Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Kwa maoni yangu ndugu wasomaji ni kwamba, hatima ya kufanya jambo lolote liko mikononi mwa mtu husika. Kuhoji nini hatima ya Dr. MAGUFULI katika ulingo wa siasa ni kujidanganya na kujichelewesha. Mtu anaweza kuhoji tu endapo Dr.Magufuli ataeleza nia yake ya baadaye kisiasa. Mheshimiwa huyu anaweza kustafu kazi au kujiuzulu; bado si hatima mbaya  kwake. Ni pale tu sisi wananchi tutaguswa baada ya yeye kutamka hatima yake kisiasa na upepo huo wa siasa usiwe upande wake.Mfano Bw Lowasa na akina Sumaye wameeleza nia yao ya kufanya siasa ktika kipindi kijacho,hawa mabwana endapo hali itakuwa si nzuri kwa matarajio yao, basi watu tunaopenda maendeleo tutahoji nini hatima yao ktk ulingo wa siasa. Nasema hivi naomba kuelimishwa labda Dr. Magufuli naye alishatoa tamko kuhusu kufanya siasa.
Nawashukruni nyoooooteeeeeeeeeeeee

Lameck M. Nyaligwa
Senior Crop Research Officer
Selian Agricultural Research Institute (SARI)
P.O.BOX 6024 Arusha Tanzania
Mobile: +255 788263453
Tel: 073-6500538
Fax: 073-6500538

From: xavery njovu <njovucom@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 10, 2013 2:05 PM
Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Mgamba

Tena  hao  waliosomeshwa  bure  ndio  wanaongoza  kwa  kutafuna  nchi
na  kuua  kampuni  za umma.  Mashirika  mangapi  yamekufa  kwa sababu
ya hawa waliosomeshwa  bure. Yamebaki machache sana  kwa ajiri ya
uongozi  wa  kizalendo

Regards

Njovu

2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>:
> Kaaya,
> Nchi imefika mahali akifanya jambo zuri mtanzania aliyeko serikalini
> atatafutiwa namna tu ya kumalizwa. Hata wale waliosomeshwa bure na serikali
> leo hii wanasema ni mbaya na haifai hata kidogo. This is madness
>
> From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
> To: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com "
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Wednesday, January 9, 2013 4:29 PM
>
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
> Brother Mgamba
> This topic on Dr.Magufuli was triggered off by one ?Eric Alphonse and the
> discussion is enjoyable and funny too. I had ?however requested him to tell
> us what he meant by " essence of maturation!" but it seems like he has
> ??kept mum!!
>
> Mchango wangu kwenye mjadala huu ni kwamba ni vibaya kutokiri pale ambapo
> mtu kafanya jambo jema na badala kuzua matope ya kurusha. Panapo stahili
> pongezi na itoke kwa roho nyeupe.
>
> Shilia KaayaShilia Kaaya</div>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> -----Original Message-----
> From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
> Date: Wed, 9 Jan 2013 13:02:20
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
>
> Waliwajaribu akina Chenge na Kawambwa, ngoma ikawa hoi...nchi hii hatuko
> tayari kukubali ujasiri wa baadhi ya watu waliopo.
>
>
>
>
>
> From: Fay Mashallah <fay.mashallah@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, January 9, 2013 3:35 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
>
> Ha ha ha.
> Mgamba umenifurahisha. Kweli kabisa.
> Yale mazuri mengi anayofanya mtu huwa hatupendi kuyasifia.
> Bwana  Magufuli ni hatari. Fuatilia wizara zote alizopita.
> Hivi tungekuwa na mawaziri wa type ya Magufuli awamu zote hata 4 tungekuwa
> wapi.
> Kuna barabara zilishashindikana kwa mahandaki siku hizi mwendo mdundo tu.
> Huwa nikipita najiuliza hizi JK angefanya kosa kumpa waziri mwingine wizara
> hiyo sasa hivi tungekuwa wapi sijui.
> Jamaa is serious with his work bwana.
> On Jan 9, 2013 3:23 PM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com <> > wrote:
>
>
>
> Ndugu yangu Mashallah,
> Watu wanadhani mawaziri ni malaika lakini kumbe ni binadamu kama sisi na wao
> wanahonga vocha za simu, simu mpya, perfumes, majumba kila mtu kulingana na
> urefu wa kamba yake na kwa jinsi alivyothibitiwa mapajani.
>
>
>
>
>
>  From: Fay Mashallah <fay.mashallah@gmail.com <> >
> To: wanabidii@googlegroups.com <>
> Sent: Wednesday, January 9, 2013 12:41 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
>
> Kwani ukiwa waziri huruhusiwi kuwa na marafiki?
> Magufuli ni JEMBE.
> On Jan 9, 2013 11:40 AM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com <> > wrote:
>
>
>
> Paul,
> Watanzania baadhi yetu nadhani tuna matatizo ya kufikiri. Uamuzi wa kuuza
> nyumba za serikali ulikuwa ni wa baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti,
> Rais Benjamin Mkapa na katika baraza hilo walikuwemo akina Mh Jakaya Kikwete
> na Edward Lowassa. Rais JK alinunua nyumba hizo pia.
>
> Sasa inakuwaje Magufuli ahukumiwe binafsi kwa uamuzi wa serikali na baraza
> la mawaziri?
>
>
>
>
>
>  From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com <> >
> To: wanabidii@googlegroups.com <>
> Sent: Wednesday, January 9, 2013 11:35 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
>
> Mgamba
> Watu wanataka kupre-empty na kuhukumu kama anafaa au hafai
>
>
> 2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com <> >
>
>
>
> Kwa nini utake kujua Hatima yake leo? Kwani kama atagombea urais kupitia
> chama chake cha CCM si ni haki yake kidemokrasia? Na kama ataamua kugombea
> ubunge jimboni kwake yote ni haki yake kidemokrasia?
>
>  Kujuana na Raila Odinga ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania?
> Mara ngapi Magufuli akiwa waziri alimualika Odinga kwa shughuli za
> kiserikali na binafsi hapa Tanzania na hakuna aliyekuwa na wasi wasi? Kwa
> nini leo watu wawe na mchecheto na jambo hili kana kwamba ni uhaini?
>
> CCM  kama chama kina taratibu zake za kuwapata wagombea wa urais bara na
> visiwani baada ya vetting, sasa nadhani tuwaache wenyewe wakati ukifika
> tutamjua mgombea wa urais wa chama hicho, otherwise tunapoteza muda kuuliza
> maswali juu na nini hatma ya Magufuli.
>
>
>
>
>
> From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com <> >
> To: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com <> >;
> "wanabidii@googlegroups.com <>  " <wanabidii@googlegroups.com <> >;
> "mabadilikotanzania@googlegroups.com <>  "
> <mabadilikotanzania@googlegroups.com <> >
> Sent: Wednesday, January 9, 2013 10:59 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
> Sir exactly what do you mean by "essence of maturation" Or it is just
> another use of colourful vocabulary? Or it is just another use of colourful
> vocabulary?</div>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>
> -----Original Message-----
> From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com <> >
> Date: Wed, 9 Jan 2013 06:11:06
> To: <wanabidii@googlegroups.com <> >; <mabadilikotanzania@googlegroups.com
> <> >
> Subject: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
> Tanzania
>
>
> Wadau habari ya leo?
> Napenda kujua nini hatima ya Dr. John Pombe Magufuli katika medai ya siasa
> za Tanzania.
> Dr. Magufuli alipata umaarufu na kujulikana kama mchapa kazi wakati wa awamu
> ya pili ya Ben. Mkapa.
> Akiwa kwenye peak ya kufanya kazi inayoonekana ya kusimamia ujenzi wa
> barabara, kurejesha magari ya serikali yaliyokuwa yanamilikuwa na watumishi
> wa umma kama yao na kulazimisha yasajiliwe kwa namba za serikali.
>
> Kutoka na nature ya kazi yake akafahamiana na Raila Odinga ambae alikuwa
> waziri wa barabara Kenya. Raila anaogombea Urais wa Kenya na Magufuli
> alikwenda Kenya kumnadi mbele ya wafuasi wa ODM.
>
> Magufuli ameuza nyumba za umma kwa bei bwerere, mwaka juzi jimboni kwake
> alishinda kwa tofauti ya kura 30 huku sehemu za Buselesele na Mganza
> akiambulia kura chache na kwa hasira alipopewa wizara ya ujenzi akawa ni mtu
> wa kulipa kisasi kwa kubomoa nyumba nyingi za wafanya biashara zilizo katika
> hifadhi ya barabara.
>
> 2015 Magufuli atagombea Urais kwa tiketi ya CCM au ataridi tena chato na
> kugombea ubunge akijua kushinda na kushindwa ni 50 kwa hamsini?
>
>
>
>
> Fred
> MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
> Change is Essence to maturation
>
> --
> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ <>
> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/ <>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ <>
> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/ <>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com <>  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <>

> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha

--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT
AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment