Tuesday 22 January 2013

Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013

Labda hujaiangalia hiyo data-ipo by occupation, migration and marital status. Sio vibarua tu. Hata civil servants, brokers, mine owners, bar owners etc.

Inategemea priority upatapo fedha unaiweka wapi-kulewa, investment, kulimbikiza mifugo, kilimo, kusomesha etc. Maeneo ya Geita kati ya artisanal miners 100 sita tu (6) ndio wamefanya cha maendeleo. hapo Mererani si umeona picha ya bus la abiria, mabango, bar, kuna NGOs na VCT services, Zahanati ya GVT  na huduma zote. Magari mtindo mmoja, biashara na vinyweo, wenyeji wazawa na migrants. Yaani sikio la kufa ktk suala la ukimwi. Kipato umekiona. Nakuwekea picha nyingine ya Kijiji cha wilaya ya Simanjiro -LoiborSirrent uone vijana wanavyofanya vitu vyao kwa kutumia hela hiyo ya madini. tantizo ni mabadiliko ya land use-kilimo cha plough treka ktk wildlife conservation area (kijiji kipo ktk conservation area hiyo), ulimbikizaji mifugo na land degradation, destruction of water sources masuala ya kuangalia kutokana na mabadiliko ya mfumo wa kiuchumi wa jamii ambayo ilikuwa hailimi. Hoarding mifugo for wealth status, unalima unauza na unapata chakula na pesa kutumia ktk masuala mengine. Mifugo unaiponya kwa kuuza kwa kitu kikubwa zaidi sio kununua mahindi/unga na mahitaji madogo. Wauza madini hata DSM wana mitaa yao na wanunuzi wao na wanatembea kwa magari ya fahari-Benz. fika wachimbako bongo maeneo mengine uone ya kusikitisha badala ya kufurahisha. Mwisho ardhi hubaki makorongo, nyumba nyasi, kuhama toka mine moja kwenda nyingine maendeleo duni kutokana na kutokuwa na malengo ya maendeleo bali kupata leo na kutumia kesha utatafuta tena. Pamoja na mabango na elimu ya HIV-watu huweka sikio pembeni-data inakuonyesha na si data hii tu ya Mererani ya huyo kijana hata za maeneo mengine TZ. Vibarua-hawana cha kupoteza tena wale sio married. Tatizo ni wale married/wenye partner halafu wanajitadi wanaaminiana hawatumii kinga-umezagaa ktk maisha ya mahusiano ya muda mrefu/ndoa kuliko kinyume chake. Na mkiwa marafiki kisha kuzoeana-mnaacha kumbe ndio kupakazana-hamkupima-tumezoeana ndio lugha zoefu. Picha ya zahanai ipo ktk thesis na nyingine nyingi zikuweka zote-sorry. hata usafiri wa maji kwa landrover, punda, brokers males, female etc. tuandamane lakini -tujitume kikazi, tuzalishe pale tulipo. Reasoned action muhimu-twaweza sio siasa tu. Mwanasiasa andamana nao hapo kijijini kupinga kubweteka kwao, wanachangia maji na mifugo, vyoo hawana, tofari za kuchoma wanauza lakini protection of a traditional drinking water hawafanyi wanahara, kipindumbindu. Mbolea ipo-hawaweki shambani-huwahamasishi na kuweka viashiria na muda ukague uone wamefanya. Ila upo-Gas, Gas, Gas-tu! Wajibu wako ktk bottom-up development hakuna. Kama mwendo wa kifataki hivi-yatia huruma!! Thanks Martin.

--- On Tue, 22/1/13, martin pius <malagila01@yahoo.co.uk> wrote:

From: martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 22 January, 2013, 2:53

Hildegard,

Nlitamani sana kusoma taarifa yote ya utafiti ili niweze kuchangia zaidi. Taarifa hii inaeleza kwa ufinyu sana mambo halisi ya Mererani. Haioneshi kwamba wanaopata fedha, wale wauzaji wa Tanzanite iliyochimbwa nawakwenda kujenga wapi au wanawekeza wapi. Kwa taarifa yako, pamoja na kwamba madini hayo yako Manyara lakini uwekezaji mkubwa unafanyika Arusha. Kuna mtaa Arusha ukifika hapo utakua Wamasai kibao wanauza madini yao na mafanikio yao utaanza kuyaona kuanzia kwenye sura zao.

Wale wanaoathirika na UKIMWI pale ni vibarua tu. Watu waliokwenda kule kwa kutegemea watapata kitu. Wakati mwingine wanajikuta hawana hata mlo wanaangukia kwenye umasikini. Mererani hakuna barabara ya lami iliyofika kule. Barabara ni mbovu kwa miaka yote hiyo ya uchimbaji!!!!! Hakuna hospitali kuna kizahanati tu. Mbona hajakipiga picha ukione???

Yapo mengi ila kikubwa we dont have guided development na kwa kuwa tuko confused si wajamaa si mabepari hata direction hatuwezi kuwa nayo.

Matin

--- On Mon, 21/1/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 21 January, 2013, 17:31

Ifike siku wanabidii watembelee maeneo ya machimbo ya madini ya aina mbalimbali wakajionee. Halafu tujiulize kama tutafika. Muhimu kutembelea wanakolalamika uone raslimali zilizopo na jamaa tunafanya nini kila tukiamka. Reasoned Action ikiwepo ndani yenu na Self-Efficacy katika kujiletea maendeleo, kujituma sio kulalama tu na attribution ya sababu daima nje yetu sisi hatumo-hatutafika. Naambatisha study ya kijana mmoja alifanyia Mererani. Pamoja na nafasi iliyopo,angalia kipato, mazingira ya maisha na masuala ya HIV pre-disposing factors. Tunadai maendeleo lakini si serious ktk utendaji. tumebweteka sana na longolongo nyingi ndio tatizo.

--- On Mon, 21/1/13, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 21 January, 2013, 13:08

hii inaashira jambo, serikai lazima itumie hekima ya hali ya juu hapa,kuna haja ya kuanza kuangalia maana ikiendelea hv na sisi tutaanza kuzuia tanzanite zetu kumilikiwa na wageni na sisi kuendelea kuwa maskinmi huku mererani na ars kwa ujumla.Zito kabwe amechanganua vzr ktk maandiko yake ktk gazeti la rai last week, ukipata muda soma.Wananchi wahusika ikitokezea resources flani ipatikane eneo lao basi kuwepo na sheria ya wao kukubali na kuwepo na utaratibu wa wao kufaidi kutokana na resource hy.Ukienda nyamongo, wegita kule, ukienga geita, kahama, mererani watu wanaoishi ktk vijiji hivyo ni masikini kabisa why? kuna haja ya kuangalia sheria zetu na hata katiba yetu inayokuja kuangalia mambo haya jamani. serikaliu iwe macho na kama hakuna hekima hali hii itaenea kote, haya ni maandamano ya kudai maendeleo yao, so wanapaswa wapewe majibu sahihi ili watoe ridhaa

--- On Mon, 1/21/13, john mahaba <mahabajo@yahoo.com> wrote:

From: john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, January 21, 2013, 2:47 AM

Huu i mwanzo tu lakini yapo maeneo mengi ambayo yanashughuli za aina hii
zinazowachanganya wananchi, mfano: madini yanayochimbwa hapa nchini
yanaenda ku processiwa wapi, na je kama huko kuchakatwa kungefanyika
hapa nchini vijana wetu wasingepata ajira? viongozi wetu wabadilike kwani kama
ni kuwavumilia tumewavumilia vya kutosha na tayari tunaanza kuamka.

From: heri rashid <herirashid@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, January 19, 2013 2:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013

Kwa maoni yangu, Suala la gas Mtwara huenda hatujalifahamu! Inasafirishwa kwenda Dar kwa ajili ya nini? na kwanini Dar na si sehemu nyingine? Kwani hakuna njia nyingine ya kusafirisha hadi tutumie mabomba? Bandari ya Mtwara itapanuliwaje wakati rasilimali kama hizi zingetumika kuipanua. Tusishabikie maneno ya wanasiasa waliofisika kimawazo na wanaoona kila kitu kiwe Dar.
 
Mawazo yangu Mitambo ya kusafisha ijengwe palepale Mtwara, gas itoke pale ikiwa tayari kwa matumizi sio crude ikasafishe Dar. kwa kufanya hivyo tunafanya maeneo mengine kuendelea na mengine kubaki gizani. Hii ni fursa ya kufungua maeneo ya kusini ambayo kwa mda mrefu yamesahaulika.
 
Tusitishiane kuwa wawekezaji watakimbia, watakaokimbia hawako serious na uwekezaji.

--- On Sat, 1/19/13, nchunguye festo <nchunguye1971@yahoo.com> wrote:

From: nchunguye festo <nchunguye1971@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, January 19, 2013, 3:07 AM

Yona kwa nadharia nakukubali. Hili haliwezekani ndani ya mfumo na utawala tulio nao. UTOPIA at its best

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, January 19, 2013 1:57 PM
Subject: [wanabidii] Re: MAANDAMANO MAKUBWA MTWARA - 19.01.2013

Waachiwe waandamane ni haki yao ya msingi kuandamana na kusema mawazo
yao wako huru kabisa .

Uhuru wao unaishia pale wanapoanza ubinafsi wa kwanza hiki ni chetu
sio cha watanzania , watanzania wengine hawaruhusiwi kunufaika na hivi
na vile hiyo sio sahihi .
Lazima watambue maeneo ya kusini yanafaidika zaidi na mradi wa gesi na
mafuta kwa kipindi kirefu kijacho nitatoa mfano kidogo chini .

Bandari zao zitapanuliwa na kuwa kubwa kwa ajili ya biashara hii ya
mafuta na gesi , wataweza kuuza sio dsm tu maeneo mengine ya nchi na
nchi jirani haswa kusini mwa nchi kama Malawi , Zambia , msumbiji .

Kuna hoteli n huduma nyingine mbalimbali zitajengwa na zimeanza
kujengwa kutokana na sekta hii ya mafuta maeneo ya kusini kwa ajili ya
wafanyakazi na wadau wengine wa biashara maeneo hayo .

Vyuo vya ufindi na mashule yatajengwa kutokana na vipato vinavyotokana
na sekta hii kwa ajili ya kuandaa wafanyakazi wa sekta hii na nyingine
zinazofanana kwa kipindi kirefu .

Sasa wananchi wakianza maandamano sasa hivi na virugu wajue fursa
nyingi watapoteza , wawekezaji wanaotoa mitaji yao kwa ajili ya ujenzi
na miundombinu ya mafuta na mengine wanapenda kuhakikishiwa usalama
wao na wa mali zao kwanza ndio mengine yaendelee .

Waangalie wasije wakakosa vyote , wasipoangalia itakuwa kama north
mara na maeneo mengine ya migodi kwenye vurugu ambapo makampuni
yanaweka mageti makubwa walinzi na silaha wao utawaona kwenye ndege
kutoka na kuingia tu .

On Jan 19, 1:41 pm, Sylvanus Kessy <frke...@yahoo.com> wrote:
> Ndugu wanabidii
> Mzimu wa Gas unaendelea kuitafuna nchi, ukianzia huku Mtwara. Leo wananchi wamehamasishana Wilaya zote, za Lindi na Mtwara ili kupinga GAS ISITOKE  Mtwara.
>
> Hakika Elimu na makubaliano yanahitajika. Viongozi wanaohusika watafute Hekima ya hali ya juu kutatua tatizo hili. Tukiendelea kusema ni wahuni watafanya mambo ya kihuni na tutapata hasara kubwa zaidi!
> sylvanus

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment