Wednesday 23 January 2013

Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Kazi kwelikweli,
Tony Diallo ambaye hata mimi namheshimu sana (alikuwa bosi wangu enzi zetu na Vin), tukubali kwamba ameteleza kwasababu kubwa mbili; Kwanza amezungumzia jambo ambalo ana mgongano wa kimaslahi.

Yeye ni Mwenyekiti wa CCM anawakataza watumishi wasijihusishe na siasa za vyama vingine, hapa hapana. Hili lilipaswa kusemwa na mtu neutral ambaye si Mwenyekiti wa CCM Mwanza.

Lakini pia ni fact kwamba alishindwa ubunge na wapinzani katika uchaguzi mkuu wa 2010, sasa kauli ya aina hiyo maana yake inaweza kuwa na tafsiri ambayo haileti sura nzuri katika siasa za sasa za ushindani.

Tunaweza kumtafisiri kuwa mtu anayeanza kuwasakata waliosababishwa kushindwa kwake na kuwashughulikia akitumia ushawishi wa kisiasa alionao sasa akiwa CM.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 23 Jan 2013 20:01:55 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Kwavile haupo hivyo naona unatamani ungekuwa hivyo. Utajiri na ubunge ni vitu viwili tofauti na inategemea na mhusika. Sioni justification ya msimamo wako. Fikiria kwanini Mengi hagombei ubunge kama kwa maneno yako ungekuwa mtamu hivyo. Hujapata mfano sahihi, endelea kujaribu.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 23 Jan 2013 22:56:13 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Gabriel, tupe kifungu kinachoeleza haya. Ndugu yangu, Ubunge na Uwaziri ni zaidi ya utajiri. Ndo maana matajiri wengi ndo wanaounyatia kwa gharama kubwa.
Vin

2013/1/23 Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Frustration ndiyo inamanya aseme ukweli. Ubunge na huyu baba ina mahusiano gani? Ninavyofahamu huyu jamaa alipokosa ubunge akakubali kushindwa fasta, pili alipokuwa waziri hatukusikia skandali yake. Lakini ni kati ya matajiri wakubwa nchi hii, ana hisa karibu mashirika yote yaliyo kwenye DSE na huko majuu. Asikitikie ubunge wa mshahara wa mil.6 au 7 tu kwa mwezi wakati yeye ni milionea tayari. Tatizo kazungumza mwana ccm, aliyoyasema yangekuwa ya Dk Slaa hapa tungeshabikia. Aliyoyasema huyu ni kweli na ndizo taratibu za ajira kisheria. Hata tukimnunia yuko sahihi na hata kama alikuwa bosi wako wa zamani au leo, yupo sahihi.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Date: Wed, 23 Jan 2013 22:31:38 +0300
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Huyu boss wangu wa zamani anafrustration za kukosa ubunge. Ha ha haaaaa!  KWa hiyo watumishi wa umma wakishabikia CCM kwake ni sawa. Hivi sheria ya Mahusiano ya kazi inasemaje au ile ya vyama vigi inaelezaje jamani?
Vin

2013/1/23 Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu) <EMbise@africanbarrickgold.com>
Mtoi,
Vongozi wengine wanataka kujulikana kama wapo,kwa chama chao hapo amefanya kazi siku imeingia.
Kuna vitu amepungukiwa anahitaji msaada....
Phd inategemea..

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Mohamedi Mtoi
Sent: Wednesday, January 23, 2013 6:01 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Mh. Antony Diallo alisikika Ch 10 TV akisema kwamba CCM ndiyo yenye dola, na watendaji wake wote wa serikali wanatekeleza sera za CCM.

Akaendelea kuonya kwamba mfanyakazi yeyote yule wa SERIKALI awe Mwalimu, Daktari au yoyote  atakayeonekana anashabikia chama chochote cha cha UPINZANI, CCM itamshughulikia kwa kumfukuza kazi.

Hivyo wafanyakazi wote wa Serikali wanatakiwa kushabakia chama tawala.

Hizi ni kauli za mtu mwenye hadhi ya daktari wa falsafa.  (Phd), zina tenge zina tia huruma zina tia kinyaa!
Sent from my BlackBerry(r) smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
wanabidii+ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

0 comments:

Post a Comment