Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!

Ukiangalia huu mjadala ulivyoenda mpaka sasa utagundua kuwa wanabidii wameyakubali kwa PAMOJA mapendekezo yote isipokuwa hili la umri ndio kuna mgawanyiko. Kwa hilo tu nawapongeza chadema!

On Thursday, January 10, 2013 8:13:38 AM UTC+3, Bariki Mwasaga wrote:
Nadharia nyingi tu zinazungumzwa kuhusu vijana jamani wanaorubuni mabinti wa shule kwa sehemu kubwa si vijana ambao wanaonekana hawana busara ya kuongoza nchi. Naamini kama Katiba itakuja kwa mfumo unaopendekezwa bado atakayekuwa kiongozi haatakuwa na madaraka makubwa ya kufanya atakacho kama ambavyo Katiba ya sasa ilivyo wazi na inavyoweza kuchangia kuwa na Rais anayeweza kubadilisha vifungu vya Katiba kama akitaka.

2013/1/10 Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
Hivi kwa mfumo huu wa Chadema hamuoni kuwa rais wa muungano atakuwa tofauti sana na hali tulionayo kwa sasa. Anachaguliwa na bunge na baraza la wawakilishi i hope they should know better sidhani katoto ka miaka 18 kakiweza kuwashawishi kuwa kanafaa wakaridhika tutakuwa na shida na hapa naona uwezekano wa kupata hata rais mwenye umri wa mika hiyo 40 but mtu bora tuuuuuuu.

Tusipoteze muda kuyafikiri ya umri hivi mwl. wakati anaanza kulamba majukumu makubwa kabisa ya kutuongoza alikuwa na umri gani vile?

2013/1/9 alexander chipalazya <chipa...@yahoo.com>
Kafumu hilo nalo ni swali zuri kujibiwa kwawanao taka mgombea Urais awe na umri kuanzia 18. Tukumbuke kua Rais ndio nafasi kubwa kabisa ya  uongozi wa nchi.

From: Dr Peter D Kafumu <kaf...@yahoo.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 9, 2013 3:10 PM

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!

waliingia madarakani kwa kuchaguliwa, kuwekwa, kurithi au kwa mapinduzi ufafanuzi ni muhimu.

--- On Wed, 1/9/13, Vincent Mhangwa <vmha...@gmail.com> wrote:

From: Vincent Mhangwa <vmha...@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA - THANK YOU A THOUSAND TIMES!
To: wana...@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 9, 2013, 1:09 PM

Wafuatao waliwahi kuwa Viongozi wa Juu Wakiwa vijana:
1.      Jigme Khesar Namgyel Wangchuck
King of Bhutan
Date of birth: Feb. 21, 1980
Assumed power on: Dec. 14, 2006
 
2.      Roosevelt Skerrit
Prime Minister of Dominica
Date of birth: June 8, 1972
Assumed power on: Jan. 8, 2004
3.      Joseph Kabila
President of the Democratic Republic of the Congo
Date of birth: June 4, 1971
Assumed power on: Jan. 26, 2001
4.      Nikola Gruevski
Prime Minister of Macedonia
Date of birth: Aug. 31, 1970
Assumed power on: Aug. 27, 2006
5.      Marcus Stephen
President of Nauru
Date of birth: Oct. 1, 1969
Assumed power on: Dec. 19, 2007
6.      Mswati III
King of Swaziland
Date of birth: April 19, 1968
7.      Mikheil Saakashvili
President of Georgia
Date of birth: Dec. 21, 1967
Assumed power on: Jan. 25, 2004
8.      Faure Gnassingbe
President of Togo
Date of birth: June 6, 1966
Assumed power on: Feb. 5, 2005
9.      Sergei Stanishev
Prime Minister of Bulgaria
Date of birth: May 5, 1966
Assumed power on: Aug. 17, 2005
10.  Dmitry Medvedev
President of Russia
Date of birth: Sept. 14, 1965
Assumed power on: May 7, 2008
 
Vin 

2013/1/9 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Kitigwa

Tatizo huwa tunapenda kuzungumza sana wakati hali halisi ya Tanzania tunaijua, kijana au babu hawezi kujichagua hata kidogo bali wako watakaomfikisha hapo juu

2013/1/9 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Bariki
Hata akijitokeza kijana wa miaka 18 kugombea si atachujwa na chama chake kama taonekana kuwa yeye ndo anafaa kuwa mgombea wao na amewashinda wengine woote basi watanzania kupitia kura zao wataamua kama wanamuhitaji awe raisi wao watamchagua.

2013/1/9 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Kitigwa

Watu wanachukulia kwamba tayari tumempata mgombea wa umri huo. Hivi niulize tu je kuna diwani mwenye umri wa miaka 21 mpaka sasa?

2013/1/9 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Jamani mi mbona naona hoja hii ni nyepesi tu.
Hawajasema raisi awe na miaka 18 bali mtu akifikisha huo umri ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi yoyote ya uongozi.
Kama wananchi wakiamua kuwa kijana wa miaka 18 awe raisi wa nchi watakuwa wameridhika naye kuwa anaweza kuongoza Taifa.
Mbona kwenye Maandiko matakatifu (Biblia) watoto wa miaka 8-15 walitawazwa kuwa wafalme tena kwa kuchaguliwa na Mungu chini ya manabii wake.
Kwa hiyo uongozi hutoka kwa Mungu, anaweza kumpa kipawa hata mtoto chini ya huo umri akawa ni kiongozi mzuri kuliko hata watu wazima wa miaka 50.
CHADEMA hawajasema raisi awe na umri wa miaka 18 bali umri huo unampa mtu haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika ngazi yoyote ya uongozi na katika hilo nawaunga mkono kwa asilimia 100

2013/1/9 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Naunga mkono hoja ya Elisa katika kipengele cha umri.

Urais ni kitu kingine tofauti kabisa. lazima watu wakuelewe wewe ni
mtu wa aina gani, umri mdogo hautoshi kutuonyesha tabia, mienendo yako
n.k. achilia mbali kukomaa akili (nayo ni lazima)  kama kuanzia 1990's
kungekuwa na uhuru wa media kama sasa hata aliyeko juu mwenyewe
asingeupata huo urahisi.

Mfumo ndio tatizo, sawa hatukatai, mna maana gani?? mfumo urekebishwe
ili rais abanwe kiutendaji lakini aendelee kula ujana club, e.t.c.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment