Kama kuna mtu anajua namna ya kuwasilisha maoni, anijulishe tafadhali nna maoni mengi sana baada ya kuipitia.
Martin Pius P. O. Box 561, BABATI Manyara Tanzania Mob: +255 78 447 4940 / +255 71 3474940 Email:malagila01@yahoo.co.uk
--- On Mon, 7/1/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject: [wanabidii] GMO kuwa promoted- Sera mpya ya Kilimo To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Monday, 7 January, 2013, 10:44
---------- Forwarded message ---------- From: mishy singano <mishysingano@yahoo.com> Date: 2013/1/7 Subject: [Wanazuoni] GMO kuwa promoted- Sera mpya ya Kilimo [1 Attachment] To: " Wanazuoni@yahoogroups.com" < Wanazuoni@yahoogroups.com> [Attachment(s) from mishy singano included below] Salaam Wapenda Kufuatia mjadala wa GMO wiki mbili zilizopita, wiki iliyopita niliweka jukwaani sera ya mpya ya kilimo ambayo wizara inakaribisha maoni, sidhani kama wengi tumejaliwa kuisoma ila naomba niwashawishi tuisome, angalau hili ni moja ya maazimio ya uso kwa uso, hatuhitaji mpaka sera ipitishwe ndio tuanze kupiga kelele, kama sera ile ya kinanssf.
Tuache hayo, kwenye sera mpya inayopendekezwa, page 13, kipengele 4.1.3.3 policy startment, kinasema ii) New and emerging research areas that promise to mitigate low production and productivity in agriculture such as Genetically Modiefied Organisms shall be promoted"
Na kuna mengi mengineo, kama formulation of Intrelectual property rights kwenye seed breeading n.k. Incase ulidelete, hii hapa tena Salam Mishy __._,_.___ Attachment(s) from mishy singano 1 of 1 File(s) . __,_._,___
-- www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment