Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] Dr. Hamisi Kigwangalla naye anahutubia na Kifimbo!

Mimi nimeshakubali kusepa. Lakini sitakaa kimya nikiona historia inaandikwa upya.
em

2013/1/21 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
HK,
Usidai uhalali wa alilosema mwenzio hali la kwako hujaonyesha uhalali
wake. anyway, alichokifanya JK mpaka kuingia Ikulu kila mwenye jicho
la 3 anakijua!! ugumu wake kukielezea ni vile hakina back up evidence
kwa sababu ni njia zisizo halali!!

Huo mzimu wa mwalimu uliongelea wapi? na hayo mengi nisiyoyajua kuhusu
kutoruhusiwa kwake kushika bendera ya CCM ni yepi ndugu yangu? nieleze
na mie niyajue ili siku nyingine nisiulize tena!! (najua hakuna). Nina
uhakika hata wewe unaujua Mtandao uliomwingiza JK madarakani ila
hutaki kuyaweka bayana sababu ndipo shibe yako ilipo!!

When we will be matured enough to met the transparency of KAGODA,
RICHMOND e.t.c. is when we will be able kumjua who is JK as well as HK
vs JKN footsteps.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment