, 2013, Victor Mwita wrote:

Nimeshatoa maoni tayari kuhusu uhalali wa bangi. Hata huko USA kuna jimbo limehalalisha matumizi ya bangi
On Jan 10, 2013 4:08 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com> wrote:

Hamna bana Mwita;
Vingekuwa vya kawaida Serikali isingekuwa agaist them,unataka kuhalalisha bana Mwita.
Ukitaka viwe halali usisahau kutoa maoni yako kwenye mchakato wa katiba.

Reuben

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 10, 2013 12:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Sasa jamani bangi si ni kitu cha kawaida tu? Wala haina uhusiano na ukali. Gongo hapa mjini imejaa na sioni ikisababisha mapigano na wizi wa ng'ombe.
Seriously tunahitaji mtu wa kurekebisha hali huko Tarime maana napo ni Tanzania
On Jan 10, 2013 3:18 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>
> Comrade Mwita;
> Tatizo lingine labda nalo linaweza kuwa chanzo cha hali tete Musoma ni matumizi ya BANGE na GONGO,hizi hasira zinazosemwa zinasababishwa na ujasiri unaotokana na haya mambo mawili (hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu),wala sio ujasiri.
>  
> Reuben
>
>> ________________________________
>> From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, January 10, 2013 12:00 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>>
>> Wawakilishi tunao ila sijajua kama hawayaoni hayo matatizo yanayowakabili wapiga kura wao. Tumefanya majaribio kambi zote za siasa lakini hakuna mabadiliko.
>> Hayo ya kusema tuna hasira ni kutuonea tu, kila sehemu watu wana hasira na hata kama kweli kuna watu wenye hasira ndio wamesuswa jamani!
>> Hebu wananchi wa Tarime tuamue kufanya jambo la maana ili kuokoa jamii yetu.
>> Ila watu wa mitandao hivi kweli waliona ni busara kuweka minara yote Nyamwaga tena bondeni na kuacha sehemu za miinuko? Hata kama sijasomea masuala ya mitandao naamini kwa kuweka mnara sehemu iliyoinuka unaongeza coverage.
>>
>> On Thu, Jan 10, 2013 at 2:44 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Mtoi,
>>> Hii nayo kali "kudungua helkopta na kombea wakidhani kuwa ilikuwa
>>> imebeba dhahabu." :)
>>>
>>> --
>>> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
>>> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
>>> *
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> Victor Caleb Mwita
>> Ministry of Livestock and Fisheries Development
>> P.O. Box 9152
>> Dar Es Salaam
>> Tel: 0766750673,

--
Sent from Gmail Mobile
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
http://www.wejobs.blogspot.com/ Jobs in Africa
http://www.jobsunited.blogspot.com/ International Job Opportunities
http://www.naombakazi.blogspot.com/ --

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment