Sunday 20 January 2013

Re: [wanabidii] Ajira viwandani

Ndugu Senkondo

Uzalendo wa mtu unaanzia mbali sana tokea huko tumboni mwa mama yako , majumbani , mashuleni kwenye elimu ya uraia na mengi zaidi .
Kwenye suala la miti siwezi kuongelea kwa sababu sina uelewa wa kutosha kuhusu hili mpaka niwe na muda wa kupitia vitu fulani fulani ila tukija kwenye suala la ajira kwa ujumla kwa tanzania na nchi nyingi za dunia ya tatu haswa zilizo chini ya jangwa la sahara kuna shida kubwa la nguvu kazi yenye uelewa wa wanachofanya , uaminifu , uchapaji kazi , ubunifu na maslahi .

Nimeongea hili sasa hivi sio kama Mwanasiasa mwenye kiwanda ila kama mtu aliyekuwa kwenye biashara wenye aina kadhaa za biashara zinazohusiana na viwanda , ujenzi na usafirishaji , huku bwana ukitaka mafanikio ulete nguvu kazi toka india au pakistan , kwenye magari yako na vifaa vya ujenzi na mitambo ya viwanda ni uchina  na orodha inaenda mbali zaidi .

Kama ukitaka tutoe watu kutoka Tanzania tutakuuliza kwa mafunzo gani mliyowapa vijana wenu ?

2013/1/20 <esenkondo@yahoo.com>
Ndugu Yona
kweli ni vizuri tujiulize. Lakini kwa vile umeelimika swala hili linahusu Fair competition for all parties. Rushwa na kutofuata sheria kunafanya imported labour iwe cheap. Nenda kwenye viwand hivyo ukiona wageni wenye work permit bjoo unhukumu. Walio wengi hawna work permit wanaishi ndani ya viwanda wanatoka nje usiku tu. Kwa kifupi kama competition ingekuwa fair kuna wataalamu wengi wa viwanda vilivyokuwa vya kizalendo ambao wengeweza ku compete Ukitaka data za cubic mita ya miti inayoteketea viwandani hapo tunaweza kukutafutia. Kwa nini boiler zisitumie alternative source of energy ambayo ni rafiki wa mazingira?

----------
Sent via Nokia Email

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment