Saturday 19 January 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya Msiba: Mwalimu Lwaitama Amefiwa

Pole sana Dr. Lwaitama. Mungu akutangulie haswa katika kipindi hiki kingumu cha kuondokewa na mama mpenzi tulipenda kuendelea kuwa naye lakini Mungu wetu aliyetoa na ndie ametwa amempenda zaidi.
Eng.Towa,Jacob Jeremiah
Hohai University
No.1 xikang Road
Nanjing 210098, Jiangsu Province,
People Republic Of China
phone:+8613813924107
email:towa.jacob@yahoo.com
      towa.jacob@gmail.com
skype:jacobtowa

From: Mathew Bukhi <bukhimathew@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanazuoni@yahoogroup.com" <wanazuoni@yahoogroup.com>; "phata@yahoogroups.com" <phata@yahoogroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Sunday, January 20, 2013 12:18 PM
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya Msiba: Mwalimu Lwaitama Amefiwa

Pole sana Mwalimu Azaveli.

Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya bibi Lydia mahala pema peponi. Amina

Apumzike kwa amani.

Bukhi.

On Sunday, January 20, 2013, Chambi Chachage wrote:
Nasikitika kuwataarifu kuwa Mwalimu Azaveli Lwaitama amefiwa na mama yake mzazi mpenzi, Lydia Mukalugaisa. Msiba upo Bukoba na maziko yanatarajiwa kufanyika Jumanne. Tumpe pole mwenzetu kupitia namba hii: 0782807728. Na atakaporudi tumtembelee nyumbani kwake Jesus Village. Amen.

-------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.

Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
Skype: chambi100
Twitter: @Udadisi
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Sent from Gmail Mobile

0 comments:

Post a Comment