Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!

Ndugu Mhingo,
Nafikiri hata CHADEMA wenyewe wasingependa kua na Rais mwenye umri wa chini ya miaka 40 (kijana sana). Nadhani hilo wameliweka kama gelesha tu kuondoa dhambi ya ubaguzi wa umri uliokua umeanza kupandikizwa na baadhi ya wana CHADEMA wenye uchu wa madaraka.

Kumbukeni  hapo nyuma baadhi ya wana CHADEMA walienda mbali na kutoa statement tata na za kibaguzi kama 'Maendeleo ya Tanzania hayataletwa na watu waliozaliwa kabla ya uhuru'. Na wengine kuanza kutangaza nia ya kugombea Urais japo wanajua kua umri wao  utakua haujakidhi sifa kwa mjibu wa katiba ya sasa inayotumika. Kwahiyo mimi nafikiri CHADEMA wameamua kulimaliza hilo kistaarabu. Ila mimi ninavyoona ni hatari sana kuacha huru kua kila mwenye haki ya kupiga kura awe na haki ya kuchaguliwa kuwa Rais.
Alexander

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 8:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!

Kitigwa.
 
Uongozi wa wafalme wa Israel ukiuangalia sana watoto waliotawala walitegemea busara za mawaziri wakuu.
Tanzania tukisema kuanzia miaka 18 ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa tunaliweka Taifa katika uwezekano wa kuwa na amirijeshi mtoto. Kutegemea uamuzi wa watu milioni 30 za wapiga kura ni hatari. Mtu anaweza kuandaliwa marekani anakosoma. Wakamleta leo wakampigia kampeni kwa hela nyingi kesho akawa rais.
Madereva vijana ndio wanaangusha magari kuliko wazee.
Huwezi kuweka urais kwenye probability hivyo

--- On Wed, 1/9/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, January 9, 2013, 4:33 AM

Kitigwa

Tatizo huwa tunapenda kuzungumza sana wakati hali halisi ya Tanzania tunaijua, kijana au babu hawezi kujichagua hata kidogo bali wako watakaomfikisha hapo juu

2013/1/9 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Bariki
Hata akijitokeza kijana wa miaka 18 kugombea si atachujwa na chama chake kama taonekana kuwa yeye ndo anafaa kuwa mgombea wao na amewashinda wengine woote basi watanzania kupitia kura zao wataamua kama wanamuhitaji awe raisi wao watamchagua.

2013/1/9 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Kitigwa

Watu wanachukulia kwamba tayari tumempata mgombea wa umri huo. Hivi niulize tu je kuna diwani mwenye umri wa miaka 21 mpaka sasa?

2013/1/9 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Jamani mi mbona naona hoja hii ni nyepesi tu.
Hawajasema raisi awe na miaka 18 bali mtu akifikisha huo umri ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi yoyote ya uongozi.
Kama wananchi wakiamua kuwa kijana wa miaka 18 awe raisi wa nchi watakuwa wameridhika naye kuwa anaweza kuongoza Taifa.
Mbona kwenye Maandiko matakatifu (Biblia) watoto wa miaka 8-15 walitawazwa kuwa wafalme tena kwa kuchaguliwa na Mungu chini ya manabii wake.
Kwa hiyo uongozi hutoka kwa Mungu, anaweza kumpa kipawa hata mtoto chini ya huo umri akawa ni kiongozi mzuri kuliko hata watu wazima wa miaka 50.
CHADEMA hawajasema raisi awe na umri wa miaka 18 bali umri huo unampa mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi yoyote ya uongozi na katika hilo nawaunga mkono kwa asilimia 100

2013/1/9 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Naunga mkono hoja ya Elisa katika kipengele cha umri.

Urais ni kitu kingine tofauti kabisa. lazima watu wakuelewe wewe ni
mtu wa aina gani, umri mdogo hautoshi kutuonyesha tabia, mienendo yako
n.k. achilia mbali kukomaa akili (nayo ni lazima)  kama kuanzia 1990's
kungekuwa na uhuru wa media kama sasa hata aliyeko juu mwenyewe
asingeupata huo urahisi.

Mfumo ndio tatizo, sawa hatukatai, mna maana gani?? mfumo urekebishwe
ili rais abanwe kiutendaji lakini aendelee kula ujana club, e.t.c.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment