Friday 18 January 2013

Re: [wanabidii] Dr. Hamisi Kigwangalla naye anahutubia na Kifimbo!

Magesa, sijawahi hata siku moja kubadili msimamo wangu kuhusu suala lolote lile, achilia mbali hilo la madaktari. Na hiyo ni kawaida yangu, nikiamua jambo huwa nalifanya, mfano sijawahi kumkubali Slaa na angalia ni lini nimewahi mfagilia? sijawahi hata mara moja. Sijawahi kuacha kumkubali Rais Kikwete na kila siku mtazamo wangu ni huo huo hata kama watu wanapingana nao...
sijawahi kuwa na sura 2 hata siku moja...huwa ninayo moja tu na inaonekana wazi na haibadiliki hata wengi wanapingana na mtazamo wangu, hata kama ninagombea Ubunge wa Africa na ninajua nitanyimwa kama nisipowapigia magoti baadhi ya makada, sikuwahi kufanya hivyo na sikupewa Ubunge...

On Fri, Jan 18, 2013 at 4:19 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Mbunge,
'Haifanani kabisa. You should be ashamed kujifananisha na baba wa taifa.
em

On Fri, Jan 18, 2013 at 8:13 AM, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
kwani unaionaje misimamo yangu haifanani na ya baba wa taifa 

On Fri, Jan 18, 2013 at 12:06 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
wote HK na EL wana ndoto za kuwa rais, ukichanganya na wamesikia
watanzania wanampenda sana Nyerere and they want someone like him,
Nini kifuatacho?? tunataka wafuasi wa misimamo na matendo yake
kikazi/kiuongozi na si kimwili tu.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

0 comments:

Post a Comment