Monday 21 January 2013

RE: [wanabidii] JE, TANZANIA INAOMBWA KUPELEKA MAJESHI MALI???

Suala la kuisaidia Mali kijeshi linaungwa mkono na Umoja wa Mataifa, Muungano wa Afrika na Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi - kama vyombo vya kimataifa, pamoja na mataifa yanayopakana na Mali kwa upande wa magharibi, yaani Mauritania, na kaskazini, yaani Algeria, na mkoloni wao wa zamani, Mali.
 
Hakuna fursa ya Tanzania hapo kwa kuwa Muungano wa Afrika haujasema kwamba unataka kupeleka majeshi. Siasa za kimataifa huwa zina mtiririko wake wa mambo. Inawezekana Tanzania ikaombwa, lakini hadi sasa hakuna muundo huo wala sababu wala fursa.
 
Matinyi.
 

Date: Mon, 21 Jan 2013 12:59:02 -0800
From: saidissa100@yahoo.com
Subject: [wanabidii] JE, TANZANIA INAOMBWA KUPELEKA MAJESHI MALI???
To: wanabidii@googlegroups.com

Dear All,
Tuacheni hayo ya Muungano kidogo, kwani ninajua tutakuja kufahamiana tu baada ya miaka 49 kupita.
Lakini, linalonitia mimi wasiwasi sasa hivi ni kuona Rais wetu anakutana na mke wa Rais wa Mali mama 
Touré Lobbo Traoré uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada 
ya kuwasili tayari kuanza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu. 
Is this a coincidence huyu mke wa Rais wa Mali kukutana na Rais wetu uwanja wa ndege wa Paris au 
pana kitu hapa jamani kinapikwa?
Kama ni kuombwa kupeleka majeshi yetu Mali wengi wetu tutasema NO,NO,NO!!!!

...bin Issa.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment