Thursday 24 January 2013

Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mfanyakazi kama Mtanzania yeyote ana haki ya kuwa mwanachama au mpenzi wa chama chochote cha siasa alimradi hakiuki masharti ya ajira yake. Hakuna sharti linalosema asiwe shabiki, mwanachama au mpenzi wa chama cha siasa, anachozuiwa ni kufanya siasa kazini.
 
Viongozi wengi wa CCM, na hasa hawa wenye Udokta au PhD hizi za 'Elimu kwa njia ya posta', wanaitwa 'doctors' lakini fikra na matendo yao havina uhusiano wowote na upeo unaostahili wa PhD holders. Siasa zile za chama kushika hatamu ziliwaharibu, na walio wengi japo wanatamka kuwa tupo kwenye mfumo wa vyama vingi lakini akili zao bado ni za chama kimoja, chama dola. Hawa wanasubiria tu muda wao upite, hawawezi kubadilika. Wanayoyaona hawaamini maana daima waliamini kuwa CCM ni kila kitu, CCM ni serikali, CCM ni mahakama, CCM ni jeshi na CCM ni polisi. Hao ni kuwaombea, wapishe kwa amani, wakapumzike ili mawazo mapya yapate uwanja ulio safi unaoweza kuruhusu fikra mpya kuchipuka, kustawi na kisha kutoa matunda.
 
Bart

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 24, 2013 5:47 AM
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

But why is he worried now? Anadhani njia kuelekea 2015 is rough for him now? Alichomaanisha ilikuwa intimidate za kitoto. Civilized community haziongozwi kwa vitisho, bali kwa kukumbushwa pale ambapo anadhani people are going the wrong way. Angetumia a sensible language, nadhani hii thread isingekuwepo.
Lutinwa
Sent from Samsung Tab 10.1
On Jan 24, 2013 3:51 AM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
Vin,

Kifungu kipi unataka. Mfanyakazi wa serikali anajua, masharti ya kazi PSG, inazuia nini au kuruhusu kitu kipi. Wajibu ni wa kwako kusma.

Wanajaribu kuingiza kifungu cha 19 (1) cha sheria za vyama kinachokataza kulazimisha mtu kujiunga na chama cha siasa. Diallo hasemi hivyo, anataka watumishi wafuate sheria na kanuni za kazi, basi.

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Date: Wed, 23 Jan 2013 22:56:13 +0300
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Gabriel, tupe kifungu kinachoeleza haya. Ndugu yangu, Ubunge na Uwaziri ni zaidi ya utajiri. Ndo maana matajiri wengi ndo wanaounyatia kwa gharama kubwa.
Vin

2013/1/23 Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Frustration ndiyo inamanya aseme ukweli. Ubunge na huyu baba ina mahusiano gani? Ninavyofahamu huyu jamaa alipokosa ubunge akakubali kushindwa fasta, pili alipokuwa waziri hatukusikia skandali yake. Lakini ni kati ya matajiri wakubwa nchi hii, ana hisa karibu mashirika yote yaliyo kwenye DSE na huko majuu. Asikitikie ubunge wa mshahara wa mil.6 au 7 tu kwa mwezi wakati yeye ni milionea tayari. Tatizo kazungumza mwana ccm, aliyoyasema yangekuwa ya Dk Slaa hapa tungeshabikia. Aliyoyasema huyu ni kweli na ndizo taratibu za ajira kisheria. Hata tukimnunia yuko sahihi na hata kama alikuwa bosi wako wa zamani au leo, yupo sahihi.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.
From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Date: Wed, 23 Jan 2013 22:31:38 +0300
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Huyu boss wangu wa zamani anafrustration za kukosa ubunge. Ha ha haaaaa!  KWa hiyo watumishi wa umma wakishabikia CCM kwake ni sawa. Hivi sheria ya Mahusiano ya kazi inasemaje au ile ya vyama vigi inaelezaje jamani?
Vin

2013/1/23 Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu) <EMbise@africanbarrickgold.com>
Mtoi,
Vongozi wengine wanataka kujulikana kama wapo,kwa chama chao hapo amefanya kazi siku imeingia.
Kuna vitu amepungukiwa anahitaji msaada....
Phd inategemea..

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Mohamedi Mtoi
Sent: Wednesday, January 23, 2013 6:01 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Mh. Antony Diallo alisikika Ch 10 TV akisema kwamba CCM ndiyo yenye dola, na watendaji wake wote wa serikali wanatekeleza sera za CCM.

Akaendelea kuonya kwamba mfanyakazi yeyote yule wa SERIKALI awe Mwalimu, Daktari au yoyote  atakayeonekana anashabikia chama chochote cha cha UPINZANI, CCM itamshughulikia kwa kumfukuza kazi.

Hivyo wafanyakazi wote wa Serikali wanatakiwa kushabakia chama tawala.

Hizi ni kauli za mtu mwenye hadhi ya daktari wa falsafa.  (Phd), zina tenge zina tia huruma zina tia kinyaa!
Sent from my BlackBerry(r) smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
wanabidii+ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment