Saturday 19 January 2013

RE: [wanabidii] Picha ya Nyerere yarejeshwa mjengoni AU

Elisa,
 
Kwa mtazamo wangu, hakuna kiongozi yeyote Afrika anayestahili heshima zaidi ya Mwalimu Nyerere kama suala ni kuangalia mchango wao kwenye bara hili. Hakuna. Wako wengi pia wanaoamini kwamba, pamoja na kushindwa kwake katika mambo mengine, lakini akili zake na uadilifu wake haufikiwi na yeyote - mathalani, Prof Mazrui anasema huenda Sengor alikuwa na akili kama Nyerere na huenda Mandela alikuwa mwadilifu kama Nyerere lakini hawa wawili walishindwa kuviunganisha vyote - akili na uadilifu bali Nyerere yeye aliweza. Ndiyo, alituharibia mengine, lakini basi hata kama hatutaki kuukubali ukweli huu, tuseme tu alikuwa mtu mfupi miongoni mwa mbilikimo wa misitu ya Kongo.
 
Hivyo basi, sikuwahi kujali hao wengine walikuwa ni akina nani. Lakini walipanga kikanda na hivyo tunaweza kuhisi kwamba ni wale waliokuwepo Mei 25, 1963 pia.
Kaskazini nahisi walimweka Nasser wa Misri; Magharibi Nkrumah wa Ghana; Mashariki wakamweka huyo Selassie wao, na Kati na Kusini sijui nani waliwekwa.
 
Sasa Nyerere amewekwa na sijui wamemtoa nani. Kwa maoni yangu hakukuwa na sababu ya kuwaweka kikanda kwa kuwa wakati huo hawakuja OAU kikanda.
 
Matinyi.
 

 

Date: Sat, 19 Jan 2013 11:53:48 -0800
From: elisamuhingo@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Picha ya Nyerere yarejeshwa mjengoni AU
To: wanabidii@googlegroups.com

And who are the other four?

--- On Wed, 1/16/13, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] Picha ya Nyerere yarejeshwa mjengoni AU
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>, "Mabadiliko" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 16, 2013, 8:22 AM

Special Thanks to:

1. Minister for Foreign Affais and International Cooperation, Membe
2. Our Ambassador to the African Union, Biswalo
3. President of the AU Commission, Mama Zuma

It was stupid to dismiss Nyerere's contribution and the sacrife that Tanzanians made for Africa.

Mwalimu's portrait back at AU 'Big Five' line-up

By In2EastAfrica Reporter, January 14, 2013
At last, the portrait of Tanzania's founding president and one of the pioneers of the Organisation of African Unity (OAU) – later renamed African Union (AU) – Mwalimu Julius Nyerere, is back at the reception gallery of the Union's headquarters in Addis Ababa.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 
Link: http://in2eastafrica.net/mwalimus-portrait-back-at-au-big-five-line-up/
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment