Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

haaaaa ni bora ukapenda chama kuliko ukipenda kiongozi wa
chama. maana siku akiondoka itabidi na wewe uondoke nae.
Nilijifunza hilo nilipokishabikia NCCR miaka 1995 . Alipoondoka
lyatonga 1997 nikabaki njia panda na ndio yeye aliyenitoa ccm
1995. Sasa nipo neutral

Regards

xn

2013/1/21 mngonge <mngonge@gmail.com>:
> Nawashauri walioanzisha hoja hii ya kumjadili Dr. Slaa kama Slaa
> badala ya kuijadili Chadema kama Chadema watafute njia nyingine
> mbadala maana huo wimbo wa Dr.Slaa tumeuchoka maskioni mwetu.
>
> Wanataka kutwambia shida yao ni Slaa kama Slaa au shida yao ni
> Chadema? Na je Chadema wakiamua kumsimamisha mtu tofauti na Slaa
> katika uchaguzi ujao watajiunga Chadema? Ni vyema wakawa wazi kwamba
> shida yao ni Chadema na wala siyo Slaa kama wanavyojaribu kutuongopea.
>
> Mwacheni mzee wa watu apumzishe kichwa na kuyawaza yaliyo ya msingi,
> ebu anzeni kutuandikia profile za viongozi wengine munaofikiri wanafaa
> kuliongoza taifa ili tupate nafasi ya kuwalinganisha uwezo wao
> kiutendaji pamoja na integrity ya huyo Dr. Slaa
>
> 2013/1/20 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>:
>> Dr. Lwaitama, nakushukuru kwa kunifagilia huku ukinishughulikia kichini
>> chini...hahahahahaaa! Nimekusoma.
>> Sidhani kama Salim ana nia ya kugombea tena Urais baada ya kugaragazwa
>> kipindi kile na timu kali ya vijana wanasiasa machachari, sidhani kwa kweli
>> kama ana hamu tena. Pia sikuelewi hata wewe kwa nini unapendekeza Dr. Salim
>> asimamishwe kugombea Urais, labda unielimishe hapo kwanza.
>>
>> Ila pia napendekeza, tuache ushabiki, uende objectively kabisa ukasome
>> mchango wangu ambao nimeutoa nikishauri CDM hapa kisha uniambie kama siyo
>> wenye mantiki ama si wa ukweli mtupu - ikibidi hata unitumie private meseji.
>>
>> Regards,
>> HK.
>>
>>
>> 2013/1/20 Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
>>>
>>> Kumbe Dr Kigwangala bado yu anaendelea na "Operation Chafua Slaa"? Nadhani
>>> atapata nafasi aelekeze akili yake kwenye ushauri niliotoa kwa chama changu
>>> kitukutu cha CCM mitarafu kumteu a Dr Salim kuwa ngombea urais 2015 maana
>>> walau huyo nahisi hata Dr Slaa anaweza kumpa kura. Ila sijui CCM hii ambayo
>>> mara kadhaa imemtosa hata Dr Kigwangala kwenye maswala ya rasilimali za nchi
>>> kule Nzega sijui kama itamsikiliza huyu kijana wangu Kigwangwala mwenye
>>> akili nyingi anazotumia kufanya kazi hizi za ajabu ajabu utekelezaji
>>> "Operation Chafua Dr.Slaa"!!!
>>> Mwl. Lwaitama
>>>
>>> ________________________________
>>> Date: Sun, 20 Jan 2013 04:36:49 -0800
>>>
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
>>> 2015
>>> From: pasamila292000@gmail.com
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>
>>> HK
>>> Wewe na Yona hamtamkubali Dr Slaa kwa sab zenu binafsi au kwa sab za CCM
>>>
>>> Lakini jamaa hakamatiki!
>>>
>>>
>>>
>>> 2013/1/20 <kimdr53@gmail.com>
>>>
>>> Yona nashauri naomba urudie unisome tena! Sidhani kama utakuwa umelewa
>>> ujumbe wangu!
>>> Idriss Mussa
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>>> ________________________________
>>> From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 20 Jan 2013 11:27:33 +0000
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
>>> 2015
>>>
>>> Dr Idrisa anatokea wapi ni nani na nimsome kwenye maneno yapi?
>>>
>>> Acha kutumika kuwa chafua watu waliokuzidi umri kwa hoja za kulazimisha.
>>> Wanao kutumia kama karai watakuja kukuacha nje baada ya ujenzi wao.
>>>
>>> Ndugu Maro wewe kama kijana ni wakati mujarabu ufungue jicho na kuona
>>> unacho kitetea na kukisimamia kama kina manufaa kwako na kwa taifa kwa
>>> ujumla.
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> ________________________________
>>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 20 Jan 2013 14:09:12 +0300
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
>>> 2015
>>>
>>> Ndugu Mtoi soma maneno ya Dr Idriss Vizuri.
>>>
>>> Kwa kumalizia nasisitiza tena uache dharau , kushambulia watu binafsi na
>>> uwe unajibu hoja usilete vihoja .
>>>
>>> Usidhani unatetea chama chako au kufurahisha wanachama wenzako kwa kauli
>>> zako za ajabu ajabu .
>>>
>>> Heshimu michango ya wenzako na wenzako kwa ujumla ili tuendelee kujenga
>>> nchi yetu kwa mijadala mbalimbali hapa jukwaani .
>>>
>>> 2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>>>
>>> Kama kuna bingwa wa kupindisha mada hapa jukwaani basi wewe unaweza kupata
>>> nishani. Ili mada isipinde jibu basi hilo ulilolileta wewe kwenye mada hii
>>> hilo la linalokuhusu F0S achana nalo.
>>>
>>> Weka ushahidi. Lini, mada gani, na mwaka gani nilionywa na yoyote kuhusu
>>> kushambulia watu binafsi na kuwadharau. Weka ushahidi twende mbele,
>>> vinginevyo wewe ni mpotoshaji na mfitini kama ulivyo fanya kwenye hii mada.
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> ________________________________
>>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 20 Jan 2013 13:07:19 +0300
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
>>> 2015
>>>
>>> Kwa tabia ya Kupindisha mada kwa kuongeza maneno yasiyofaa ili kubadili
>>> mwelekeo unaokupendeza wewe hiyo ni dharau tosha , bora ukae kimya usijibu
>>> chochote kuliko kuingiza vitu ambavyo havihusiki na mada husika , tujitahidi
>>> kujikita kwenye mada husika na mtiririko wake .
>>>
>>> Heshima ianzie hapo .
>>>
>>> 2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>>>
>>> Ndugu Maro.
>>> Tuanzie hapa. Toa ushahidi wa watu walionionya kwa kuwadharau na
>>> kuwashambulia hapa jukwaani kama ulivyosema.
>>>
>>> Ukiweza kuweka ushahidi huu mrahisi ndio tutaenda kwa Dr Slaa ambaye
>>> ulikula pesa kuhamasisha ashinde uraisi ile 2010 kupitia FOS.
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 20 Jan 2013 01:18:56
>>> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
>>>
>>> Kama uzushi sema kile unachokijua wewe , huyu ni kiongozi wa umma
>>> hawezi kuachwa kuendelea tu hivi hivi bila kuhojiwa au kutoa majawabu
>>> ya maswali anayoulizwa hata kama hayapendezi watu ila ni wapiga kura
>>> hao hao wanaouliza na kuhoji .
>>>
>>> Kwa ushauri kama huwezi kupambana kwa hoja hata kama ni propaganda
>>> unyamaze kuliko kutukana na kujidhalilisha mwenyewe na chama .
>>>
>>> Unaweza ukiwa unadhani unaokoa chama na kutetea kumbe ndio unazidi
>>> kukipaka matope chama na baadhi ya wafuasi wake pale unapojibu kwa
>>> dharau na matusi juu yake .
>>>
>>> Mwisho hii namba yako ya simu haipatikani , nimekutafuta toka juzi .
>>>
>>> On Jan 20, 12:08 pm, Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com> wrote:
>>> > HK & co
>>> > Hakuna hoja hapa,bali uzushi,na kudhihirisha hilo umechukua maneno ya
>>> > kipuuzi yaliyotelewa na Shonza kuyafanya ndio justification ya uzushi
>>> > huu dhidi ya Dr Slaa.Narudia tena kuwa mpango wenu huu umeshindwa hata
>>> > kabla ya kuanza
>>> >
>>> > On 1/20/13, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwanga...@gmail.com> wrote:
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> > > Ephata,
>>> >
>>> > > Kumjadili Slaa siyo kujadili watu bali ni kumtazama kwa jicho la
>>> > > karibu
>>> > > kiongozi wa Taasisi nyeti ya kisiasa nchini na mwenendo wake, maana
>>> > > ameingia katika race ya watu wanaotafuta kuiongoza taasisi nyeti
>>> > > (namba
>>> > > moja kwa umuhimu) ndani ya nchi yetu...hivyo si jambo la kushangaza
>>> > > kama
>>> > > tukimjadili...
>>> >
>>> > > Hoja ya Yona ina mantiki sana: Hebu tuangalie yale mambo ya usaliti
>>> > > kwa
>>> > > viongozi wenzake wa chama, yeye anajilipa mamilioni ya fedha - zaidi
>>> > > ya
>>> > > 10m, wakati viongozi wa mikoa wanaohaingaika kukijenga chama huko
>>> > > hawapati
>>> > > hata hela ya mafuta ya pikipiki kwa ajili ya kwenda kutafuta
>>> > > wanachama.
>>> > > Mchumba wake analipwa mshahara, na anasafiri ziara za kikazi na
>>> > > kupokelewa
>>> > > kama kiongozi wa kitaifa huko mikoani wakati siyo, ilhali wengine
>>> > > wenye
>>> > > hadhi hizo hawapewi chochote, hakuna kadi za BAVICHA (cf. Juliana
>>> > > Shonza's
>>> > > press release)
>>> >
>>> > > Lakini hata hivyo ni Wilbrod Slaa anayezunguka mikoani na kuchoma kadi
>>> > > za
>>> > > uanachama wa CCM za watu wanaohamia CDM wakati yeye kaitunza na
>>> > > anailipia
>>> > > vizuri kabisa ya kwake.
>>> >
>>> > > Ni huyu huyu Wilbrod Slaa anayezunguka mikoani akifukuza uanachama
>>> > > wenzake
>>> > > kwa makosa ya uongo, na kwa fitna tu bila hata kufuata utaratibu wa
>>> > > chama,
>>> > > cf. Nzega, Mwanza, Ilemela, Arusha, Mbeya, Mbozi - kote huko ametosa
>>> > > watu
>>> > > lakini yeye ni 'untouchable' wa CDM asiyetenda dhambi na ni mtakatifu!
>>> > > CDM
>>> > > wanatakiwa waimarishe mifumo yao ya uongozi wa chama na siyo
>>> > > wahangaike
>>> > > kulinda watu tu na majina yao, watu wana-perish na wengine (kama akina
>>> > > Slaa) ni vigeugeu, wanabadilika na hivyo kitu pekee ambacho kitabaki
>>> > > kama
>>> > > kikimarishwa ni chama kama taasisi...period!
>>> >
>>> > > Regards,
>>> > > HK.
>>> >
>>> > > 2013/1/20 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>>> >
>>> > >> Mwl Lwaitama.
>>> > >> Kwanza nakupa tena pole kwa mara ya pili kwa kuondokewa na bibi yetu.
>>> > >> Kipenzi, kwa kuwa sisi wote tutakufa kama alivyo kufa bibi (mama
>>> > >> yako)
>>> > >> binafsi nafurahi bibi anaondoka akiwa ametuachia hazina kubwa ya
>>> > >> bongo
>>> > >> lenye kubungua bongo.
>>> >
>>> > >> Pili nakupongeza kwa ulicho kifanya hapa! umeweka kisu kwenye shingo
>>> > >> huku
>>> > >> kikiwa kimegusa mshipa wa fahamu na kulengeta taratibu kama hutaki
>>> > >> vile
>>> > >> lakini huku wenye njaa tukiwa na uhakika wa kushiba.
>>> >
>>> > >> Mwenye macho haambiwi tazama.
>>> > >> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> > >> ------------------------------
>>> > >> *From: * Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukaluga...@hotmail.com>
>>> > >> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> *Date: *Sun, 20 Jan 2013 07:48:15 +0000
>>> > >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> *Subject: *RE: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> isipomteuwa 2015
>>> >
>>> > >> Yona Maro,
>>> > >> Mimi nipo Bukoba kumzika mama yangu mzazi aliyefariki Ijumaa lakini
>>> > >> siwezi kukaa kimya mada kama hii yako inapojitokeza. Wewe unaugomvi
>>> > >> gani
>>> > >> na
>>> > >> huyu baba wa watu Dr Slaa? Kutofautiana kuhusu umuhimu wa ukapera
>>> > >> kwa
>>> > >> mapadre wa Kikatoliki ni swala zito lililochangia kuanzishwa kanisa
>>> > >> la
>>> > >> Kiluteri na Kiangilikana na wala wale mapadre walioamua kuoa si
>>> > >> kwamba
>>> > >> wametosa imani yao kwa Mungu na Yesu Mungu Mwana. Pia, kuoa halafu
>>> > >> mkatengana si jambo jipya lilioamzishwa na Dr. Slaa na *wala wale
>>> > >> wanaotalikiana si lazima kuwa wametosana!! Halafu, *Dr Slaa kuhama
>>> > >> CCM
>>> > >> kwenda Chadema *ulikuwa uamuzi mgumu wa wapiga kura wa Karatu * *na
>>> > >> Dr
>>> > >> Slaa alitii tu uamuzi wao *pale CCM ilipowatosa wapiga kura wa
>>> > >> Karatu
>>> > >> kwa kutomteua agombee kwa tiketi ya CCM, *si Dr Slaa aliyetosa CCM
>>> > >> bali
>>> > >> CCM iliyotosa WanaKaratu *nao wakamshauri Dr Slaa awasaidie waitose!!
>>> >
>>> > >> Mwaka 2010 Dr Slaa katu hakujipendekeza agombee Urais kwa tiketi
>>> > >> Chadema
>>> > >> bali Chadema walimbembeleza agombee. Sasa wewe hoja ya eti 2015 Dr
>>> > >> Slaa
>>> > >> anaweza kuitosa Chadema wasipomteua unaipta kwenye mtirirko upi wa
>>> > >> kimantika wa tabia ya Dr Slaa?!!! Chadema kikimteua yeyeto
>>> > >> kinayeona ni
>>> > >> busara kumteu yeye Dr Slaa atapita kila kona ya Tanzania kumnadi
>>> > >> huyo
>>> > >> mgombea wa Chadema tena nashauri waanze sasa hivi kushawishi Dr
>>> > >> Salim
>>> > >> Ahmed Salim awe mgombea wao akikubali!!!!Ahahaha!!!! Si wewe
>>> > >> unakumbuka
>>> > >> jinsi Nyerere alivyomnadi Mkapa 1995 akawabwaga wagombea wenine
>>> > >> ndani
>>> > >> ya
>>> > >> CCM na nchini ambao umaarufu wao ulisukumwa mbele na jajajaja za
>>> > >> mafisa.
>>> >
>>> > >> Wewe unapita Tanzania hipi? Kila ninapopita Tanzania hii wananchi wa
>>> > >> kawaida wanamkubali Dr Slaa kama Nyerere wa leo pamoja na mapungufu
>>> > >> yake.
>>> > >> Hata mama yangu nitakaye mzika Jumanne alinidokezea kabla ya kufa
>>> > >> kwake,
>>> > >> akiwa na miaka kati ya 90 na 95, kuwa naye sasa anakubali kuwa Dr
>>> > >> Sla ndiye haswa anayefanana na Nyerere kisiasa kwa leo, *agombee
>>> > >> au
>>> > >> hasigombee 2015*! Wewe endele tu na hizi hoja za siasa uchwara za
>>> > >> kutukana na Dr Slaa, kalaghabao, zinamjenga wala hazimbomoi ng'o!!!
>>> > >> Badala
>>> > >> ya hoja hizi za kitoto washauri hivi hao wanokutuma ndani ya CCM:
>>> >
>>> > >> CCM ikubali seriakli 3 na urais wa Muungano wa kupokezana kipindi
>>> > >> kimoja
>>> > >> tu cha miaka saba Tanzania Bara na miaka saba Tanzania Zanzibar
>>> > >> na
>>> > >> halafu CCM ipendekeze Dr Salim Ahmed Salim kuwa ngombea wake 2015
>>> > >> kama
>>> > >> Mzanzibari wa kwanza kuanza mtitiriko huu wa Urais wa Muungano. Urais
>>> > >> utakao kuwa wa nembo na ushauri zaidi kuliko matumizi ya misuli ya
>>> > >> dola.
>>> > >> Halafu ikubali mapendekeza ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar
>>> > >> kuongozwa kila sehemu hizi zilizosawa za Muungano kila mmoja na
>>> > >> Waziri
>>> > >> Mkuu ambaye pia atakuwa moja kwa moja Makamu wa Rais. Rais akitoka
>>> > >> Zanzibar basi Waziri Mkuu wa Tanzania Bara atakuwa ndiye kwa moja
>>> > >> atakaye
>>> > >> kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano na Waziri Mkuu wa Tanzania
>>> > >> Zanzibar atakuwa Makamu wa pili wa Rais wa Muungano. Mawaziri Wakuu
>>> > >> watachanguliwa na mabunge ya sehemu mbili husikia za dola moja na
>>> > >> nchi
>>> > >> moja ya ya *Tanzania* yaani *Bunge la Tanzania Bara *na * Bunge la
>>> > >> Tanzania Zanzibar *kutokana na wabunge wa chama chenye viti vingi
>>> > >> katika
>>> > >> Bunge husika. Leta hapa hoja zenye ubunifu kuhusu taasisi na
>>> > >> jinsiya
>>> > >> kuchota uzoefu na busara za Watanzania makini kama Dr Salim Ahmed
>>> > >> Salim
>>> > >> na Dr Wibrold Slaa na si zakuwabeza na kuwatukana vile eti
>>> > >> wanamapungufu
>>> > >> haya au yale. Nani hasiye na mapungufu duniani humu , bwana?!!
>>> > >> Mwl. Lwaitama
>>> >
>>> > >> > Date: Sun, 20 Jan 2013 07:40:48 +0300
>>> > >> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> > isipomteuwa
>>> > >> 2015
>>> > >> > From: nanyar...@gmail.com
>>> > >> > To: wanabidii@googlegroups.com
>>> >
>>> > >> > Yona Maro
>>> > >> > Wewe unamtaka Mtoi asishambulie watu binafsi wewe unamshambulia Dr
>>> > >> > Slaa binafsi,na ni mwendelezo wa kazi maalum mliyopewa na
>>> > >> > waliowatuma,mkifikiri mkakati huo utamdhoofisha Dr Slaa,hii ni kwa
>>> > >> > kuwa wengi wenu hamlali kwa ajili yake.Kwa kadri mnavyomshambulia
>>> > >> > yeye
>>> > >> > binafsi ndivyo mnavyofanya imani ya mamilioni ya Watanzania
>>> > >> > kuendelea
>>> > >> > kumwamini.Mpango wenu huu umefeli hata kabla ya kuanza kazi,pole
>>> > >> > sana
>>> > >> > NB,wewe kama moderator wa bidii usishushe hadhi ya bidii kwa kuleta
>>> > >> > umbeya na stori za kusadikika hapa jukwaani,heshimu jukwaa.
>>> >
>>> > >> > On 1/19/13, KULWA MAGWA <magwakulw...@gmail.com> wrote:
>>> > >> > > mbona mjadala huu umejaa ubabe?
>>> >
>>> > >> > > 2013/1/19 heche suguta <hechesugut...@yahoo.com>
>>> >
>>> > >> > >> Hebu tuache akili finyu za kujadili watu tujadili vitu na
>>> > >> > >> masuala
>>> > >> > >> sio
>>> > >> > >> watu
>>> > >> > >> hizo ni akili finyu...
>>> >
>>> > >> > >> ------------------------------
>>> > >> > >> *From:* Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>>> > >> > >> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >> > >> *Sent:* Saturday, January 19, 2013 8:45 AM
>>> > >> > >> *Subject:* [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> > >> isipomteuwa
>>> > >> > >> 2015
>>> >
>>> > >> > >> Hii ni Code Language kwa wanaoelewa wameelewa kwa wasioelewa
>>> > >> > >> waombe
>>> > >> > >> kueleweshwa sio kushambulia muwasilishaji kwa sababu tu ametoa
>>> > >> > >> mawazo
>>> > >> > >> tofauti .
>>> >
>>> > >> > >> Hiyo ni mbaya sana , hatutafika popote .
>>> >
>>> > >> > >> On Jan 19, 5:03 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>>> > >> > >> > Kha mkuu Yona hii hoja umeandika mwenyewe kweli hii au kahawa
>>> > >> > >> > street
>>> > >> > >> manake
>>> > >> > >> > sishawishiki kabisa kuwa pamoja na nia nzuri ya
>>> > >> > >> > kututaadharisha
>>> > >> kuhusu
>>> > >> > >> Dr.
>>> > >> > >> > Slaa, imekaa kiuswahili swahili sema tu linalokulinda hapa
>>> > >> > >> > uhuru
>>> > >> > >> > wa
>>> > >> > >> kusema
>>> > >> > >> > chochote.
>>> >
>>> > >> > >> > Hebu kabla hatujavuka mpaka na kutoa maoni yasiyo stahili
>>> > >> > >> > tutendee
>>> > >> haki
>>> > >> > >> > uende ziada ya maelezo uliotoa mkuu
>>> >
>>> > >> > >> > 2013/1/19 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>>> >
>>> > >> > >> > > **
>>> > >> > >> > > Weston.
>>> > >> > >> > > Nilimaanisha mleta mada! Pole kama nitakuwa nimekukwaza
>>> > >> > >> > > mkuu!
>>> > >> Wakati
>>> > >> > >> > > mwingine inatubidi kutoa majibu ya kufyatuka kwa sababu ya
>>> > >> > >> > > hoja
>>> > >> > >> > > za
>>> > >> > >> kipuuzi.
>>> > >> > >> > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania
>>> > >> > >> > > Network
>>> > >> > >> > > ------------------------------
>>> > >> > >> > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
>>> > >> > >> > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> > >> > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 03:18:43 -0800 (PST)
>>> > >> > >> > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >> > >> > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> > >> > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> > >> > > isipomteuwa
>>> > >> > >> > > 2015
>>> >
>>> > >> > >> > > Mtoi,
>>> >
>>> > >> > >> > > Sijamtosa mama Ngina wangu. au ulimaanisha yule aliyeanzisha
>>> > >> > >> > > mada
>>> > >> > >> > > hii?
>>> >
>>> > >> > >> > > --- On *Sat, 1/19/13, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>*
>>> > >> wrote:
>>> >
>>> > >> > >> > > From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>>> > >> > >> > > Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> isipomteuwa
>>> > >> > >> 2015
>>> > >> > >> > > To: wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> > >> > > Date: Saturday, January 19, 2013, 3:14 AM
>>> >
>>> > >> > >> > > Wewe mwenyewe mmetosana na mke wako kaa kimya!
>>> > >> > >> > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania
>>> > >> > >> > > Network
>>> > >> > >> > > ------------------------------
>>> > >> > >> > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
>>> > >> > >> > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> > >> > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 02:50:49 -0800 (PST)
>>> > >> > >> > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >> > >> > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> > >> > >> > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> > >> > > isipomteuwa
>>> > >> > >> > > 2015
>>> >
>>> > >> > >> > > Hakuna mwanadamu asiyetosa. Wewe mwenyewe kumbuka umetosa
>>> > >> > >> > > mangapi?
>>> > >> > >> > > Tumeumbwa ili tutose. Na kutosa ndo kubadilika. Mwisho wa
>>> > >> > >> > > siku
>>> > >> hata
>>> > >> > >> dunia
>>> > >> > >> > > tunaitosa, au inatutosa?
>>> >
>>> > >> > >> > > --- On *Sat, 1/19/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>*
>>> > >> > >> > > wrote:
>>> >
>>> > >> > >> > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>>> > >> > >> > > Subject: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema
>>> > >> > >> > > isipomteuwa
>>> > >> 2015
>>> > >> > >> > > To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> > >> > >> > > Date: Saturday, January 19, 2013, 2:39 AM
>>> >
>>> > >> > >> > > Ndugu zangu
>>> >
>>> > >> > >> > > Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa
>>> > >> > >> > > akaamua
>>> > >> > >> > > kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya
>>> > >> > >> > > kidunia
>>> > >> > >> > > .
>>> >
>>> > >> > >> > > Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi
>>> > >> > >> > > kufikishana
>>> > >> > >> > > mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba
>>> > >> > >> > > matunzo
>>> > >> ya
>>> > >> > >> > > watoto aliowatosa .
>>> >
>>> > >> > >> > > Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye
>>> > >> > >> > > kura
>>> > >> > >> > > wakati
>>> > >> > >> > > alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la
>>> > >> karatu .
>>> >
>>> > >> > >> > > Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu
>>> > >> > >> > > wa
>>> > >> > >> > > wabunge
>>> > >> > >> > > na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi
>>> > >> > >> > > hiyo
>>> > >> ya
>>> > >> > >> > > kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
>>> >
>>> > >> > >> > > Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama
>>> > >> alivyoitosa
>>> > >> > >> > > CCM miaka ya 90 ?
>>> >
>>> > >> > >> > > Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3
>>> > >> > >> > > na
>>> > >> > >> > > kuendelea na maisha tu .
>>> >
>>> > >> > >> > > --
>>> > >> > >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > >> > >> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > >> > >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >> > >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> > >> kudhibitisha
>>> > >> > >> > > ukishatuma
>>> >
>>> > >> > >> > > Disclaimer:
>>> > >> > >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>>> > >> > >> > > for
>>> > >> any
>>> > >> > >> legal
>>> > >> > >> > > consequences of his or her postings, and hence statements
>>> > >> > >> > > and
>>> > >> facts
>>> > >> > >> must be
>>> > >> > >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies
>>> > >> > >> > > that
>>> > >> you
>>> > >> > >> agree
>>> > >> > >> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> > >> Guidelines.

>>> > >> > >> --
>>> > >> > >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > >> > >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > >> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> > >> > >> kudhibitisha
>>> > >> > >> ukishatuma
>>> >
>>> > >> > >> Disclaimer:
>>> > >> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>> > >> > >> any
>>> > >> > >> legal
>>> > >> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> > >> > >> facts
>>> > >> must
>>> > >> > >> be
>>> > >> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> > >> > >> you
>>> > >> agree
>>> > >> > >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> > >> > >> Guidelines.

>>> > >> > > --
>>> > >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > >> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> > >> > > kudhibitisha
>>> > >> > > ukishatuma
>>> >
>>> > >> > > Disclaimer:
>>> > >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>> > >> > > any
>>> > >> legal
>>> > >> > > consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> > >> > > facts
>>> > >> must be
>>> > >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> > >> > > you
>>> > >> agree to
>>> > >> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> > >> > --
>>> > >> > Ephata Nanyaro
>>> > >> > P.o.box 15359
>>> > >> > Arusha
>>> > >> > +255 754 834152
>>> > >> > Skype.nanyaro.ephata
>>> >
>>> > >> > --
>>> > >> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > >> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> > >> > kudhibitisha
>>> > >> ukishatuma
>>> >
>>> > >> > Disclaimer:
>>> > >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>> > >> > any
>>> > >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> > >> facts
>>> > >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>> > >> that
>>> > >> you
>>> > >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> > >> Guidelines.
>>> >
>>> > >> --
>>> > >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > >> ukishatuma
>>> >
>>> > >> Disclaimer:
>>> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > >> legal
>>> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> > >> must
>>> > >> be
>>> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> > >> agree
>>> > >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>>> > > --
>>> > > "Vision is the ability to see the invisible!"
>>> > > Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>>> > > P.O.Box 22499,
>>> > > Dar es salaam.
>>> > > Tanzania.
>>> > > Phone No: +255 754 636963
>>> > > +255 782 636963
>>> > > website:www.peercorpstrust.orgorwww.hamisikigwangalla.com
>>> > > Email: hamisi.kigwanga...@peercorpstrust.org or
>>> > > i...@hamisikigwangalla.com
>>> > > Skype ID: hkigwangalla
>>> > > Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>> >
>>> > > --
>>> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>>> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > > ukishatuma
>>> >
>>> > > Disclaimer:
>>> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > > legal
>>> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> > > must be
>>> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> > > agree to
>>> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> > --
>>> > Ephata Nanyaro
>>> > P.o.box 15359
>>> > Arusha
>>> > +255 754 834152
>>> > Skype.nanyaro.ephata
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>>> www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
>>> www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
>>> www.naombakazi.blogspot.com

>> --
>> "Vision is the ability to see the invisible!"
>> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>> P.O.Box 22499,
>> Dar es salaam.
>> Tanzania.
>> Phone No: +255 754 636963
>> +255 782 636963
>> website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
>> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
>> Skype ID: hkigwangalla
>> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
XAVERY LANGA NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT TO USE YOUR MIND TO THINK THAN TO USE IT
AS A WAREHOUSE OF FACT"

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment