Tuesday 8 January 2013

Re: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za Tanzania

Sir exactly what do you mean by "essence of maturation" Or it is just another use of colourful vocabulary? Or it is just another use of colourful vocabulary?</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Fred Alphonce <fredrick197958@yahoo.com>
Date: Wed, 9 Jan 2013 06:11:06
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Nini Hatima ya Dr. John Magufuli katika siasa za
Tanzania


Wadau habari ya leo?
Napenda kujua nini hatima ya Dr. John Pombe Magufuli katika medai ya siasa za Tanzania.
Dr. Magufuli alipata umaarufu na kujulikana kama mchapa kazi wakati wa awamu ya pili ya Ben. Mkapa.
Akiwa kwenye peak ya kufanya kazi inayoonekana ya kusimamia ujenzi wa barabara, kurejesha magari ya serikali yaliyokuwa yanamilikuwa na watumishi wa umma kama yao na kulazimisha yasajiliwe kwa namba za serikali.

Kutoka na nature ya kazi yake akafahamiana na Raila Odinga ambae alikuwa waziri wa barabara Kenya. Raila anaogombea Urais wa Kenya na Magufuli alikwenda Kenya kumnadi mbele ya wafuasi wa ODM.

Magufuli ameuza nyumba za umma kwa bei bwerere, mwaka juzi jimboni kwake alishinda kwa tofauti ya kura 30 huku sehemu za Buselesele na Mganza akiambulia kura chache na kwa hasira alipopewa wizara ya ujenzi akawa ni mtu wa kulipa kisasi kwa kubomoa nyumba nyingi za wafanya biashara zilizo katika hifadhi ya barabara.

2015 Magufuli atagombea Urais kwa tiketi ya CCM au ataridi tena chato na kugombea ubunge akijua kushinda na kushindwa ni 50 kwa hamsini?



 
Fred 
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment