Wednesday 23 January 2013

RE: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mtoi,
Vongozi wengine wanataka kujulikana kama wapo,kwa chama chao hapo amefanya kazi siku imeingia.
Kuna vitu amepungukiwa anahitaji msaada....
Phd inategemea..

-----Original Message-----
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Mohamedi Mtoi
Sent: Wednesday, January 23, 2013 6:01 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Mh. Antony Diallo alisikika Ch 10 TV akisema kwamba CCM ndiyo yenye dola, na watendaji wake wote wa serikali wanatekeleza sera za CCM.

Akaendelea kuonya kwamba mfanyakazi yeyote yule wa SERIKALI awe Mwalimu, Daktari au yoyote atakayeonekana anashabikia chama chochote cha cha UPINZANI, CCM itamshughulikia kwa kumfukuza kazi.

Hivyo wafanyakazi wote wa Serikali wanatakiwa kushabakia chama tawala.

Hizi ni kauli za mtu mwenye hadhi ya daktari wa falsafa. (Phd), zina tenge zina tia huruma zina tia kinyaa!
Sent from my BlackBerry(r) smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
wanabidii+ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment