Sunday 13 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK

Ndugu ELISA

Nilitegemea usiwe na upande angalau kwa sasa ambapo tupo kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya ambapo watu kwa makundi wamepewa fursa ya kwenda katika tume na kutoa maoni yao wengine kupitia tovuti ya tume na hata pale wajumbe wa tume wanapotembelea kwenye maeneo yao pia watoe maoni yao nashauri tutumie fursa hii kikamilifu na sasa kama wanataaluma tutumie fursa hizi kupeleka ujumbe zaidi kwa watu mbalimbali kuhusu umuhimu wa kushiriki katika katiba mpya .

Tukishiriki mchakato huu vizuri ambao wewe umeshaukashifu kwa kuuita wa warioba basi tutakuwa na katiba nzuri ambayo itapigiwa kura na wananchi wataikubali na kasoro nyingi zilizopo sasa zitaweza kumalizwa au kupunguzwa kadri ya siku zinavyoenda na kwa hili tunaona mfano wa jirani yetu kenya na katiba yao jinsi vyombo mbalimbali vinavyofanya kazi kufuata misingi waliyojiwekea wenyewe .

Kwahiyo jamani tusihangaike na washington , huko hamtapata chochote labda mtakachopata ni nyie kutumiwa kwa manufaa ya hao hao na mwisho wa siku mtekelezwe na hawa wenzetu wanafanya kazi kwa maslahi kwahiyo usitegemee kwenda washington kuomba msaada halafu wasiangalie maslahi yao kwanza kwenye suala husika .

Kwa wale wenzangu na mimi bendera kufuata upepo endeleeni na washinton zenu mkichoka nendeni beijing ila huko najua hamtapata chochote .

Wengine tuendelee kujenga nchi yetu , tuendelee kutoa maoni yetu katika katiba mpya ili tuweze kupata muongozi mzuri wa nchi yetu na kwa maslahi yetu na sio ya washington au London .

Wakati wa ukoloni umeshapita hatuna haja ya kwenda kujadili mambo ya ndani ya nchi yetu washington .

2013/1/13 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
nashukuru na kufurahi kuelewa kuwa kimsingi sote tunaona tatizo. Tunapishana namna ya tufanyeje kulitatua.
Wengine wanakwenda haraka na kukimbilia washington. Baada ya hapo tunaona waache waende huenda ikaleta akili nyingine maana waliokwenda huko hatua zilizofuata ni msituni. Hatutaki huko ila tunaonyeshana kuwa wakienda tutashangaa? ni neno kali tunaolisema na mnaolikataa hatulitaki wote. Tunaolisema bila kulitaka tunalenga litusaidie kushtuka. Unafikiri bila kulisema huko uliko kuna kushtuka? ukishindwa kunijibu bado nitakuelewa katika subsequent comments.
Niliwahi kupeleka swali (kali) kwenye mtandao wa Serikali. Nilifuatilia jibu mpaka nikasahau paswork niliyotumia.
Nikajaribu swali jepesi likajibiwa haraka.
Umetaja vyombo vya kutumia badala ya kutishana.
Natamani kujua ni chombo gani kinafanya kwa manufaa ya taifa wala si watawala. Kuna tofauti kubwa katika mambo hayo mawili. Chombo kikiwepo kwa manufaa ya taifa mtawala akienda kinyume kinamdhibiti. Haya tumeyapeleka kwenye tume na tuna mashaka kama hayatadhibitiwa. People are frastrated Yona. Things havent been going well for quite some times. nawaona jamvini mijadala ya hatari inavyojadiliwa kishabiki kama Yanga na Simba. yeyote akifunga tutalula. tutaishi.
Moja ya mapendekezo yangu kwenye tume ni ile ya waterGate na Nixon. Kama Taasisi za serikali zikitumika kuhujuma Taasisi za umma aliyehusika achukuliwe hatua.
Yanayosemekana yanafanyika au yalifanyika kuvihujumu vyama vya siasa kutumia vyombo vya umma vitakoma kama yatapita. Swali yatapita? Sitegemei tume Ya warioba na Ramadhani wayatupe. Siamini kama yatakuja. Nini maana yake?

--- On Sun, 1/13/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Re: MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 13, 2013, 3:08 AM

Shida yangu ni pale mtu mzima mzalendo unayeunga mkono kwenda washington kumaliza au kujadili matatizo yetu ya ndani na ukatishia hata kuingia msituni .

Kwanini usishauri kuhusu vitu vingine kama urekebishaji wa katiba ambapo ndio mchakato unaendelea ? tume ya uchaguzi na vyombo vyetu vya usalama ? hii yote tunaweza kujadili uwazi na kuwajibika sio kwenda msituni au kutishiana kwa aina hiyo 

2013/1/13 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Usituonee huruma, ila utuelewe. Tunajua kuwa hatujibizani na Yona ila tunajibizana na 'Yona'.

--- On Sun, 1/13/13, msiwahili@gmail.com <msiwahili@gmail.com> wrote:

From: msiwahili@gmail.com <msiwahili@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Re: MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 13, 2013, 1:19 AM

Nawaonea huruma mnaopoteza muda wenu kujibishana na Yona Maro. Such a wastage of time!

Mwamba.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 13 Jan 2013 12:05:17
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK

Yona Maro
Unaelewa maana ya nchi kuongozwa kwa sheria?

On 1/13/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Elisa kama kuingia msituni wewe sio mtu wa kwanza kusema hivyo na
> haitokuwa mara ya kwanza kwa watu kuingia msituni ila ujue kama ikiwa
> hivyo hakuna atakayefaidika , nyie sambazeni vyama vyetu , toeni sera
> zenu zikubalike mchaguliwe watu wawaamini wawaingize madarakani lakini
> kinyume na hapo mmedoda , watu wanasimama kwenye mikutano ya hadhara
> hawana agenda ya pamoja , toka mwaka 2010 mpaka sasa hivi hawasemi
> watafanya nini au wamefanya nini leo wanatuletea hii .na wewe
> unatishia kuingia msituni .
>
> Ingia msituni utapambana na sokwe na watakutoa nishai .
>
> On Jan 13, 5:19 am, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:
>> Nakuheshimu kaka na najua unajua ukweli kwenye hili!
>> On Jan 12, 2013 5:39 PM, "Yona Maro" <oldmo...@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Hii nchi inaendeshwa kwa sheria na taratibu zake zilizopo - Haiendeshwi
>> > na
>> > Washington wala New York wala matamko yao .
>>
>> > 2013/1/12 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>>
>> >> **
>> >> Kwa nini mseme kuwa sio Dr Kafumu? Kwa nini mu-msemee mtu ambaye
>> >> tayari
>> >> kasha sema tena kwa kukitilia shaka kile alicho sema?!
>>
>> >> Kauli hii ya Kafumu inasadifu kilicho ndani ya mioyo ya viongozi
>> >> waliooko
>> >> kwenye utawala unao anguka.
>>
>> >> Asicho kiamini Kafumu ndio ambacho hakiamini Bosi wake kuwa mahakama
>> >> imetendeka kazi yake kumvua ubunge! Matokeo yake Bosi naye ana
>> >> ishangaa
>> >> mahakama kumvua Kafumu ubunge kama Kafumu anavyo shangaa alio waita
>> >> wana
>> >> harakati wa magharibi.
>>
>> >> Huu ni msiba.
>> >> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>> >> ------------------------------
>> >> *From: * kimd...@gmail.com
>> >> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> >> *Date: *Sat, 12 Jan 2013 12:40:56 +0000
>> >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>> >> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> >> *Subject: *Re: [wanabidii] MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK
>>
>> >> Nadhani huyu siyo Dr. Peter Kafumu aliyegombea ubunge Igunga na kama
>> >> ni
>> >> yeye maadinko haya yanatupa picha ya mhusika! Katika karne hii baadhi
>> >> ya
>> >> wasomi kama ndugu yetu, mwenye PhD, bado tunaona mfumo wa chama kimoja
>> >> ni
>> >> sahihi! Very Interesting! Kweli bado tuna mwendo mrefu na inatia shaka
>> >> kama
>> >> tutafika
>> >> Idriss Mussa
>> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>> >> ------------------------------
>> >> *From: * Dr Peter D Kafumu <kaf...@yahoo.com>
>> >> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> >> *Date: *Sat, 12 Jan 2013 03:40:44 -0800 (PST)
>> >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>> >> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> >> *Subject: *Re: [wanabidii] MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK
>>
>> >> Hivi wale vijana aaliokufa morogoro na kule singida mbona wao
>> >> hawatambuliki kuwa ni wahanga wa siasa hizi chafu za kiamgharibi za
>> >> vyama
>> >> vingi?
>>
>> >> --- On *Sat, 1/12/13, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>* wrote:
>>
>> >> From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>> >> Subject: [wanabidii] MWANGOSI NA DR ULIMBOKA WAMUWEKA PABAYA JK
>> >> To: wanabidii@googlegroups.com
>> >> Date: Saturday, January 12, 2013, 8:44 AM
>>
>> >> KUUAWA kikatili kwa mwandishi wa habari wa Channel Ten, Daudi Mwangosi
>> >> na
>> >> tukio la kutekwa, kuteswa kwa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari nchini,
>> >> Dk.
>> >> Steven Ulimboka, limechukua sura mpya ambapo sasa limetinga katika
>> >> Seneti
>> >> ya Marekani, Tanzania Daima Jumamosi limeelezwa.
>>
>> >> Taarifa kutoka Washington nchini Marekani zinasema Rais Jakaya Kikwete
>> >> amelalamikiwa rasmi katika Seneti na wanaharakati na watetezi wa haki
>> >> za
>> >> binadamu nchini, na kwamba masuala hayo sasa yatafikishwa kwenye
>> >> Shirika la
>> >> Umoja wa Mataifa la Kutetea Haki za Binadamu (UNHRC) kwa hatua zaidi.
>>
>> >> Mbali na mauaji ya Mwangosi na tukio la Dk. Ulimboka, Rais Kikwete pia
>> >> amelalamikiwa kwa kufumbia macho matukio mengi ya kuteswa na kuuawa
>> >> kwa
>> >> raia pamoja na kufungiwa kwa gazeti la kila wiki la uchunguzi la
>> >> MwanaHalisi, kutoroshwa wanyama hai kwa kupelekwa nje ya nchi na hatua
>> >> ya
>> >> polisi kutumia silaha za kivita kupambana na raia wasio na silaha
>> >> wakiwemo
>> >> wanafunzi wanaoandamana.
>>
>> >> Ripoti hiyo ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu yenye
>> >> kurasa
>> >> 27, inatuhumu utawala wa Rais Kikwete kwa kukandamiza demokrasia kwa
>> >> kutumia polisi na vyombo vingine vya dola.
>>
>> >> Watetezi hao wa haki za binadamu, wamedai kuwa baada ya kufanikiwa
>> >> kuingiza masuala haya ya ukiukwaji wa haki za binadamu katika Seneti
>> >> ya
>> >> Marekani, sasa wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha suala hili
>> >> linafikishwa Umoja wa Mataifa kwa kile walichokiita, kuiadabisha
>> >> serikali.
>>
>> >> Kwa mujibu wa nyaraka zilizopatikana, na pia kusambazwa katika baadhi
>> >> ya
>> >> taasisi za habari, suala hilo liko mikononi mwa Seneta Kerry, ambaye
>> >> baada
>> >> ya majadiliano katika Seneti, ripoti hiyo itapelekwa UNHRC.
>>
>> >> Habari zinasema baadhi ya wajumbe wa Seneti waliofanikiwa kuona ripoti
>> >> hiyo wamemeshitushwa na kile walichokishuhudia katika picha
>> >> zilizoambatanishwa.
>>
>> >> Aidha, ripoti hiyo pia imeeleza jinsi rushwa ilivyoshamiri nchini,
>> >> ukandamizaji juu ya uhuru wa maoni na matumizi mabaya ya vyombo vya
>> >> dola
>> >> kudhibiti vyama vya upinzani na kutumia silaha za kivita kupambana na
>> >> raia
>> >> wasio na silaha.
>>
>> >> Ripoti hiyo ya kuishitaki Serikali ya Kikwete, pia imelaani vitendo
>> >> vya
>> >> polisi kusambaratisha maandamano ya wanafunzi wa shule za msingi jijini
>> >> Dar
>> >> es Salaam, walioandamana Julai 31, mwaka jana kupinga ukosefu wa
>> >> walimu
>> >> nchini.
>>
>> >> Mgomo wa wanafunzi ulikuja baada ya walimu wa shule za msingi na
>> >> sekondari kupitia jumuiya yao - Chama cha Walimu Tanzania (CWT) –
>> >> kuitisha
>> >> mgomo nchi nzima wa kutaka kuboreshwa kwa mazingira ya kazi zao,
>> >> nyongeza
>> >> ya mishahara na malimbikizo ya posho.
>>
>> >> Nyaraka zilizowasilishwa na wanaharakati hao, zimeambatanishwa na
>> >> picha
>> >> zinazoonesha namna Jeshi la Polisi lilivyohusika kuuawa kwa Mwangosi,
>> >> picha
>> >> mbaya ya maiti ya mwanahabari huyo, na namna Kamanda wa Polisi wa Mkoa
>> >> wa
>> >> Iringa, Michael Kamhanda alivyokuwa akishuhudia askari wake
>> >> wakimsulubu
>> >> mwanahabari huyo kabla ya kufunga kazi kwa kumaliza uhai wake.
>>
>> >> Kadhalika, kumeambatanishwa picha zinazoonesha maiti za watu waliouawa
>> >> wakati wa maandamano huko Arusha, na ile inayosadikiwa kutokea kule
>> >> Songea.
>> >> Picha nyingine za kusikitisha ni zile zinazoonesha askari zaidi ya
>> >> watano
>> >> wakimdhibiti mwanaharakati mmoja katika maandamano, na umati wa
>> >> wanafunzi
>> >> wa shule za msingi wakiandamana, huku nyingine zikionesha askari
>> >> mwenye
>> >> silaha ya kivita akimsindikiza mwanafunzi wa kike mwenye mfuko wa
>> >> madaftari.
>>
>> >> Tangu mwaka 2005 ambapo masuala mazito ya rushwa yamekuwa yakiibuliwa,
>> >> ikiwamo ununuzi wa rada feki, wizi wa fedha za umma kutoka kwenye
>> >> Akaunti
>> >> ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mkataba
>> >> tata
>> >> wa Richmond, ukusanyaji wa kodi, utoroshwaji wa wanyama hai, wizi wa
>> >> nyara
>> >> za serikali, ikiwamo pembe za ndovu, baadhi ya wananchi wamekuwa
>> >> wakituhumu
>> >> serikali kushindwa kuchukua hatua.
>>
>> >> Vilevile, wananchi wamekuwa wakituhumu Serikali ya Kikwete, kukumbatia
>> >> wezi wa fedha za umma katika halmashauri za miji na wilaya, uporaji wa
>> >> ardhi unaofanywa na makampuni makubwa ya ndani na nje ya nchi.
>>
>> >> Jana, Tanzania Daima Jumamosi haikufanikiwa kumpata Mkurugenzi wa
>> >> Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu kuzungumzia iwapo serikali ina
>> >> taarifa
>> >> juu ya jambo hili kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita muda wote bila
>> >> kupokelewa.
>>
>> >> Kova ajivua
>> >> Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Suleiman Kova jana
>> >> ametangaza rasmi kujivua katika sakata zima la kuchunguza kutekwa na
>> >> kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Ulimboka.
>>
>> >> Aidha, Kova pia amekanusha madai ya kuunda tume kuchunguza suala hilo,
>> >> akitaka asiulizwe jambo lolote, huku akisukuma tukio hilo kwa wakubwa
>> >> wake.
>>
>> >> Juzi, Kamanda Kova aliliambia Tanzania Daima kwamba, jana angeweka
>> >> wazi
>> >> suala hilo ili Watanzania wajue kilichojiri kuhusiana na kutekwa na
>> >> kuteswa
>> >> kwa Dk. Ulimboka, jambo ambalo limetikisa anga, likiwemo lile la
>> >> kukamatwa
>> >> kwa raia wa Kenya, Mulundi anayedaiwa kuhusika na tukio hilo.
>>
>> >> Hata hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, jana Kamanda Kova aliruka
>> >> kimanga na kudai kwamba wenye uwezo wa kulitolea maelezo ni wakuu wake
>> >> wa
>> >> kazi, kwa maana ya Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
>>
>> >> Kuhusu kuundwa kwa kamati ya kuchunguza utekaji huo, Kova alisema
>> >> kilichofanyika wakati huo ni kuundwa kwa jopo la uchunguzi ambalo
>> >> taarifa
>> >> zake hazina ulazima wa kutolewa mbele ya jamii zaidi ya kutumika kwa
>> >> ajili
>> >> ya utekelezaji wa kile walichokibaini.
>>
>> >> Alisema baada ya kukamilisha kazi yake, alipeleka jukumu la kupeleleza
>> >> sakata hilo katika ofisi ya mkurugenzi wa makosa ya jinai nchini (DCI)
>> >> ambayo ndiyo yenye jukumu la kutoa maelezo.
>>
>> >> Chanzo: Tanzaniadaima 12 Jan, 2013.
>> >> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>
>> >> --
>> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1601.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroup...>
>> >> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> >> facts
>> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>> >> you
>> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> >> Guidelines.
>>
>> >>  --
>> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma

>> >> must be presented responsibly. Your continued membership
>>
>> ...
>>
>> read more »
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment