Thursday 24 January 2013

Re: [wanabidii] RE: WAHIFADHI NA MRADI WA BARABARA YA LAMI SERENGETI!

Hata mimi sijaweza kupata habari yoyote mpya kutoka mahakamani ila ikitokea ntaweka .

Hili suala lina maslahi kwa nchi jirani na nadhani linaweza kuleta mgogoro .

2013/1/24 <mairi.info@gmail.com>
WADAU: tafadhali naomba aliye na taarifa na kilichosomeka jana katika mahakama ya afrika mashariki, ambapo mwanasheria mkuu wa serikali alitakiwa kufika kujibu kwa niaba ya serikali juu ya mradi wa barabara ya lami serengeti.

nabaki kusubiri kwa hamu kujua kilichotendeka mahakani, na kwamba kesi imepangwa kutajwa ama kusikilizwa kwa mara nyingine tena.

Chacha Mairi
MWANA SERENGETI

 ----------
Sent from my Nokia phone

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment