Dr. Hamis Kigwangala, niseme kwa leo inatosha, tusimkatishe tamaa Samweli Sitta, ingawa Chama chenu hakieleweki mtampa matumaini mnasubiri achukue fomu mje mseme mnataka Mwanamke, na wewe bado una furaha kwa kuwa hujajeruhiwa. Ulimshika faru makalio akakusamehe. CCM ambayo wewe ni Mbunge ndiyo iliyomfikisha Mahakamani Ole sendeka kwa sakata la Millya na ndiyo iliyokuacha wewe na Bashe. ndio iliyoruhusu Sitta achukue fomu agombee Uspika mkasema mnataka zamu ya Mwanamke, Ndiyo iliyoruhusu Richmond ichunguzwe na kuiondoa hoja bungeni, ndiyo iliyoanzisha udini na sasa tunataka kuwekeana chuki, ndiyo inayofungua mashtaka na kuyafuta, ndiyo inayobambikiza kesi kama ilivyotumia gazeti la Serikali la Habari Leo kusema MwanaHalisi lisifunguliwe kwa kuwa liliandika habari za kushawishi wanajeshi waasi, Utala huo tumeshaanza kuuzoea. Ndio Utawala makini unaoandaa viongozi.... nikushukuru tu mimi na wewe tusali Mungu atuweke salama, ipo siku utaniambia nilisema ukweli. Mungu akubariki Bungeni ukapokee posho ila uulize akina nani walihudhuria msiba wa Balali, na kwanini hata Bunge halikutuma Mwakilishi, au kati ya mihimili yote nani alihudhuria kuwakilisha, kama hakuna Mwakilishi omba serikali ikupe majibu.
--- On Mon, 1/28/13, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, January 28, 2013, 12:01 AM
Isango, demokrasia inaniruhusu kusema ni nani. Namsupport na nani simsupport. Wakati wangu ukifika nitasema ila kwa sasa itoshe tu kusema kwamba 'huyu ni miongoni mwa watu makini ndani ya Taifa letu na kama atagombea kwa vyovyote vile atasumbua na. Kwangu binafsi atanipa taabu kufanya maamuzi ya kuchagua kati ya watu wangu wengine wawili, ambao tayari nimeishakuwa nikiwashawishi wagombee, mara kadhaa na mpaka sasa hawajafanya maamuzi.' Kama Mzee SS naye ataingia nitapata kazi kuchagua, na si mimi peke yangu tu, ni pamoja na ile timu yetu tuliyounda mwaka jana kwa ujumla wake! Wewe utafunguka ukipenda na kwa wakati wako, utakuwa umetumia vzr tu haki yako ya kidemokrasia. Na Sisi tutatumia haki yetu kukupinga ama kukuunga mkono hoja yako! Binafsi ninavyoona 'anafaa' kuwa Rais lakini najua atawaunga mkono vijana wake watatu ninaowafahamu lakini kama chama kikitaka kumtumia kwa miaka hii mitano (kama ambavyo amekuwa akisema yeye mwenyewe), basi atawafuta kabisa upinzani kwa kushinda kwa kishindo siku jina lake likitangazwa, maana anakubalika sana! Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Josephat Isango <joseisango@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 27 Jan 2013 23:45:09 -0800 (PST) To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais
Asante Kigwangala, Daktari kwa kuonyesha uwezo wako umeanzia wapi na unaishia wapi? Unashindwa kuwa mkweli kwa kuwa unatoka Mkoa Mmoja na Sitta? Tueleze sakata la Richmond liliishaje? Machakato wa kuilipa Dowans na kauli za Sitta, na hasara ambayo taifa linaingia sasa kwa sababu ya ushauri wake. Hatusemi sana, wakati wa kufunguka unakuja tutasema. Wewe endelea kuonyesha uwezo. Safi sana!
--- On Fri, 1/25/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: Sitta: Nafaa kuwa Rais To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Friday, January 25, 2013, 3:01 PM
Katika wanasiasa wachache waliopo huyu Mzee vana kiwango cha juu sana cha kuwa 'honest'...akigombea atawasumbua sana wenzake...ana akili nyingi sana huyu Mzee. Atanipa taabu kuchagua baina yake na wengine wawili ninaowapenda, kama watajitokeza nao ofcoz... -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment