Sunday 20 January 2013

Re: [wanabidii] Natamani kuwa mwanasiasa

am lost here hivi ni dada Hilda aliomba ushauri au bwana Mwita samahani kama nimekosea

2013/1/20 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Kingu
 
Usimtishe Hilda, kwanza siyo mwanamke wa kutishika kirahisi. kazi yake anayoifanya katika jamii angekuwa anatishika kirahisi hivyo angekuawa ameachana nayo kaka. Ni mwanamke katika vipimo vya juu.
 
Pili mimi ningemshauri kwamba kazi anayoifanya katika jamii ni nzuri zaidi kuliko hii ya kupiga kelele tu ndipo ujulikane kwamba unafanya kazi. Mtizamo wangu ni kwamba kama wanasiasa wanaamua kufanya kazi za Watendaji ni aidha mifumo iliyopo imekufa au watendaji wamenyang'anywa kazi zao na wao wameamua kukaa kimya. Matokeo yake ni kuwa hili gurudumu la maendeleo halitaenda.
 
Kutishana kumezidi kati ya watendaji na wanasiasa badala ya kutumia mifumo iliyopo ya kuajiri na kufukuza (Hiring and firing)
 
K.E.M.S.
From: king kingu <kingkingu3@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, 19 January 2013, 2:58
Subject: Re: [wanabidii] Natamani kuwa mwanasiasa

Dada Hilde heshima yako, naomba number yako ntakutafuta nikutoe week end tubadilishane mawazo live!! (mwabie shemeji mimi sio mwizi, asije akadhani atakamata mwizi men!) ni kubadilishana mawazo kawaida tu.

Ushauri wangu kwako ni kuwa kabla hujaamua kuwa mwana siasa, kwanza mtafute Dr. Harrison Mwakyembe akushauri kabla hujachukua hatua yoyote kuwa mwanasiasa katika inchi hii!! ukitaka number zake za simu ntakupa.  in short kuwa mwansiasa nchi hii ni kujitoa muhanga! ukiingilia anga za maslahi ya watu, watakumwakyembelize halafu watsingizia usalama wa taifa!! hasara itakua kwa familia yako,

KINGU

2013/1/18 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
sasa

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment