Friday 25 January 2013

Re: [wanabidii] MTWARA NYUMBA ZACHOMWA - KISA GAS!

Aibu. Serikali ikiamua kuacha kuichimba na hayo makampuni yakiamua kuondoka kwa usalama wao itakuwaje. Dar wamejengewa Chinga Complex-hawajahamia wapo barabarani ilala na mitaa mingine; Daraja la Mkapa, Bandari inafufuliwa, daraja hadi nchumbiji; bado miradi ya donors ya kuuza value added crops, miradi ya afya na siku hizi magari mpaka vijijini. Yote hii inaonyesha serikali inawajali. Mchochezi wao sasa anafurahi ila akawauguze na kuwatibu waliopata maradha ili wampigie Kura vizuri.

Lakini exploitation ya land kwao kuzalisha mali kikamilifu na kusafirisha mazao nje ya Mtwara-Lindi tija ndogo. Minazi na maembe nyanya kibao; mikorosho ni sehemu ya msitu ya Mkuhumi; mabonde ya ufuta na mtama, mpunga usiseme; samaki baharini bahari inayozunguka mduara na mianya kibao inaingia nchi kavu. Self-Efficacy na Reasoned Progressive Action Ndogo. Tunaona hapa hapa upeo wa pua.

Mfano huo moto wanaochoma nyumba na magari ubebwe na upepo, utande uingie kuchoma na nyumba zao wao na kuua watu wao itakuwaje? Si watakimbilia kuomba msaada serikalini, zima moto, hospitali etc? Itakuwa -Baniani mbaya (serikali), kiatu chake dawa? Tutafika?

--- On Fri, 25/1/13, Tracy John <tracykwetu@gmail.com> wrote:

From: Tracy John <tracykwetu@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MTWARA NYUMBA ZACHOMWA - KISA GAS!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 25 January, 2013, 20:38

2013/1/25 Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com>
Hiyo ni gesi, tukipata na Mafuta itakuwaje? Wananchi wa Mtwara fikirieni tena maamuzi yenu, fujo na kuharibu mali za watu  sio utamaduni wenu.

Mungu atuepushe na balaa hili maana Al shabab nao wanaweza jipenyeza humo humo.

Sent  from my iPhone 

On Jan 25, 2013, at 21:08, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:

Wanabidii
Niwajuze kuwa hali inaendela kuwa tete katika mji wa Mtwara. Barabara zimefungwa, Magari yamemomwa moto, Ofisi ya CCM imechomwa na Nyumba ya Waziri Hawa Ghasia nayo imo. Kisa ni GAs. Je hii neema ama Balaa. Mbona mwanzo tu?

Yarabi salama tunakwenda wapi. Serikali iingilie kati!

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment