Monday 28 January 2013

Re: [wanabidii] JE, TANZANIA INAOMBWA KUPELEKA MAJESHI MALI???

JWTZ wanakwenda DRC ambako Ufaransa ilitangaza kusaidia lakini,haijafanya kitu bado. Mali si rahisi kihivyo na Ecowas washajiingiza.
Matinyi.



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "John Nkumbaruko" <nkumbaruko@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] JE, TANZANIA INAOMBWA KUPELEKA MAJESHI MALI???
Date: Mon, Jan 28, 2013 1:41 pm


Kaka Issa,
Naona wewe mwenzetu ni mchawi, kwasababu uliyatabiri haya zamani!
Wengine tulivyomuona yule mama na JK pale airport ya Paris tulidhania labda tutapata karibu
a 2nd First Lady kutoka Mali, kumbe hatukujua what was being cooked!
Hata kaka Matinyi atashituka akiona kumbe mambo haya ya kupeleka jeshi letu kule Mali 
inaonesha yalizungumzwa pale Charles De Gaulle Airport!

//Nkumba.

MALI: No plans to send troops to Mali-JK

BY CORRESPONDENT

28th January 2013

President Jakaya Kikwete
Presidenty Jakaya Kikwete has denied information alleging that his country plans to send troops to Mali under the auspices of the International Support Mission for Mali (MISMA).
The president was speaking in Addis Ababa during the opening of the 20th ordinary summit of the African Union (AU) which has brought together about 40 African heads of state and government as well as United Nations Secretary General Ban Ki-moon.
In a firm and unequivocal statement, the Tanzanian president told Xinhua that his country's official position on the matter had already been communicated by the foreign minister who spoke about reinforcement of MISMA's capacity through other means. The matter will be the subject of discussion during a donors' conference on Tuesday in the Ethiopian capital.
"It's not clear whether Tanzania will send troops. We shall confirm it," the AU's Peace and Security Commissioner, Ramtane Lamamra, had told Xinhua earlier.
Some members of the Tanzanian delegation to the 20th AU summit affirmed that the country did not plan to send troops because of the language barrier.
"Tanzania is an English speaking country while Mali uses French as the official language," they explained.
"We have had troops in Lebanon and in the Democratic Republic of Congo (DR Congo). And it's normal because in the latter, the language of expression is Kiswahili (commonly used in the East African region)," a Tanzanian diplomatic source told Xinhua.


From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, January 21, 2013 12:59:02 PM
Subject: [wanabidii] JE, TANZANIA INAOMBWA KUPELEKA MAJESHI MALI???

Dear All,
Tuacheni hayo ya Muungano kidogo, kwani ninajua tutakuja kufahamiana tu baada ya miaka 49 kupita.
Lakini, linalonitia mimi wasiwasi sasa hivi ni kuona Rais wetu anakutana na mke wa Rais wa Mali mama 
TourĂ© Lobbo TraorĂ© uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada 
ya kuwasili tayari kuanza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu. 
Is this a coincidence huyu mke wa Rais wa Mali kukutana na Rais wetu uwanja wa ndege wa Paris au 
pana kitu hapa jamani kinapikwa?
Kama ni kuombwa kupeleka majeshi yetu Mali wengi wetu tutasema NO,NO,NO!!!!

...bin Issa.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment