Sunday 20 January 2013

Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Dr. Lwaitama, nakushukuru kwa kunifagilia huku ukinishughulikia kichini chini...hahahahahaaa! Nimekusoma.
Sidhani kama Salim ana nia ya kugombea tena Urais baada ya kugaragazwa kipindi kile na timu kali ya vijana wanasiasa machachari, sidhani kwa kweli kama ana hamu tena. Pia sikuelewi hata wewe kwa nini unapendekeza Dr. Salim asimamishwe kugombea Urais, labda unielimishe hapo kwanza. 

Ila pia napendekeza, tuache ushabiki, uende objectively kabisa ukasome mchango wangu ambao nimeutoa nikishauri CDM hapa kisha uniambie kama siyo wenye mantiki ama si wa ukweli mtupu - ikibidi hata unitumie private meseji.

Regards,
HK. 

2013/1/20 Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Kumbe Dr Kigwangala bado yu anaendelea na "Operation Chafua Slaa"? Nadhani atapata nafasi aelekeze akili yake kwenye ushauri niliotoa kwa chama changu kitukutu cha CCM mitarafu kumteu a Dr Salim kuwa ngombea urais 2015 maana walau huyo nahisi hata Dr Slaa anaweza kumpa kura. Ila sijui CCM hii ambayo mara kadhaa imemtosa hata Dr Kigwangala kwenye maswala ya rasilimali za nchi  kule Nzega sijui kama itamsikiliza huyu kijana  wangu Kigwangwala mwenye akili nyingi anazotumia kufanya kazi hizi za ajabu  ajabu  utekelezaji "Operation Chafua  Dr.Slaa"!!!
Mwl. Lwaitama 
 
Date: Sun, 20 Jan 2013 04:36:49 -0800

Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
From: pasamila292000@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

HK
Wewe na Yona hamtamkubali Dr Slaa kwa sab zenu binafsi au kwa sab za CCM
 
Lakini jamaa hakamatiki!

2013/1/20 <kimdr53@gmail.com>
Yona nashauri naomba urudie unisome tena! Sidhani kama utakuwa umelewa ujumbe wangu!
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
Date: Sun, 20 Jan 2013 11:27:33 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Dr Idrisa anatokea wapi ni nani na nimsome kwenye maneno yapi?

Acha kutumika kuwa chafua watu waliokuzidi umri kwa hoja za kulazimisha. Wanao kutumia kama karai watakuja kukuacha nje baada ya ujenzi wao.

Ndugu Maro wewe kama kijana ni wakati mujarabu ufungue jicho na kuona unacho kitetea na kukisimamia kama kina manufaa kwako na kwa taifa kwa ujumla.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Sun, 20 Jan 2013 14:09:12 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Ndugu Mtoi soma maneno ya Dr Idriss Vizuri.

Kwa kumalizia nasisitiza tena uache dharau , kushambulia watu binafsi na uwe unajibu hoja usilete vihoja .

Usidhani unatetea chama chako au kufurahisha wanachama wenzako kwa kauli zako za ajabu ajabu .

Heshimu michango ya wenzako na wenzako kwa ujumla ili tuendelee kujenga nchi yetu kwa mijadala mbalimbali hapa jukwaani .

2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Kama kuna bingwa wa kupindisha mada hapa jukwaani basi wewe unaweza kupata nishani. Ili mada isipinde jibu basi hilo ulilolileta wewe kwenye mada hii hilo la linalokuhusu F0S achana nalo.

Weka ushahidi. Lini, mada gani, na mwaka gani nilionywa na yoyote kuhusu kushambulia watu binafsi na kuwadharau. Weka ushahidi twende mbele, vinginevyo wewe ni mpotoshaji na mfitini kama ulivyo fanya kwenye hii mada.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Sun, 20 Jan 2013 13:07:19 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Kwa tabia ya Kupindisha mada kwa kuongeza maneno yasiyofaa ili kubadili mwelekeo unaokupendeza wewe hiyo ni dharau tosha , bora ukae kimya usijibu chochote kuliko kuingiza vitu ambavyo havihusiki na mada husika , tujitahidi kujikita kwenye mada husika na mtiririko wake .

Heshima ianzie hapo .

2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Ndugu Maro.
Tuanzie hapa. Toa ushahidi wa watu walionionya kwa kuwadharau na kuwashambulia hapa jukwaani kama ulivyosema.

Ukiweza kuweka ushahidi huu mrahisi ndio tutaenda kwa Dr Slaa ambaye ulikula pesa kuhamasisha ashinde uraisi ile 2010 kupitia FOS.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 20 Jan 2013 01:18:56
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Kama uzushi sema kile unachokijua wewe , huyu ni kiongozi wa umma
hawezi kuachwa kuendelea tu hivi hivi bila kuhojiwa au kutoa majawabu
ya maswali anayoulizwa hata kama hayapendezi watu ila ni wapiga kura
hao hao wanaouliza na kuhoji .

Kwa ushauri kama huwezi kupambana kwa hoja hata kama ni propaganda
unyamaze kuliko kutukana na kujidhalilisha mwenyewe na chama .

Unaweza ukiwa unadhani unaokoa chama na kutetea kumbe ndio unazidi
kukipaka matope chama na baadhi ya wafuasi wake pale unapojibu kwa
dharau na matusi juu yake .

Mwisho hii namba yako ya simu haipatikani , nimekutafuta toka juzi .

On Jan 20, 12:08 pm, Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com> wrote:
> HK & co
> Hakuna hoja hapa,bali uzushi,na kudhihirisha hilo umechukua maneno ya
> kipuuzi yaliyotelewa na Shonza kuyafanya ndio justification ya uzushi
> huu dhidi ya Dr Slaa.Narudia tena kuwa mpango wenu huu umeshindwa hata
> kabla ya kuanza
>
> On 1/20/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwanga...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Ephata,
>
> > Kumjadili Slaa siyo kujadili watu bali ni kumtazama kwa jicho la karibu
> > kiongozi wa Taasisi nyeti ya kisiasa nchini na mwenendo wake, maana
> > ameingia katika race ya watu wanaotafuta kuiongoza taasisi nyeti (namba
> > moja kwa umuhimu) ndani ya nchi yetu...hivyo si jambo la kushangaza kama
> > tukimjadili...
>
> > Hoja ya Yona ina mantiki sana: Hebu tuangalie yale mambo ya usaliti kwa
> > viongozi wenzake wa chama, yeye anajilipa mamilioni ya fedha - zaidi ya
> > 10m, wakati viongozi wa mikoa wanaohaingaika kukijenga chama huko hawapati
> > hata hela ya mafuta ya pikipiki kwa ajili ya kwenda kutafuta wanachama.
> > Mchumba wake analipwa mshahara, na anasafiri ziara za kikazi na kupokelewa
> > kama kiongozi wa kitaifa huko mikoani wakati siyo, ilhali wengine wenye
> > hadhi hizo hawapewi chochote, hakuna kadi za BAVICHA (cf. Juliana Shonza's
> > press release)
>
> > Lakini hata hivyo ni Wilbrod Slaa anayezunguka mikoani na kuchoma kadi za
> > uanachama wa CCM za watu wanaohamia CDM wakati yeye kaitunza na anailipia
> > vizuri kabisa ya kwake.
>
> > Ni huyu huyu Wilbrod Slaa anayezunguka mikoani akifukuza uanachama wenzake
> > kwa makosa ya uongo, na kwa fitna tu bila hata kufuata utaratibu wa chama,
> > cf. Nzega, Mwanza, Ilemela, Arusha, Mbeya, Mbozi - kote huko ametosa watu
> > lakini yeye ni 'untouchable' wa CDM asiyetenda dhambi na ni mtakatifu! CDM
> > wanatakiwa waimarishe mifumo yao ya uongozi wa chama na siyo wahangaike
> > kulinda watu tu na majina yao, watu wana-perish na wengine (kama akina
> > Slaa) ni vigeugeu, wanabadilika na hivyo kitu pekee ambacho kitabaki kama
> > kikimarishwa ni chama kama taasisi...period!
>
> > Regards,
> > HK.
>
> > 2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>
> >> Mwl Lwaitama.
> >> Kwanza nakupa tena pole kwa mara ya pili kwa kuondokewa na bibi yetu.
> >> Kipenzi, kwa kuwa sisi wote tutakufa kama alivyo kufa bibi (mama yako)
> >> binafsi nafurahi bibi anaondoka akiwa ametuachia hazina kubwa ya bongo
> >> lenye kubungua bongo.
>
> >> Pili nakupongeza kwa ulicho kifanya hapa! umeweka kisu kwenye shingo huku
> >> kikiwa kimegusa mshipa wa fahamu na kulengeta taratibu kama hutaki vile
> >> lakini huku wenye njaa tukiwa na uhakika wa kushiba.
>
> >> Mwenye macho haambiwi tazama.
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >> ------------------------------
> >> *From: * Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukaluga...@hotmail.com>
> >> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> >> *Date: *Sun, 20 Jan 2013 07:48:15 +0000
> >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> >> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> >> *Subject: *RE: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> isipomteuwa 2015
>
> >> Yona Maro,
> >> Mimi nipo  Bukoba kumzika mama yangu mzazi aliyefariki Ijumaa lakini
> >> siwezi kukaa kimya mada kama hii yako inapojitokeza. Wewe unaugomvi gani
> >> na
> >> huyu baba wa watu Dr Slaa?  Kutofautiana kuhusu umuhimu wa ukapera kwa
> >> mapadre wa Kikatoliki  ni swala zito lililochangia kuanzishwa kanisa la
> >> Kiluteri na Kiangilikana na wala wale mapadre walioamua kuoa si kwamba
> >> wametosa imani yao kwa Mungu na Yesu Mungu Mwana. Pia, kuoa halafu
> >> mkatengana si jambo jipya lilioamzishwa na Dr. Slaa na *wala wale
> >> wanaotalikiana si lazima kuwa wametosana!!  Halafu, *Dr Slaa kuhama CCM
> >> kwenda Chadema *ulikuwa uamuzi   mgumu wa wapiga kura wa Karatu * *na Dr
> >> Slaa alitii tu  uamuzi wao *pale CCM ilipowatosa wapiga kura wa Karatu
> >> kwa kutomteua agombee kwa tiketi ya CCM, *si Dr Slaa aliyetosa CCM bali
> >> CCM iliyotosa WanaKaratu *nao wakamshauri Dr Slaa awasaidie waitose!!
>
> >> Mwaka 2010 Dr Slaa katu  hakujipendekeza agombee Urais kwa tiketi Chadema
> >> bali Chadema walimbembeleza agombee. Sasa wewe hoja ya eti 2015 Dr Slaa
> >> anaweza kuitosa Chadema wasipomteua unaipta kwenye mtirirko upi wa
> >> kimantika wa tabia ya Dr Slaa?!!!  Chadema  kikimteua yeyeto kinayeona ni
> >> busara kumteu yeye Dr Slaa atapita kila kona ya Tanzania kumnadi   huyo
> >> mgombea wa Chadema tena nashauri waanze sasa  hivi kushawishi Dr Salim
> >> Ahmed Salim awe mgombea wao  akikubali!!!!Ahahaha!!!! Si wewe unakumbuka
> >> jinsi  Nyerere alivyomnadi Mkapa 1995  akawabwaga  wagombea wenine ndani
> >> ya
> >> CCM  na nchini  ambao umaarufu wao ulisukumwa mbele na jajajaja za
> >> mafisa.
>
> >> Wewe unapita Tanzania hipi?  Kila ninapopita Tanzania hii wananchi wa
> >> kawaida wanamkubali Dr Slaa kama  Nyerere wa leo pamoja na mapungufu
> >> yake.
> >> Hata mama yangu nitakaye mzika Jumanne alinidokezea kabla ya kufa  kwake,
> >> akiwa na miaka kati ya 90 na 95, kuwa naye sasa anakubali  kuwa Dr
> >> Sla  ndiye haswa anayefanana na  Nyerere   kisiasa kwa leo, *agombee au
> >> hasigombee 2015*!  Wewe endele tu na hizi hoja za siasa uchwara za
> >> kutukana na Dr Slaa,  kalaghabao, zinamjenga wala hazimbomoi ng'o!!!
> >> Badala
> >> ya hoja hizi za kitoto washauri hivi hao wanokutuma ndani ya CCM:
>
> >> CCM ikubali seriakli 3  na urais wa Muungano wa kupokezana  kipindi
> >> kimoja
> >> tu  cha miaka  saba Tanzania Bara  na  miaka saba Tanzania Zanzibar  na
> >> halafu  CCM ipendekeze Dr Salim  Ahmed Salim kuwa ngombea wake 2015 kama
> >> Mzanzibari wa kwanza kuanza mtitiriko huu wa Urais wa Muungano. Urais
> >> utakao kuwa wa nembo na ushauri zaidi kuliko matumizi ya misuli ya dola.
> >>  Halafu ikubali mapendekeza ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar
> >> kuongozwa  kila sehemu hizi zilizosawa za Muungano  kila mmoja na Waziri
> >> Mkuu ambaye pia atakuwa moja kwa moja  Makamu wa Rais. Rais akitoka
> >> Zanzibar basi Waziri Mkuu wa Tanzania Bara atakuwa ndiye  kwa moja
> >> atakaye
> >> kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano na Waziri Mkuu wa Tanzania
> >> Zanzibar atakuwa Makamu wa pili wa Rais wa Muungano. Mawaziri Wakuu
> >> watachanguliwa na mabunge ya sehemu mbili  husikia  za dola moja na nchi
> >> moja ya  ya *Tanzania* yaani *Bunge la Tanzania Bara *na  * Bunge la
> >> Tanzania Zanzibar *kutokana na wabunge wa chama chenye viti vingi  katika
> >> Bunge husika. Leta hapa hoja zenye ubunifu kuhusu taasisi na   jinsiya
> >> kuchota uzoefu na busara  za Watanzania makini kama Dr Salim Ahmed Salim
> >>  na Dr Wibrold Slaa na si zakuwabeza na kuwatukana vile eti wanamapungufu
> >> haya au yale. Nani hasiye na mapungufu duniani humu , bwana?!!
> >> Mwl. Lwaitama
>
> >>  > Date: Sun, 20 Jan 2013 07:40:48 +0300
> >> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> > isipomteuwa
> >> 2015
> >> > From: nanyar...@gmail.com
> >> > To: wanabidii@googlegroups.com
>
> >> > Yona Maro
> >> > Wewe unamtaka Mtoi asishambulie watu binafsi wewe unamshambulia Dr
> >> > Slaa binafsi,na ni mwendelezo wa kazi maalum mliyopewa na
> >> > waliowatuma,mkifikiri mkakati huo utamdhoofisha Dr Slaa,hii ni kwa
> >> > kuwa wengi wenu hamlali kwa ajili yake.Kwa kadri mnavyomshambulia yeye
> >> > binafsi ndivyo mnavyofanya imani ya mamilioni ya Watanzania kuendelea
> >> > kumwamini.Mpango wenu huu umefeli hata kabla ya kuanza kazi,pole sana
> >> > NB,wewe kama moderator wa bidii usishushe hadhi ya bidii kwa kuleta
> >> > umbeya na stori za kusadikika hapa jukwaani,heshimu jukwaa.
>
> >> > On 1/19/13, KULWA MAGWA <magwakulw...@gmail.com> wrote:
> >> > > mbona mjadala huu umejaa ubabe?
>
> >> > > 2013/1/19 heche suguta <hechesugut...@yahoo.com>
>
> >> > >> Hebu tuache akili finyu za kujadili watu tujadili vitu na masuala
> >> > >> sio
> >> > >> watu
> >> > >> hizo ni akili finyu...
>
> >> > >> ------------------------------
> >> > >> *From:* Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >> > >> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> > >> *Sent:* Saturday, January 19, 2013 8:45 AM
> >> > >> *Subject:* [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> > >> isipomteuwa
> >> > >> 2015
>
> >> > >> Hii ni Code Language kwa wanaoelewa wameelewa kwa wasioelewa waombe
> >> > >> kueleweshwa sio kushambulia muwasilishaji kwa sababu tu ametoa
> >> > >> mawazo
> >> > >> tofauti .
>
> >> > >> Hiyo ni mbaya sana , hatutafika popote .
>
> >> > >> On Jan 19, 5:03 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> >> > >> > Kha mkuu Yona hii hoja umeandika mwenyewe kweli hii au kahawa
> >> > >> > street
> >> > >> manake
> >> > >> > sishawishiki kabisa kuwa pamoja na nia nzuri ya kututaadharisha
> >> kuhusu
> >> > >> Dr.
> >> > >> > Slaa, imekaa kiuswahili swahili sema tu linalokulinda hapa uhuru
> >> > >> > wa
> >> > >> kusema
> >> > >> > chochote.
>
> >> > >> > Hebu kabla hatujavuka mpaka na kutoa maoni yasiyo stahili tutendee
> >> haki
> >> > >> > uende ziada ya maelezo uliotoa mkuu
>
> >> > >> > 2013/1/19 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>
> >> > >> > > **
> >> > >> > > Weston.
> >> > >> > > Nilimaanisha mleta mada! Pole kama nitakuwa nimekukwaza mkuu!
> >> Wakati
> >> > >> > > mwingine inatubidi kutoa majibu ya kufyatuka kwa sababu ya hoja
> >> > >> > > za
> >> > >> kipuuzi.
> >> > >> > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >> > >> > > ------------------------------
> >> > >> > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> >> > >> > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> >> > >> > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 03:18:43 -0800 (PST)
> >> > >> > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> >> > >> > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> >> > >> > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> > >> > > isipomteuwa
> >> > >> > > 2015
>
> >> > >> > > Mtoi,
>
> >> > >> > > Sijamtosa mama Ngina wangu. au ulimaanisha yule aliyeanzisha
> >> > >> > > mada
> >> > >> > > hii?
>
> >> > >> > > --- On *Sat, 1/19/13, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>*
> >> wrote:
>
> >> > >> > > From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
> >> > >> > > Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> isipomteuwa
> >> > >> 2015
> >> > >> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> >> > >> > > Date: Saturday, January 19, 2013, 3:14 AM
>
> >> > >> > > Wewe mwenyewe mmetosana na mke wako kaa kimya!
> >> > >> > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >> > >> > > ------------------------------
> >> > >> > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> >> > >> > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> >> > >> > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 02:50:49 -0800 (PST)
> >> > >> > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> >> > >> > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> >> > >> > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
> >> > >> > > isipomteuwa
> >> > >> > > 2015
>
> >> > >> > > Hakuna mwanadamu asiyetosa. Wewe mwenyewe kumbuka umetosa
> >> > >> > > mangapi?
> >> > >> > > Tumeumbwa ili tutose. Na kutosa ndo kubadilika. Mwisho wa siku
> >> hata
> >> > >> dunia
> >> > >> > > tunaitosa, au inatutosa?
>
> >> > >> > > --- On *Sat, 1/19/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>* wrote:
>
> >> > >> > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >> > >> > > Subject: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> >> 2015
> >> > >> > > To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> >> > >> > > Date: Saturday, January 19, 2013, 2:39 AM
>
> >> > >> > > Ndugu zangu
>
> >> > >> > > Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa
> >> > >> > > akaamua
> >> > >> > > kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya kidunia
> >> > >> > > .
>
> >> > >> > > Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi kufikishana
> >> > >> > > mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba matunzo
> >> ya
> >> > >> > > watoto aliowatosa .
>
> >> > >> > > Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye kura
> >> > >> > > wakati
> >> > >> > > alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la
> >> karatu .
>
> >> > >> > > Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu wa
> >> > >> > > wabunge
> >> > >> > > na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi
> >> > >> > > hiyo
> >> ya
> >> > >> > > kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
>
> >> > >> > > Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama
> >> alivyoitosa
> >> > >> > > CCM miaka ya 90 ?
>
> >> > >> > > Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3 na
> >> > >> > > kuendelea na maisha tu .
>
> >> > >> > > --
> >> > >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > >> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> > >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> >> kudhibitisha
> >> > >> > > ukishatuma
>
> >> > >> > > Disclaimer:
> >> > >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
> >> any
> >> > >> legal
> >> > >> > > consequences of his or her postings, and hence statements and
> >> facts
> >> > >> must be
> >> > >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that
> >> you
> >> > >> agree
> >> > >> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> >> Guidelines.

> >> > >> --
> >> > >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > >> ukishatuma
>
> >> > >> Disclaimer:
> >> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> > >> legal
> >> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must
> >> > >> be
> >> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree
> >> > >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> >> > > --
> >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> > > ukishatuma
>
> >> > > Disclaimer:
> >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be
> >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to
> >> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> > --
> >> > Ephata Nanyaro
> >> > P.o.box 15359
> >> > Arusha
> >> > +255 754 834152
> >> > Skype.nanyaro.ephata
>
> >> > --
> >> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> > Disclaimer:
> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> >> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> --
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> > --
> > "Vision is the ability to see the invisible!"
> > Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
> > P.O.Box 22499,
> > Dar es salaam.
> > Tanzania.
> > Phone No: +255 754 636963
> >                 +255 782 636963
> > website:www.peercorpstrust.orgorwww.hamisikigwangalla.com
> > Email: hamisi.kigwanga...@peercorpstrust.org or i...@hamisikigwangalla.com
> > Skype ID: hkigwangalla
> > Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Ephata Nanyaro
> P.o.box 15359
> Arusha
> +255 754 834152
> Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment