Thursday 17 January 2013

Re: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA

Hakuna maamuzi yoyote nchi hii yanayofanyika kwa kujali 'future national economic development'' au ''people centered development  decisions' isipokua kujali 10% commission. Hili lilitakiwa kuonekana miaka miwili au hata mitano kabla na likatafutiwa dawa kabla halijatokea, lakini kwa sababu serikali yetu kuanzia juu hadi chini viongozi WOTE wakikaa ofisini tu wana-fikiri 10% COMMISION, akili zimebweteka, zimeoza , zimekaa kuwinda rushwa tu!!  hawawezi kuona kuwa taifa linaangamia kiuchumi.

Kuangamia kiuchumi ninakosema sio ukosefu wa barabara au maghorofa, isipokua ukosefu wa Uchumi wa nchi hii kuwa mikononi mwa wananchi. i.e. Serikali yetu jamani imenyakuliwa njia kuu zote za uchumi!!! Uchumi wa nchi hii uko mikononi mwa wageni!!!  hili liko wazi, na huku ndiko kufa, kuangamia kiuchumi!!

Madhara ya Uchumi kuwa mikononi mwa wageni ni kuwa, maamuzi makubwa ya nchi hii yote yatakuwa yanafanywa kwa manufaa ya wageni na sio kwa manufaa ya wananchi au maendeleo ya nchi ispokuwa kwa manufaa ya nchi za wageni na wageni wenyewe!!.  
Kenya wanaweza kufinace budget ya nchi yao kwa asilimia 95, sisi tunajitegemea kwa asilimia ngapi??

2013/1/17 John George <georgejn2000@gmail.com>
@ Lutgardk Ungependa wafanye biashara na nani?

On 1/17/13, Lutgardk <lutgardk@yahoo.com> wrote:
> Mjukuu umenena!
>
> Lakini kwa hali halisi ilivyo hapa, nawashangaa hata wale wanaoendele
> kufanya biashara na sisi!  LKK
>
> Sent from my iPad
>
> On 17 Jan 2013, at 7:41 alasiri, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
> wrote:
>
>> Hili ni tatizo kubwa mno kwetu kiuchumi. From March, hakuna direct flight
>> ya London. Inatuma ujumbe mchafu kabisa. This is bad guys, tuache mchezo.
>> Ndiyo ujinga wa joint viza ya EAC huo na mipaka ya wazi. Tanzania itakuwa
>> hub ya ndege na uwanja wa Nairobi. Ni ujinga wetu tu.
>> Matinyi.
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Kitila Mkumbo" <kitilam00@gmail.com>
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA
>> Date: Thu, Jan 17, 2013 11:21 am
>>
>>
>> Wametoa sababu gani? Abira hakuna au?
>>
>> Hii ni mbaya kabisa!!
>>
>>
>>
>> On Thu, Jan 17, 2013 at 4:46 PM, Tracy John Kimambo <tracykwetu@gmail.com>
>> wrote:
>> BAADA YA KUFANYA KAZI TANZANIA KWA MIAKA ZAIDI YA 80 BRITISH AIRWAYS
>> SASA INAFUNGASHA VIRAGO KWA NCHI YA TANZANIA KUANZIA MWEZI MACHI MWAKA
>> HUU .
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment