Wednesday 23 January 2013

Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Katiba sio suala la siasa. Acha kuchanganya mambo ili ushinde hoja. Hata hivyo kuzuia kuvuruga kazi walitakiwa waende jumapili au jumamosi kama wafanyavyo kwa chaguzi.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: ernestdejohn@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 23 Jan 2013 16:26:20
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Kwa hiyo tatizo hapa ni uelewa!
Mfanyakazi asiache kazi na kwenda kushabikia mambo ya siasa!

Swali. Kipindi cha kutoa maoni ya katiba wafanyakazi wa serikali wasiiende kutoa maoni? Na kipind cha kampeni wafanyakazi wa serikalini wasishiriki?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 23 Jan 2013 16:07:43
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Usomi wake na maneno yake vina mahusiano gani? Kuna wangapi walio na phd lakini matendo na maneno yao havina mahusiano. Inawezekana kazungumza kama mwanasiasa basi. Nilivyosimuliwa mimi alisema wanaoshabikia siasa na kusahau kazi zao na kanuni za ajira ndiyo hao washughulikiwe. Kuna kosa gani na hilo. Kanunu za utumishi wa uma zinaruhusu mtanzania kujiunga na chama chochote lakini sio kuwa na ushabiki na wengine kama waalimu wanaacha kazi zao na kwenda kufanya shughuli za vyama vyao vya siasa. Kanuni za utumishi haziruhusu. Ndicho nilichosikia akikemea. Kuna ubaya gani na hilo?
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: "Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu)" <EMbise@africanbarrickgold.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 23 Jan 2013 15:59:28
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mtoi,
Vongozi wengine wanataka kujulikana kama wapo,kwa chama chao hapo amefanya kazi siku imeingia.
Kuna vitu amepungukiwa anahitaji msaada....
Phd inategemea..

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Mohamedi Mtoi
Sent: Wednesday, January 23, 2013 6:01 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Mh. Antony Diallo alisikika Ch 10 TV akisema kwamba CCM ndiyo yenye dola, na watendaji wake wote wa serikali wanatekeleza sera za CCM.

Akaendelea kuonya kwamba mfanyakazi yeyote yule wa SERIKALI awe Mwalimu, Daktari au yoyote atakayeonekana anashabikia chama chochote cha cha UPINZANI, CCM itamshughulikia kwa kumfukuza kazi.

Hivyo wafanyakazi wote wa Serikali wanatakiwa kushabakia chama tawala.

Hizi ni kauli za mtu mwenye hadhi ya daktari wa falsafa. (Phd), zina tenge zina tia huruma zina tia kinyaa!
Sent from my BlackBerry(r) smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
wanabidii+ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

0 comments:

Post a Comment