Wednesday 9 January 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!

Naunga mkono hoja ya Elisa katika kipengele cha umri.

Urais ni kitu kingine tofauti kabisa. lazima watu wakuelewe wewe ni
mtu wa aina gani, umri mdogo hautoshi kutuonyesha tabia, mienendo yako
n.k. achilia mbali kukomaa akili (nayo ni lazima) kama kuanzia 1990's
kungekuwa na uhuru wa media kama sasa hata aliyeko juu mwenyewe
asingeupata huo urahisi.

Mfumo ndio tatizo, sawa hatukatai, mna maana gani?? mfumo urekebishwe
ili rais abanwe kiutendaji lakini aendelee kula ujana club, e.t.c.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment