Sunday 20 January 2013

Re: [wanabidii] PICHA - KUMTEMBELEA PROF WAMBA DIA WAMBA

hahahahahaa Nkumba, ni wazi Gasana alikuwa mpiga picha (ofcoz atakuwa aliakuwa amesimama, sema kwenye picha haonekani). Ukisoma post ya Yona utaona ...picha na Mosses Gasana...teh teh 

2013/1/20 John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Ndugu Yona,

>Majina ya Waliosimama Katika Picha Kutoka Kushoto ni Adam Fungo , Mishy Singano , Adam Foya , Prof Wamba , Yona Maro , Dr Adam Mutembei  na Moses Gasana 

Majina ulioyotoa ni 7 na mliosimama ni 6.
Tafadhali tuwekee sawa tupate kuzitambua hizo sura.

//Nkumba

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; wanakenya@googlegroups.com; youngprofessionals_ke@googlegroups.com
Sent: Sunday, January 20, 2013 10:06:46 AM
Subject: [wanabidii] PICHA - KUMTEMBELEA PROF WAMBA DIA WAMBA

Ziara ya kumtembelea Prof Wamba Dia Wamba ilienda vizuri na hizi ni baadhi ya picha za Tukio zima , Picha hizi zimepigwa na Mosses Gasana 

Baada ya mazungumzo ya aina mbalimbali Dr Aldin Mutembei alimpa Prof Wamba zawadi ya kitabu chake cha KORASI KATIKA FASIHI kama unavyoona katika picha .

Majina ya Waliosimama Katika Picha Kutoka Kushoto ni Adam Fungo , Mishy Singano , Adam Foya , Prof Wamba , Yona Maro , Dr Adam Mutembei  na Moses Gasana 

Tunashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha Zaira hii ya Kumtembelea Prof Wamba Dia Wamba

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment