Wednesday 9 January 2013

Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Hapa kunaukweli 100% bwana Mgamba. Tunajifanya humu ndani tunachukia nyumba ndogo wakati ndo taratibu zetu za maisha. Nieleweke wazi sishabikii kuwana na nyumba ndogo but inapotokea watu wakajua hawara wa kiongozi wanakeleleka mno utafikiri wao watakatifu. Tunakemea ufwiswadi hadi jasho kwenye meno lakini tunaongoza kwa madili makazini kwetu.

Ufike muda tabia hizi chafu tuziache na viongozi ambao si waadilifu tuanze kuwanyima ushirikiano watu wataanza kuheshimu kazi na kutumia vizuri madaraka yao

2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Ndugu yangu Mashallah,
Watu wanadhani mawaziri ni malaika lakini kumbe ni binadamu kama sisi na wao wanahonga vocha za simu, simu mpya, perfumes, majumba kila mtu kulingana na urefu wa kamba yake na kwa jinsi alivyothibitiwa mapajani.

From: Fay Mashallah <fay.mashallah@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 12:41 PM

Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Kwani ukiwa waziri huruhusiwi kuwa na marafiki?
Magufuli ni JEMBE.
On Jan 9, 2013 11:40 AM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:
Paul,
Watanzania baadhi yetu nadhani tuna matatizo ya kufikiri. Uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ulikuwa ni wa baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti, Rais Benjamin Mkapa na katika baraza hilo walikuwemo akina Mh Jakaya Kikwete na Edward Lowassa. Rais JK alinunua nyumba hizo pia.
 
Sasa inakuwaje Magufuli ahukumiwe binafsi kwa uamuzi wa serikali na baraza la mawaziri?

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 11:35 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Mgamba
Watu wanataka kupre-empty na kuhukumu kama anafaa au hafai

2013/1/9 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Kwa nini utake kujua Hatima yake leo? Kwani kama atagombea urais kupitia chama chake cha CCM si ni haki yake kidemokrasia? Na kama ataamua kugombea ubunge jimboni kwake yote ni haki yake kidemokrasia?
 
 Kujuana na Raila Odinga ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania? Mara ngapi Magufuli akiwa waziri alimualika Odinga kwa shughuli za kiserikali na binafsi hapa Tanzania na hakuna aliyekuwa na wasi wasi? Kwa nini leo watu wawe na mchecheto na jambo hili kana kwamba ni uhaini?
 
CCM  kama chama kina taratibu zake za kuwapata wagombea wa urais bara na visiwani baada ya vetting, sasa nadhani tuwaache wenyewe wakati ukifika tutamjua mgombea wa urais wa chama hicho, otherwise tunapoteza muda kuuliza maswali juu na nini hatma ya Magufuli.

From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
To: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com " <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, January 9, 2013 10:59 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Sir exactly what do you mean by "essence of maturation" Or it is just another use of colourful vocabulary? Or it is just another use of colourful vocabulary?</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
Date: Wed, 9 Jan 2013 06:11:06
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
Tanzania

Wadau habari ya leo?
Napenda kujua nini hatima ya Dr. John Pombe Magufuli katika medai ya siasa za Tanzania.
Dr. Magufuli alipata umaarufu na kujulikana kama mchapa kazi wakati wa awamu ya pili ya Ben. Mkapa.
Akiwa kwenye peak ya kufanya kazi inayoonekana ya kusimamia ujenzi wa barabara, kurejesha magari ya serikali yaliyokuwa yanamilikuwa na watumishi wa umma kama yao na kulazimisha yasajiliwe kwa namba za serikali.

Kutoka na nature ya kazi yake akafahamiana na Raila Odinga ambae alikuwa waziri wa barabara Kenya. Raila anaogombea Urais wa Kenya na Magufuli alikwenda Kenya kumnadi mbele ya wafuasi wa ODM.

Magufuli ameuza nyumba za umma kwa bei bwerere, mwaka juzi jimboni kwake alishinda kwa tofauti ya kura 30 huku sehemu za Buselesele na Mganza akiambulia kura chache na kwa hasira alipopewa wizara ya ujenzi akawa ni mtu wa kulipa kisasi kwa kubomoa nyumba nyingi za wafanya biashara zilizo katika hifadhi ya barabara.

2015 Magufuli atagombea Urais kwa tiketi ya CCM au ataridi tena chato na kugombea ubunge akijua kushinda na kushindwa ni 50 kwa hamsini?

Fred 
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation 

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment