Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MARAIS WA ZAMANI WA ZANZIBAR WATAKA MUUNGANO WA MKATABA!

Kaka Neville,
Kwa maneno matamu kama aliyoyasema Salmin, Moyo na Karume mbele ya Warioba hata na mimi ninaweza kuwa wasemaji wao!
Good news, Kaka Neville, hazitaki msemaji maalumu kutangazwa!

..bin Issa.



From: Neville Meena <nevilletz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, January 21, 2013 10:23:02 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: MARAIS WA ZAMANI WA ZANZIBAR WATAKA MUUNGANO WA MKATABA!

Jussa anawezaje kuwa msemaji wa Karume na Dk Salmin?

2013/1/21 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Kaka Matinyi,
Kama ungeliishi Pemba labda ungelifahamu hawa Wazanzibari wanasema au wanataka nini.
Anyway, labda ipo siku utawafahamu!

..bin Issa.


From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: saidissa100@yahoo.com
Sent: Monday, January 21, 2013 9:54:22 AM
Subject: RE: MARAIS WA ZAMANI WA ZANZIBAR WATAKA MUUNGANO WA MKATABA!

Wanachozungumzia Watanzania hawa wawili, Salmin na Karume, ni kuuvunja Muungano kwa kuwa hakuna kitu kama hicho kinachoitwa Muungano wa Mkataba. Kwani huu hauna mkataba? Hiyo mifano waliyoitoa siyo miungano ingawa inatumia neno "muungano" na hili ni suala la uelewa tu.
 
Kwa hiyo wao hazungumzii MUUNGANO bali wanazungumzia kuuvunja Muungano uliopo.
 
Tusichanganye mambo. Hakuna Muungano wa nchi mbili zenye madaraka yote ndani na nje. Hakuna.
 
Matinyi.
 


0 comments:

Post a Comment