Huenda kweli wakaamua kulimaliza kwa njia hiyo ili kuzuia mgawanyiko ndani mwao. Ila lazima tukubali kuwa jicho la watanzania linaiangalia CHADEMA kwa jicho la matumaini. Na mafisadi wanaiangalia kwa makini ili kuibomoa. Siamini kuwa waliotangaza kugombea kinyume na katiba ya sasa hawakutumwa. Siamini pia kuwa watanzania wataruhusu CHADEMA ichezewe. Iwe na waliondani au walio nje. Wakati wa Uongozi wa Mwinyi tumaili la watanzania ilikuwa Mrema. Sasa CHADEMA
--- On Thu, 1/10/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES! To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Thursday, January 10, 2013, 5:11 AM
Ndugu Mhingo, Nafikiri hata CHADEMA wenyewe wasingependa kua na Rais mwenye umri wa chini ya miaka 40 (kijana sana). Nadhani hilo wameliweka kama gelesha tu kuondoa dhambi ya ubaguzi wa umri uliokua umeanza kupandikizwa na baadhi ya wana CHADEMA wenye uchu wa madaraka. Kumbukeni hapo nyuma baadhi ya wana CHADEMA walienda mbali na kutoa statement tata na za kibaguzi kama 'Maendeleo ya Tanzania hayataletwa na watu waliozaliwa kabla ya uhuru'. Na wengine kuanza kutangaza nia ya kugombea Urais japo wanajua kua umri wao utakua haujakidhi sifa kwa mjibu wa katiba ya sasa inayotumika. Kwahiyo mimi nafikiri CHADEMA wameamua kulimaliza hilo kistaarabu. Ila mimi ninavyoona ni hatari sana kuacha huru kua kila mwenye haki ya kupiga kura awe na haki ya kuchaguliwa kuwa Rais. Alexander
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, January 9, 2013 8:17 PM Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!
Kitigwa. Uongozi wa wafalme wa Israel ukiuangalia sana watoto waliotawala walitegemea busara za mawaziri wakuu. Tanzania tukisema kuanzia miaka 18 ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa tunaliweka Taifa katika uwezekano wa kuwa na amirijeshi mtoto. Kutegemea uamuzi wa watu milioni 30 za wapiga kura ni hatari. Mtu anaweza kuandaliwa marekani anakosoma. Wakamleta leo wakampigia kampeni kwa hela nyingi kesho akawa rais. Madereva vijana ndio wanaangusha magari kuliko wazee. Huwezi kuweka urais kwenye probability hivyo
--- On Wed, 1/9/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES! To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, January 9, 2013, 4:33 AM
Kitigwa
Tatizo huwa tunapenda kuzungumza sana wakati hali halisi ya Tanzania tunaijua, kijana au babu hawezi kujichagua hata kidogo bali wako watakaomfikisha hapo juu -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
| -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment