Friday 18 January 2013

Re: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA

lutgardk

Kwa sisi wafanyabiashara huwa tunaiangalia Tanzania kama dhahabu coz
kuna opportunities nying sana hapa. Nashangaa watu husema wanataka
ku-export mazao wakati hata hapa kuna njaa. Produce more and get more.
Ongeza ndege

On 1/18/13, yahoo 2 <millcent@yahoo.com> wrote:
> Hello
>
> Huenda BA wanaona ni bora kupeleka ndege kwenye nchi zenye uchumi mkubwa
> ,heavy traffic na high net worth individuals kama China,Brazil na India
> kuliko Sisi Tz.Mji kama Shezhen(ambako hawaendi sasa) wanaweza kupata abiria
> mara 9 ya Dar.Wakati wa low season inakuwa mbaya sana kwao hapa...hamna
> abiria
>
> Tukumbuke kuna uhaba wa ndege na marubani kwenye hii market
> landscape.Kampuni nyingi zimetokomea kama Sabena,Lufthansa,Swiss Air etc
>
> Sisi wa Tz utakuta mtu yuko Business Class(kwa sababu ya kulipiwa na
> serikali) lakini hatakununua duty free kwenye ndege ni tabu
>
> Nafikiri ni market re-positioning
>
> Tz tunawavutia low cost airlines kama Fastjet etc.Hawa wanaotaka niche ya
> high end wata exit tu
>
>
> Sent from Hygiene & Pests Management Ltd iPhone 5
>
> On 18 Jan 2013, at 9:00, Constantino Kudoja <c.kudoja@zantel.co.tz> wrote:
>
>> Kabla ya kuamua nini cha kufanya,ni vizuri kupata kufahamu sababu ya wao
>> kuamua kufunga shughuli zao Tanzania.Nafikiri baada ya ndipo tunaweza
>> kupata mwanga wa nini tufanye kunusuru hali kama hii isije kutokea kwa
>> mashirika mengine pia.
>>
>> From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On
>> Behalf Of ezekiel kunyaranyara
>> Sent: Friday, January 18, 2013 8:57 AM
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA
>>
>> Matinyi,
>>
>> Ni kweli jambo hili ni baya sana na madhara yake ni makubwa kwetu
>> kiuchumi. Sasa kama unaweza hebu shauri tufanye nini ili kunusuru hali
>> hii. Je tuwe na usafiri wa kutumia ndege zetu kama ATCL ambayo nayo iko
>> taabani.
>>
>> Hebu tuchangie mawazo tunaweza kufanya nini, je mazungumzo yatasaidia au
>> tuache tu tuendelee kulalamika na kulia tu basi? Inaumiza
>>
>> K.E.M.S.
>> From: "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Thursday, 17 January 2013, 8:41
>> Subject: Re: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA
>>
>> Hili ni tatizo kubwa mno kwetu kiuchumi. From March, hakuna direct flight
>> ya London. Inatuma ujumbe mchafu kabisa. This is bad guys, tuache mchezo.
>> Ndiyo ujinga wa joint viza ya EAC huo na mipaka ya wazi. Tanzania itakuwa
>> hub ya ndege na uwanja wa Nairobi. Ni ujinga wetu tu.
>> Matinyi.
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Kitila Mkumbo" <kitilam00@gmail.com>
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA
>> Date: Thu, Jan 17, 2013 11:21 am
>>
>>
>> Wametoa sababu gani? Abira hakuna au?
>>
>> Hii ni mbaya kabisa!!
>>
>>
>>
>> On Thu, Jan 17, 2013 at 4:46 PM, Tracy John Kimambo <tracykwetu@gmail.com>
>> wrote:
>> BAADA YA KUFANYA KAZI TANZANIA KWA MIAKA ZAIDI YA 80 BRITISH AIRWAYS
>> SASA INAFUNGASHA VIRAGO KWA NCHI YA TANZANIA KUANZIA MWEZI MACHI MWAKA
>> HUU .
>>
>> --
>> Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
>> International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma

>> No virus found in this message.
>> Checked by AVG - www.avg.com
>> Version: 2012.0.2221 / Virus Database: 2639/5540 - Release Date: 01/17/13
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment