Friday 25 January 2013

Re: [wanabidii] BAADA YA VULUGU YA KIBITI JANA LEO NI DUMILA -MOROGORO

Kulwa,

Ni matunda ya tunachokihubiri kwa watu "kutotawalika kwa nchi" na ombwe hili halitaishia utawala wa ccm peke yake, litaendelea kwa kipindi kirefu labda dictatorship imalize hii Lawlessness!

Mahatma Ghandi alifundisha watu kuwa "uchafu" wazungu hawaupendi, na hivyo akahimiza watu wajisaidie popote na kusahau usafi" walifanya hivyo na kuwafukuza waingereza 1947. Lakini tabia hiyo ikaendelea hadi leo wahindi na usafi ni vitu viwili tofauti na umaskini umechagiza hali kuwa mbaya sana.

Tumeanza kuvuna matunda ya carelessness political rhetoric inayoondoa the rule of law.

------Original Message------
From: KULWA MAGWA
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BAADA YA VULUGU YA KIBITI JANA LEO NI DUMILA -MOROGORO
Sent: Jan 25, 2013 13:16

balaa gani tena katika nchi limeibuka?

On Fri, Jan 25, 2013 at 1:06 PM, Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com> wrote:
Ni "vurugu" sio "vulugu" ndo kiswahili fasaha! Hii haiondoshi ujumbe ulioutoa.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 25 Jan 2013 13:02:15
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] BAADA YA VULUGU YA KIBITI JANA LEO NI DUMILA -MOROGORO

Redio one muda mfupi uliopita imetoa briefing kwamba barabara ya
morogoro- Dodoma, maeneo ya Dumila imefungwa na wananchi tangu asubuhi
kwa sababu ya migogoro ya ardhi. Mwenye taarifa zaidi atujuze

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment