Wednesday 16 January 2013

Re: [wanabidii] Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA *

unfortunately sipati printed copy. Natumia online version.


On Thursday, January 17, 2013 8:12:55 AM, nevilletz@gmail.com wrote:
> Mwananchi la jana kasome uone iko ukurasa wa ngapi!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ------------------------------------------------------------------------
> *From: * Ismael Kimirei <kiakimirei@gmail.com>
> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> *Date: *Thu, 17 Jan 2013 08:01:28 +0300
> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [wanabidii] Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu
> Mwenyekiti BAVICHA *
>
> Meena,
> Uliyoyasema juu ya Dr Slaa yanapendeza. Yanatia moyo. Ila cha
> kushangaza - huyo huyo Shonza ndo mmempa ukurasa wa mbele kwenye
> gazeti lenu kama alivyoomba wakati wa mkutano na wanahabari - kuwa
> mkaitangaze vizuri ile habari. Kwangu mimi ile kitu ameandika
> haikustahili hata kuwekwa ukurasa wa pili au wa tatu - ningeiweka
> katikati huko au karibu na mwisho.
> Kim
> On 1/17/2013 7:36 AM, nevilletz@gmail.com wrote:
>> Mtu alikuwa mwanachama siku zote, leo kawekwa pembeni ndo anaamua
>> kusema kuhusu uozo, hapo the motive behind ni kutimuliwa kwake. Bado
>> ni binti mdogo, atulie atapata nafasi tena siku zijazo. Kwenda
>> hadharani na kuwasema viongozi wake wakuu wa Chama ni utovu wa nidhamu.
>>
>> James Ole Millya alipotoka CCM kwenda Chadema hakuwahi kuwatukana
>> waliokuwa wakuu wake wa chama JK wala Mukama. Alieleza udhaifu wao na
>> udhaifu wa chama chake.
>>
>> Dk Slaa ni mtu anayeaminika siyo ndani ya Chadema tu hata nje ya
>> chama hicho. Hana record yoyote ya ubadhirifu wa fedha tangu
>> alipokuwa TEC, Mbunge wala KM Chadema.
>>
>> Akiwa Mwenyekiti wa LAAC alifanya kazi kubwa na hakuwahi kulala wala
>> kula kwa fedha za Halmashuri walikokwenda kukagua miradi, si mtoa
>> fedha kwa waandishi wa habari kama ilivyo kwa wanasiasa wengine,
>> haombi kuandikwa na vyombo vya habari bali vyombo hivyo humtafuta
>> kutokana na umuhimu wake.
>>
>> Aliyoyafanya akiwa TEC kuanzisha Caritas Tanzania, miradi ya maji
>> kule Karatu na hata fedha alizoingiza pale CCBRT ni ushahid toka
>> kwamba siyo mbadhirifu wala mbinafsi. Mtu wa aina hii siyo rahisi
>> kuharibu credibility yake!
>>
>> Kwa kauli za Shonza dhidi ya Dk Slaa, anajianika kwamba yeye ni mtu
>> wa aina gani!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> ------------------------------------------------------------------------
>> *From: * Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Date: *Wed, 16 Jan 2013 20:37:32 +0000
>> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Subject: *RE: [wanabidii] Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu
>> Mwenyekiti BAVICHA *
>>
>> Ndugu Wanabidii,
>>
>> Haya makubwa, lakini tukubali au tusikubali kama haya hayapo siasa
>> hakuna. Changamoto ni sisi kuchambua ni zipi mbivu na zipi mbichi.
>>
>> Cheers
>>
>> Herment
>>
>> ------------------------------------------------------------------------
>> Date: Wed, 16 Jan 2013 14:05:54 -0600
>> Subject: Re: [wanabidii] Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu
>> Mwenyekiti BAVICHA *
>> From: ngonzy@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Sijui chama hakina taratibu za kushugulikia haya mambo? Yanakera
>> kweli kuyasoma
>>
>> 2013/1/16 Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com
>> <mailto:ireneuskakurumushongi@gmail.com>>
>>
>> Bongo politics...!
>> Ngoma ya watoto haikeshi... Hivi hamna jinsi yoyote ya kumaliza
>> matatizo haya?
>> Mnadhani mnatengeza picha gani kwa mashabiki na wanachama wenu?
>> Nadhani mwenye timamu hatakuja kuanika mambo haya (yenu)
>> hadharani tena.
>> Kuna kubwa gani la kugombania hapa na mnamwakilisha nani?
>> Kwa hali hii tutarajie ngumi kwenye kikao chochote
>> kitakachokutanisha makundi haya..
>> Na huo ndio utakuwa mwisho wa Chdm. Na ushindi mwororo upande wa
>> pili..
>> Tafakari..ongozweni na busara, si jaziba matusi na maslahi binafsi..
>> SIjamwona aliyetumia busara hadi hapo na zaidi tutarajie makubwa
>> zaidi
>> UONGOZI UMESHINDWA KUMALIZA HAYA YA WATOTO HAWA NDANI YA CHADEMA
>> AU NI KWELI NAO NI SEHEMU YA TATIZO?
>> Siko kwa ajili ya kukosoa au kumfinger point mtu..ila nahisi hii
>> ni trela na kuna mengi nyuma ya pazia na isipotumika busara, ni
>> hatari tupu. Safari ya 2015 itabaki ndoto
>> Kama yale ya Mnara wa Babeli!
>> Ireneus
>> On Jan 16, 2013 11:45 AM, "Anthony Masare"
>> <anthony_masare@yahoo.com <mailto:anthony_masare@yahoo.com>> wrote:
>>
>> Boxbe <https://www.boxbe.com/overview> This message is
>> eligible for Automatic Cleanup! (anthony_masare@yahoo.com
>> <mailto:anthony_masare@yahoo.com>) Add cleanup rule
>> <https://www.boxbe.com/popup?url=https://www.boxbe.com/cleanup?token%3D0W1YPooSTHaFxyy3tB519K%252BHCpV%252FigMONxLK5PYYn7guXek2LMZ7ER63%252BE5x8Kh%252FCcf6XGgdoJ9IVKmoP2YF5%252BeeR2zLRWsazm0WJ6r7rQsiXVq%252FwMzZo4zdSfX6ZKtuCpRegHBqj%252BK04Bl%252B9kiunA%253D%253D%26key%3DrF%252Fk1CEdZEzePFMmTvh4OamPeDznFfConO%252B3YtzlHcw%253D&tc=13356526385_63802074>
>> | More info
>> <http://blog.boxbe.com/general/boxbe-automatic-cleanup?tc=13356526385_63802074>
>>
>>
>> huyu dada shonza ni mnafiki mkubwa haya yote aliyosema hapa
>> mbona hakusema akiwa ndani ya chama?amefukuzwa ameaanza
>> kutapatapa tumpuuze mtu kama huyu hana nia njema na chama
>> naamini sasa kweli huyu mtu ni kibaraka (mamuluki)
>>
>> --- On *Tue, 1/15/13, Juma Mzuri /<jumamzuri@gmail.com
>> <mailto:jumamzuri@gmail.com>>/* wrote:
>>
>>
>> From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com
>> <mailto:jumamzuri@gmail.com>>
>> Subject: [wanabidii] Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu
>> Mwenyekiti BAVICHA
>> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com
>> <mailto:wanabidii@googlegroups.com>>
>> Date: Tuesday, January 15, 2013, 10:05 AM
>>
>> TAMKO LA KUTOA UFAFANUZI DHIDI YA TAARIFA BATILI
>> ZILIZOZALISHWA NA
>> MWENYEKITI WA BAVICHA
>> BWANA: JOHN HECHE [WEGESA CHARLES SUGUTA] KUHUSU KUVULIWA
>> UANACHAMA WA
>> BAVICHA, NA KUSHABIKIWA NA MH. FREEMAN MBOWE, MWENYEKITI
>> CHADEMA TAIFA
>>
>>
>> Nawashukuru sana wanahabari, kwakuchukua muda wenu kuja
>> kunisikiliza.
>> Natambua mnakiu ya kusikiliza mambo mengiya kuwaeleza
>> kutokana na
>> taarifa zilizosambaa kuhusu hiki
>> kichefuchefukinachosambazwa kwa
>> makusudi na virusi vichache vilivyojivika ngozi yaukombozi.
>>
>> Nimepokea simu nyingi kutoka kwawatu mbalimbali kutoka
>> ndani na nje ya
>> Tanzania wakitaka kupata ufafanuzi baadaya kupata taarifa
>> kupitia
>> vyombo vya habari kuwa nimevuliwa uanachama naU-Makamu
>> Mwenyekiti wa
>> BAVICHA Taifa.Kama mlivyo ninyi, nami pianimeyasikia hayo
>> kupitia
>> vyombo vya habari, maana sijapata barua au
>> mawasilianoyoyote toka kwa
>> Mwenyekiti wa BAVICHA, Ndugu Wegesa Suguta (John
>> Heche)aliyetoa tamko
>> hilo.Kwanza kabisa naomba kuweka wazikwamba sijawahi pewa
>> shutuma
>> zozote au mashitaka yoyote yale yanayohusiana nahicho
>> alichokiongea.
>>
>> Niliamua kupuuzia kwa sababunamjua Heche ni mlopokaji,
>> kiongozi
>> asiyejua wajibu wake, anayetumikiawasiomchagua, mtu asiye
>> na malengo
>> na mtegemezi wa siasa ili kuendesha maishayake na ya
>> familia yake. Pia
>> nilimpuuza kwa sababu najuasio Mwenyekiti aliyechaguliwa
>> kidemokrasia,
>> aliwekwa kwa matakwa ya wakubwazake ambao wanamtumia kwa
>> malengo
>> yaliyokusudiwa, ikumbukwe kuwa vijana watatu,Habibu
>> Mchange, Mtela
>> Mwampambwa na Grayson Nyakarungu walienguliwa
>> kimizengweili Heche
>> ashinde, hivyo kwetu sisi yeye ni sawa na Mwenyekiti wa
>> kuteuliwa.Hivyo sikumjibu mtu asiyekuwa na sifa sawa na
>> zangu katika
>> harakati za kusakademokrasia ya kweli.
>>
>> Lakini kitendo cha Mwenyekitiwangu, Mh. Freeman Mbowe
>> kujitokeza
>> kupitia gazeti mojawapo na kudai madaiyangu ni ya kitoto,
>>
>> kwanza kimenifedhehesha, ni dharau kwa vijana
>> walionionanina sifa na
>> ukomavu na kunipa kura nyingi ili niwe Makamu Mwenyekiti
>> waBAVICHA
>> Taifa.
>>
>> Pili ni kama anahalalisha kikaobatili, kilichokiuka
>> kanuni na katiba
>> ya CHADEMA ili kuhalalisha matakwa yaoyenye lengo la kuminya
>> demokrasia na uhuru wa kujieleza ndani ya chama.
>>
>> Tatu anahalalisha hoja za vijana,ambazo ndio uhalisia
>> kuwa Heche
>> hakuwa na sifa, na uwezo, hivyo alibebwa na Mh.Mbowe ili
>> akae pale kwa
>> malengo yake.Ndio maana nilisema ukionakifaranga
>> kimepanda juu ya figa
>> ujue mama yake yuko chini, hivyo mama yakekifaranga
>> kajitokeza
>> kuhalalisha kifaranga chake kupanda juu ya figa.
>>
>> MADAI YAALIYODAI MH. MBOWE KUWA NI YA KITOTONiseme wazi
>> kwamba
>> nimesikitishwamno na madai aliyoyatoa Mwenyekiti wangu wa
>> CHADEMA Mh
>> Freeman Mbowe kupitiagazeti la Mtanzamia la tarehe
>> 12/01/2013 kwamba
>> madai yangu ni ya kitoto .
>>
>> Kwanza niweke wazi kabisa kwambanamuheshimu sana Kiongozi
>> wangu huyu
>> mkuu ambaye ndiye alipaswa kuwa mstari wa mbele katika
>> kuhakikisha
>> kwambahaligawi baraza la Vijana na chama kwa ujumla,
>> ahakikishe kuna
>> utawala borandani ya chama, na utendaji haki, lakini cha
>> kushangaza
>> ameibuka kumtetea Hechekwa hoja za mwegemeo wa upande
>> mmojabila
>> kuangalia maelezo ya upande wa pili.
>>
>> Niweke wazi kabisa kwamba kaulialiyoitoa dhidi yangu ni
>> yakiushabiki
>> maana kama ni madai yangu kuhusu namna
>> ninavyohujumiwakupitia kwa
>> Katibu Mkuu yeye anayo nakala ya malalamiko [ushahidi upo],
>> lakinihakuna hatua ambayo ameichukua.
>>
>> Namshangaa Mwenyekiti kudai madaiyangu ni ya kitoto sasa
>> sijui ni
>> madaiyapi anayazungumzia ? madai ya kitoto ni yapi? na
>> madai ya
>> kikubwa ni yapi ? naje madai ya kitoto ni haya mimi
>> kuhoji kwanini
>> hatuweki akiba kwenye akauntikwa ajili ya uchaguzi 2015 kama
>> tulivyokubaliana kwenye baraza kuu mara baadaya uchaguzi wa
>> 2010.Naombaniwajulishe wanachadema kuwa, nimejitahidi
>> sana kushauri
>> juu ya
>>
>> 1; Uanzishwaji wa chuo chamafunzo ya uongozi kwa makada
>> wa CHADEMA ,
>> badala yake ni matumizi mabaya yafedha za ufadhili wa
>> wadau tofauti na
>> hasa mfadhili mkuu ndugu SABODO. Hiiingesaidia pia kulea
>> ki-mfumo wa
>> maadili ya uongozi kwa vijana wa umoja wawanafunzi wa
>> CHADEMA wa vyuo
>> vikuu yani " CHASO" ambapo mimi ni mwasisi wamkakati huu
>> nchini.
>>
>> 2; Chama kwa ujumla kutokuwa na jengo letu na hasa makao
>> makuu yetu.
>> Niaibu kwa chama kikubwa kama CHADEMA kuwa na ofisi
>> tulizopanga na
>> kulipa mamilioni ya fedha za ruzuku na misaada kwa manufaa ya
>> Mwenyekiti Freeman Mbowena Mkurugenzi wa fedha wanaomjua
>> mmiliki wa
>> jengo la makao makuu. Kimsingi mimi natambua chama kina
>> uwezo mkubwa
>> wa kuwa na majengo yetu.
>>
>> 3; Kupunguza mshahara wa katibumkuu Ndugu Dk. Slaa ambao
>> ni zaidi ya
>> milioni saba kwa mwezi na marupurupu kibao ili pesa hizo
>> na mamilioni
>> zielekezwe kujenga chama mikoani kama kweli tunataka2015
>> tuingie
>> Ikulu.
>>
>> 4; Kuhakikisha pesa zilizochangishwa kwenye M4C
>> zinatumika ipasavyo na
>> si kama zitumikavyo kipindihiki ambapo ni kama tumelewa
>> wingi wa watu
>> kwenye mikutano ya hadhara.
>>
>> 5; Kitendo cha Mwenyekiti wa chama kufumbia macho hatua
>> ya ndugu Slaa
>> (katibu mkuu) kujikopesha pesa ya ruzuku ya watanzania
>> zaidi ya
>> shilingi milioni mia na arobaini.
>>
>> 6; Hatua ya mwenyekiti ndugu Heche kulipwa mshahara na
>> marupurupu hali
>> kanuni za chama haziruhusu huku Mbowe akifumbia macho
>> wakati viongozi
>> wa mikoa na wilaya hawapewi pesa na vifaa vya uenezi.
>>
>> 7; Kitendo cha mchumba wa Dk.Slaa, Josephine Mushumbusi
>> kuzunguka
>> mikoani na kulazimisha kupokelewa kama mke wa mfalme na
>> kuendesha
>> vikao vya ndani na mikutano ya hadhara yenye kulenga
>> kuwajenga
>> wagombea ubunge anaowataka yeye na katibu mkuu kwa mwaka
>> 2015.
>>
>> Ndugu wanahabari, je hizi ndo hojaza kitoto anazodai Mh.
>> Mbowe? Hivyo
>> basi namtaka Mh. Mbowe sasa asikimbiliekujibu hoja
>> kiushabiki.
>> Ajitahidi kuwa na fikra na Busara ili kukisaidia chama
>> kuvuka kwenye
>> daraja la sasa la pepo kufukuzana. Atambue Baraka
>> anazozitoa wanachama
>> wafukuzwe hovyo na kunyanyaswa ni hatari kwa kuwa
>> anaandaa kundi kubwa
>> nje ambalo litageuka mwiba siku za usoni.
>>
>> UHALISIA ULIOPO:
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Naomba kuweka wazi kwamba mimi Juliana Shonza ni Makamu
>> Mwenyekiti
>> halali wa baraza la vijana (BAVICHA). Taarifa zozote zile
>> mlizozisikia
>> kuhusu kuvuliwa kwangu uanachama, naomba kwa nguvu moja
>> kupitia
>> taaluma yenu muwaambie watanzania kwamba wazipuuze. Ni
>> taarifa
>> zilizotolewa na kikundi cha kihuni kilicholenga kutimiza
>> matakwa ya
>> wakubwa wao. Kikundi hicho hakina mamlaka ya kikatiba
>> yoyote yale ya
>> kunivua uongozi huunilio nao.
>>
>> Kuthibitisha hilo kuwa ni kikundimufilisi, hadi
>> ninapoandika waraka
>> huu kwenu sijapewa barua yoyote ile inayonitaarifu kuwa
>> nimevuliwa
>> uongozi wangu. Hii ni wazi wanatambua kuwa wanachemka,
>> wanatengeneza
>> makundi kwa maslahi wanayoyaona yanawafaa.
>>
>> Sikuchaguliwa ili niwe chombo cha kuwatumikia watu, na
>> badala yake
>> nilichaguliwa ili niwatumikie vijana waCHADEMA na
>> watanzania kwa
>> ujumla, na pale nilipoona kuna ukiukwaji na kuhoji ndio
>> chanzo cha
>> mizengwe na matamko ya Ndugu Wegesa (John Heche).
>>
>> Nimekuwa nikiwasumbua viongozi wenzangu kuhusu
>> kutengeneza kadi za
>> BAVICHA na kusajili wanachama katika mfumo mzuri
>> (database) ili tuwe
>> na kumbukumbu ya wanachama wetu lakini yote
>> yameshindikana kwasababu
>> amekuwa akiendeshwa na mfumo dume kandamizi kwa mwanamke,
>> mara nyingi
>> nimemshauri kwa ajili ya maendeleo ya Baraza na nimekuwa
>> nakwamishwa
>> na Mwenyekiti na Katibu na hata leo sisi wote ni
>> wanachama kwa
>> kufikirika (imagination), kwa kuwa bado hatuna kadi za
>> uanachama kwa
>> vijana wa BAVICHA zaidi ya kutambulika na katiba ya chama.
>>
>> KUKIUKWA KWA KATIBA
>>
>> Ndugu wanahabari, ni wazi kuwakatiba pamoja na mwongozo
>> wa baraza letu
>> la vijana bavicha ulikiukwa katikakikao walichokiita
>> kamati tendaji
>> iliyokaa tarehe 05/01/2012 ambayo iliongozwa na Bwana
>> Wegesa Suguta
>> (John Heche) kama Mwenyekiti, hali inayonilazimu kusema
>> wazi, bila
>> kumung'unya maneno kwamba maamuzi yaliyotolewa na kikao hicho
>> yalikwishapangwa na viongozi wa kitaifa hayakuwa halali.
>> Nasisitiza
>> kwamba ni ukweli ulio wazi kwamba agenda na maazimio ya
>> kikao hicho
>> yalikwisha amuliwa hata kabla ya kikao hicho kwasababu
>> kubwa mbili:
>>
>> 1; Taarifa za kufukuzwa kwetuzilikwisha anza kusikika
>> kwenye mitandao
>> ya kijamii kama vile jamii forum nafacebook mwezi mmoja
>> kabla ya kikao
>> cha kamati tendaji batili.
>>
>> 2; Pili ushahidi wa kimazingirakwa maana ya ukiukwaji
>> mkubwa wa
>> kikatiba na mwongozo wa Baraza letu la Vijana uliofanyika
>> siku ya
>> kikao.
>>
>> Ndugu wanahabari,
>> Ikumbukwe kuwa pamoja na uwepo wa taarifa za kikao mwezi
>> mmoja kabla
>> binafsi nililetewa taarifa hizo siku mbili kabla ya
>> kikao, tena kwa
>> njia ya ujumbe mfupi wa maandishi {sms} na baadae
>> kupigiwa simu na
>> Katibu wa Baraza Bwana Munishi ikinitaka kuhudhuria kikao
>> hicho
>> kutokana na kuwa nje ya Dar-es –salaam kwa mambo ya
>> kifamilia zaidi
>> niliwataarifu viongozi wenzangu kwa utaratibu maalumu wa
>> mawasiliano
>> ya kiuongozi kwa maana ya kuwatumia barua ya udhuru wa
>> kutohudhuria
>> kikao.
>>
>> Lakini cha kushangaza na kustaajabisha kwa viongozi
>> wenzangu hawa
>> ambao kwa namna moja ama nyingine napata ugumu wa kuelewa
>> kama kweli
>> wana sifa za kuitwa viongozi tena wa idara nyeti sana
>> katika ustawi wa
>> chama chetu, kwa makusudi kabisa ama kwa kutumwa kufanya
>> hivyo ama kwa
>> utashi wao mdogo wa kiupembuzi yakinifu waliamua kuvunja
>> na kukiuka
>> katiba ya chama na kujipa vyeo vya kiunyampara kwa kuamua
>> kuchukua
>> maamuzi ya kutuvua uanachama wa kufikirika wa baraza mimi
>> na vijana
>> wenzangu Ndugu Mwampamba na Mchange ambao nao hawakupewa
>> nafasi ya
>> kusikilizwa, ambao moja kwa moja tunapoteza sifa yakuwa
>> wanachama wa
>> CHADEMA.
>>
>> Ndugu wanahabari,
>> Naomba sasanijikite katika katiba ya chama changu na
>> mwongozo wa
>> baraza la vijana sura ya sita kipengele cha 6.5 ambacho
>> kinasema
>> taratibu zifuatazo lazima zifuatwe katika kuchukua hatua
>> za kinidhamu.
>> 6.5.2 kwa mujibu wa ibara 5.4.3 na .4.4 ya katiba, mwanachama
>> yeyotehatachukuliwa hatua za kinidhamu ama kuonywa ama
>> kuachishwa ama
>> kufukuzwa uanachama bila kwanza
>>
>> {a} kujulishwa makosa yake kwamaandishi na kutakiwa kutoa
>> majibu
>> katika muda usiopungua wiki mbili.
>> [b] kupewa nafasi yakujiteteakatika kikao kinachohusika.
>> {c} Mwanachama atajulishwa kwamaandishi uamuzi wa kikao
>> mnamo wiki
>> mbili baada ya kusikilizwa.
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,Nisemewazi kwamba hakuna kifungu
>> kilichofatwa kati ya hivyo niliyoviainisha hapo
>> juu,hakuna barua
>> yeyote niliyojulishwa ya hayo waliyoyaita mashitaka yangu
>> zaidi ya
>> kuyasoma na kuyasikia kwenye vyombo vya habari baada ya
>> wao na kikao
>> chaoharamu kuchukua maamuzi yakunivua uanachama wa Bavicha .
>>
>> Sikupewa nafasi yakujitetea maanasikuwepo kwenye kikao,
>> barua ya
>> udhuru wakutohudhuria walikuwa nayo. Na vilevile mpaka
>> leo hii
>> sijajulishwa kwa maandishi uamuzi wa kikao hicho batili
>> badaa yake
>> viongozi wenzangu hawa wameamua kuujulisha umma wa
>> Watanzania na
>> wanachadema kwa ujumla pasipo kunijulisha mimi kwanza.
>> Ukiangalia pia
>> kifungu cha 6.5.6 cha katiba kinasema KIONGOZI YEYOTE
>> hatachukuliwa
>> hatua za kinidhamu bila kwanza kupewa mashitaka kwa
>> maandishi na
>> mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu kwa maandishi.
>>
>> Sasa basi namtaka Bwana Wegesa Suguta awaeleze umma wa
>> watanzania kama
>> alivyokurupuka kuwaeleza kwamba Shonza amevuliwa
>> uanachama wa Chadema
>> ni wapi na lini yeye kama Mwenyekiti nilipewa barua ya hayo
>> wanayoyaita mashitaka, na ni lini niliwapa majibu ya
>> mashitaka hayo.
>>
>> UHALALI WAKIKAO CHA KAMATI TENDAJI
>>
>> Ndugu wanahabari,
>> Ikumbukwe kwambakikao cha juu kuliko vyote kwenye ngazi
>> ya chama
>> husika ni Mkutano Mkuu ambao ndio ulioniweka madarakani
>> kutokana
>> nakuwa na imani na mimi na kikatiba ndiohaswa ulipaswa
>> kuniandikia
>> mashitaka, kunijadili, kunihoji na kutoa maazimio ambayo
>> yangepelekwa
>> kamati kuu ambao kimsingi ndiyo yenye mamlaka ya mwisho
>> yakumvua mtu
>> yeyote uanachama wake baada ya kujiridhisha na taarifa na
>> uchunguzi
>> kutoka kwenye kikao husika kilichomwandikia mwanachama
>> mashitaka na
>> kumuhoji.
>>
>> Ndugu wanahabari ifahamike wazikwamba kikatiba kuna ngazi
>> mbili tu
>> zinazoweza kumvua mtu uanachama wake ambazoni ngazi ya
>> tawi na ngazi
>> ya kamati kuu.
>>
>> Hivyo basi namtaka sasa Bwana Wegesa Suguta auambie umma
>> wa watanzania
>> kwamba ni lini kamati tendaji ya vijanailigeuka ama
>> kukaimishwa
>> madaraka ya ngazi ya tawi, ngazi ya mkutano mkuu
>> amakamati kuu yakuwa
>> na uwezo wakumvua kiongozi uanachama wake?
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Wajumbe wa kamati tendaji kikatiba ni makatibu wa kamati
>> za uratibu za
>> mikoa lakini badala yake Bwana Wegesa Suguta (John Heche)
>> amekuwa
>> akiwaita wenyeviti wamikoa na sababu kubwa ikiwa ni
>> kwamba wengi wa
>> wenyeviti hao hawastahili kuwepobavicha kutokana na
>> kwamba umri wao
>> kuwa zaidi ya miaka 35 hivyo kupoteza sifa za kuwa
>> viongozi wa BAVICHA
>> ambayo katiba inamtaka mwanabavicha yeyote kuwa namiaka
>> 18-35, hivyo
>> basi kwa kuhofia kupoteza nafasi zao hulazimika
>> kukubaliana na lolote
>> lile ambalo bwana Wegesa Suguta analitaka hata kama
>> wakijua kwamba ni
>> kinyume kabisa na matakwaya katiba na mwongozo wa baraza.
>>
>> Hivyo kumpa Heche mwanya wakuamua lolote lileanalotaka
>> ama kutumwa
>> kulifanya. Kutokana na hilo natangaza wazikwamba kikao
>> cha kamati
>> tendaji kilichopita ni batili, chenye wajumbe batili,
>> kimesimamiwa na
>> viongozi batili kwa maana ya mwenyekiti na katibu wake maana
>> wameshindwakuheshimu misingi ya kikatiba katika namna ya
>> demokrasia ya
>> chama chetu hivyo basi nachukua nafasi hii kuutangazia
>> umma wa
>> watanzania na wanachadema kwa ujumla wao kwamba maamuzi
>> ya kamati
>> tendaji yaliyotangazwa na kiongozi kilazana daraja la
>> viongozi wa juu
>> bwana Wegesa Suguta ni batili.
>>
>> Ndugu wana habari,
>> Sifa ya Mwalimu ni kuweza kubadilisha hali ya umbumbumbu
>> wa wanafunzi
>> wake, Heche kama kiongozi, na Mwalimu kitaaluma (nina
>> wasiwasi na
>> ufaulu wake katika huo ualimu) alipaswa kuwa mfano bora
>> kwa vijana wa
>> Chadema kuwaelekeza na kuwafundisha namna ya kuheshimu
>> misingi ya
>> kikatiba ambayo kama chama na baraza tumejiwekea na
>> tunapaswa kuifuata
>> ni wazi kuwa Heche ameshindwa kuwa mfano bora kwa vijana,
>> hajui kanuni
>> za BAVICHA wala katiba ya CHADEMA, mkurupukaji,
>> mropokaji, mwenye
>> uwezo mdogo wa kufikiri, dikteta anayetumia mamlaka
>> asiyokuwa nayo
>> (akipewa mamlaka atatuchinja huyu) hivyo hafai kuwa hata
>> Mwenyekiti wa
>> serikali za mtaa, wala kuaminiwa popote kupewa nafasi ya
>> kiuongozi. Ni
>> wazi ubongo wake yeye nakatibu baraza bwana Munishi
>> haujapewa tohara
>> la kisiasa, ifike mahali wakubali kufundwa unyagoni na
>> manyakanga wa
>> kisiasa.
>>
>> KUHUSUKUVULIWA UANACHAMA WA BAVICHA;
>>
>> Ndugu wanahabari,
>> Kuhusu kuvuliwauanachama wa Bavicha ambao moja kwa moja
>> napoteza sifa
>> ya kuwa mwanachadema namshangaa kiongozi huyu ambaye sifa
>> yake kuu
>> siku zote ni ukurupukaji kwa kusema kwamba nimevuliwa
>> uanachama wa
>> Bavicha huku akijua wazi Bavicha haijawahi kuwa na kadi
>> za baraza.
>>
>> Katika mwongozo wa baraza lavijana kipengele cha 4.4
>> KUJIANDIKISHA
>> UANACHAMA 4.4.1 inasema ili kijanaaruhusiwe kujiunga
>> bavicha ni lazima
>> awe na sifa zifuatazo
>> [a] Awe mwanachama wa CHADEMA
>> [b] Awe na umri kati ya miaka 18 na 35
>> [c] Awe anakubaliana na misingiya mwongozo wa BAVICHA
>>
>> 4.4.2 Inasema kijana aliyekidhimatakwa hayo hapo juu,
>> atanunua kadi ya
>> uanachama wa BAVICHA
>>
>> Kutokana na kipengele hicho namtaka bwana Wegesa Suguta
>> auambie umma
>> wa watanzania na wanaCHADEMA kadi yake yeye ya baraza la
>> vijana ni
>> namba ngapi na aliichukulia wapi? Aueleze umma wa
>> watanzania kadi
>> yangu ya baraza la vijana ni namba ngapi na niliichukulia
>> wapi?
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Nidhahiri baraza la vijana chadema hatuna kadi ambayo
>> kimsingi ndiyo
>> utambulisho wa mwana BAVICHA endapo akishakidhi sifa
>> zilizoainishwa
>> hapo juu. Na ni wazikwamba vijana wote wa CHADEMA tuna
>> sifa za kuwa
>> wana Bavicha lakini si wanachama wa BAVICHA kutokana na
>> kwamba
>> nimekuwa nikimwambia mara kwa mara umuhimu wa kuirasimisha na
>> kuianzisha ili iwe taasisi kamili kwa kuwa na kadi za
>> vijana kama
>> mwongozo wa vijana unavyojieleza.
>>
>> UELEWA WANGU KUHUSUKUNDI ANALOLIITA NDUGU WEGESA SUGUTA
>> (JOHN HECHE)
>> NI "MASALIA"
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Hakuna kundi linaloitwa masalia ndani ya Chadema na
>> BAVICHA. Gazeti la
>> MWANAHALISI ndilo lililoandika kuwa vijana wote waliofutwa na
>> kuondolewa kwenye uchaguzi wa BAVICHA mwaka 2011 ni
>> MASALIA ya Zitto
>> yanayopukutishwa Chadema. Kimsingi gazeti hili lilikuwa
>> linafanya kazi
>> yake ya kipropaganda ndani ya CHADEMA ili kukigawa Chama.
>> Lilikuwa
>> linatimiza wajibu wake wa kupika mpasuko ndani ya chama
>> tena kwa
>> kuhusisha na viongozi wakubwa ndani ya chadema.
>>
>> Ni aibu kubwa sana na ni hatari kuona kiongozi kama
>> Wegesa Suguta
>> anakuwa mstari wa mbele kushabikia neno masalia, huku
>> akijua wazi
>> kufanya hivyo ni kuligawa baraza la vijana. Kwa nguvu
>> moja nalaani
>> kitendo hiki cha kipuuzi kinachofanywa na Mwenyekiti huyu
>> wa BAVICHA
>> cha kuchekelea upuuzi uliopikwa na gazeti la MwanaHalisi.
>> Naomba
>> atumie rasilimali za chama kujenga umoja wa vijana imara,
>> tushirikiane
>> kuimarisha Bavicha yenye tija kwa chama na sio kusherekea
>> mpasuko
>> ndani ya baraza la vijana.
>>
>>
>> UELEWA WANGU KUHUSU KITU KINACHOITWA PM7
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Naomba kunukuu maneno ya mtu maarufu sana mitandaoni na
>> kwenye uga wa
>> habari Mzee Mwanakijiji anasema
>> "Uongozi imara sio kutegeana, kunyemeleana na kufukuzana.
>> Uongozi
>> imara ni kushirikiana".
>>
>> PM7 ni jina lenye maana ya "PATRIOTIC MOVEMENT" yaani
>> harakatiza
>> kizalendo kwa mujibu wa Ndugu Ben saanane ambaye alitumwa
>> na kiongozi
>> wa juuwa chama kuja kulitekeleza kwa vijana walioenguliwa
>> kwenye
>> uchaguzi wa BAVICHAmwaka 2011 na wanaoonekana kusigana na
>> kiongozi
>> huyo kimawazo. PM7 ni wazoliliobuniwa na kiongozi mmoja
>> wa juu wa
>> chama akishirikiana na Ben saanane wakinuia kutega mtego
>> wa kuwanasa
>> vijana wanaoonekana wapo tofauti kimawazo nakiongozi huyo
>> wa chama.
>> Kwa kuwa wazo hilo lilikuwahalina manufaa kwa chama,
>> halikutekelezwa.
>>
>> Kiongozi huyo bila kumung'unya maneno ameamua kuwatumia
>> vijana hao
>> kuandaa kikao batili cha kamati tendaji ya John Heche ili
>> awafukuze
>> vijana hao. Hii ni hatari sana kuona kiongozi wa chama
>> unageuka simba
>> na kuanza kuwawinda watoto wake ili uwamalize kisiasa kwa
>> sababu zako
>> binafsi.
>>
>> MAAJABU KATIKAMEDANI ZA SIASA ZA BAVICHA MWAKA 2013
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>>
>> 1. Hii ni ajabu sana katika kikaocha kamati tendaji
>> batili, Ambao
>> hatukuhojiwa ni watu wawili, mimi Juliana Shonzana kijana
>> mmoja
>> anaitwa Exaud Mamuya. Lakini Mimi Juliana Shonza
>> nimehukumiwa bila
>> hata kusikilizwa wala kupewa mashitaka na chombo chochote
>> katika
>> chama. Wakati huo huo Exaud Mamuya hajahukumiwa kwa madai
>> hakufika
>> kwenye kikao. Hii ni dhahiri huu ni mkakati wa kipuuzi ambao
>> unaendeshwa na watu wapuuzi tena kwa misingi ya kikabila
>> na kikanda.
>>
>> 2. Muasisi mwenza wa PM7 na kibaraka wa kiongozi wa juu
>> wa chama
>> aliyetumika kutoa shutuma chafu kwa Naibu Katibu Mkuu. Kijana
>> anayefahamika kwa jina la Ben Saanane ameachwa kwa madai
>> yeye amekiri
>> mbele ya hiyo kamati tendaji kwamba ni kweli alinuia
>> kumchafua Naibu
>> Katibu Mkuu wa chama na kukivuruga chama. Wakati tuhuma zake
>> zinafananana za Mchange na Mwampamba.
>>
>> 3. Mkakati wa John heche navibaraka wake umejikita
>> kutukuza ukanda
>> ndani ya chama tena wa wazi wazi.Ukanda huu
>> umejidhihirisha kwenye
>> kutoa hukumu batili za tuhuma kama ifuatavyo.
>>
>> Vijana waliohukumiwa wote niwale wanaotokea Mbeya, Mbozi
>> na Kibaha.
>> Wakati Vijana wa Kilimanjaro wameachwa kwa madai wao wametoa
>> ushirikiano.
>>
>> Waliohukumiwa ni:
>> _Mtela Mwampamba-Mbozi, Mbeya
>> _Habib Mchange-Kibaha, Pwani
>> -Juliana Shonza-Mbozi, Mbeya
>> -Joseph Kasambala – Mbeya mjini (kasimamishwa)
>> - GWAKISA Mwakasendo –Rungwe, Mbeya (kasimamishwa)
>>
>> Pamoja na wanachama watatu waliopo Mbeya mjini waliofukuzwa
>> uanachama.
>>
>> Waliosamehewa ni:
>> _Ben saanane-Kilimanjaro
>> _Exaud Mamuya-Kilimanjaro.
>>
>> Hii ni dhamira ya wazi kabisa kwamba CHADEMA sasa ni
>> chama cha
>> kikanda, Viongozi wa CHADEMA wanatumika kutangaza ukanda kwa
>> watanzania.
>>
>> Kwa maana hiyo wale wote wasio wa kaskazini ndani ya Chadema
>> tusitegemee kutendewa haki.
>>
>> MAMBO NILIYOMSHAURI HECHE NA KUMUONYA:
>>
>> Ndugu waandishi wa habari, Sisikama vijana tusigeuze
>> siasa kuwa ajira
>> wala chombo cha kuendeshea maisha, ni moja ya vikwazo
>> katika kukuza
>> demokrasia ya kweli, maana wengi wanaendekeza njaa na
>> uhitaji wa
>> maisha yao ili kupindisha ukweli.
>>
>> Moja ya maswali yangu kwa Mwenyekiti ni kitendo cha
>> kubinafsisha gari
>> alilotoa Naibu Katibu Mkuu kwa ajili ya BAVICHA na badala
>> yake
>> akalifisadi, akafanya mali yake binafsi na kumuweka Mdogo
>> wake Chacha
>> Heche kuwa dereva wake, nimekuwa nikipinga matumizimabaya ya
>> rasilimali hiyo kwa manufaa binafsi, na badala yake gari hiyo
>> ifanyekazi iliyokusudiwa, huu ni msingi wa kuonyesha
>> tofauti yetu na
>> wanaotumiarasilimali za serikali (Taifa) kwa manufaa
>> binafsi nay a
>> familia zao.
>>
>> Pia nilimshauri Mwenyekiti awe nakipato halali kama
>> katiba ya chama
>> inavyosema Sura 10 MAADILI YA VIONGOZI ibara ya 10
>> kifungu cha (6)
>> kinasema Kiongozi anatarijiwa kujitosheleza yeye
>> nafamilia yake kwa
>> mapato halali ili kutokuwa ombaomba kwani tabia hiyo
>> itadhoofisha
>> uwezo wake wa kutoa uamuzi sahihi, ili kuwa mfano bora
>> wauwajibikaji
>> kwa vijana, kama ambavyo Mwalimu Nyerere alivyosema
>> kipimo cha Utuni
>> kufanya kazi, badala yake ametelekeza taaluma ya ualimu,
>> aliyotumia
>> pesa za walipa kodi kwa kusoma na muda wote ni kupiga
>> soga bila
>> uzalishaji na kujipatia kipato halali, na badala yake
>> anategemea
>> mshahara usio halali kuishi, ni wazi Mwenyekiti ni cheo
>> cha kisiasa na
>> hatakiwi kulipwa mshahara, wala kulipiwa nyumba kwa
>> mujibu wa kanuni.
>>
>> Badala yake majibu anafikiri ni kufanya njama na
>> waliopindisha
>> taratibu hizo ili alipwe mshahara kwa maslahi yao ya
>> kisiasa. Na
>> tumekuwa tukilipinga hilo kwani tunataka tuwe mfano wa
>> utawala bora
>> kwa vitendo na si maneno peke yake.
>>
>> MWISHO:
>>
>> Ndugu waandishi wa habari,
>> Nipokwenye mchakato na wanasheria wangu kushughulikia
>> swala la
>> kumpeleka mahakani Bwana John Heche na gazeti la Tanzania
>> Daima toleo
>> namba 2958 kwa kuniita msaliti wa CHADEMA, natumiwa na
>> CCM na kuwa
>> nina mahusiano (natumiwa) na Wassira tena bila kunihoji
>> mimi Juliana
>> Shonza. Kwa maana hiyo wamenichafua na kunidhalilisha
>> mbele ya umma wa
>> watanzania.
>>
>> Pili naomba kuweka wazi kwambanatarajia kuomba ufafanuzi
>> wa kikatiba
>> juu ya shutuma zilizotolewa kwenye vyombo vya habari
>> dhidi yangu na
>> bwana Wegesa Suguta (John heche) ili aseme ni aminisho
>> lipi la
>> kuthaminisha na kusakidikisha mtazamo wa maono yake ili
>> bongo za
>> watanzania zijue ukweli. Mimi Makamu Mwenyekiti wa
>> BAVICHA natangaza
>> rasmi Mtela Mwampamba na Habib Mchange ni wanachama hai
>> na halali wa
>> Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
>>
>> Hivyo nawaomba waendelee na kazizao za ujenzi wa chama
>> kwenye majimbo
>> yao na taifa kwa ujumla. Nawaomba wananchi na wanachama
>> wote wa
>> CHADEMA waendelee kuwa na imani dhidi ya vijanahawa. Kama
>> mlivyomwamini Mwampamba na kumpa kura 32000 na kama
>> mlivyo mwamini
>> Mchange na kumpa kura 10,400 kwenye uchaguzi wa Ubunge
>> mwaka 2010.
>> Vivyo hivyo naowaombamuendelee kushirikiana nao
>> kuhakikisha wanatimiza
>> adhima ya ukombozi mwaka2015.
>>
>> Wenu katika ujenzi wa demokrasia makini
>>
>> Juliana Daniel Shonza
>>
>> M/Kiti BAVICHA-Tanzania Bara.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> <http://www.wejobs.blogspot.com>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> <http://us.mc1411.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe%40googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
>> responsibility for any legal consequences of his or her
>> postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>> abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> <http://www.wejobs.blogspot.com>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com> Utapata
>> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> <http://www.wejobs.blogspot.com>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com> Utapata Email
>> ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>> and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>> our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>> our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>> our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts must be presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts must be presented responsibly. Your continued membership
> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
> Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment