Thursday 20 December 2012

[wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Ndugu Rehani hata hivyo tuko kwenye mchakato wa Katiba Mpya kwahiyo
tusiwe na hofu katika kujadili suala kama hili , tuendelee kujadili na
tutapata muafaka kwa maslahi ya nchi yetu .

On Dec 20, 4:28 pm, Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk> wrote:
> OIC  maana yake ni organization of islamic community..inakuwaje sasa sio taasis ya kiislam?. Sema hivo,hiyo ni taasis ya kiislam lakini,membership yake iko extended even to other countries in that regard.
> Na moja ya maazimio yake ni kulaani israel na kutotambua uwepo wake ktk ramani ya dunia..hiki ndicho chanzo cha utata kwa watu makini .Ngupula
>
> ------------------------------
> On Thu, Dec 20, 2012 2:50 PM EET Yona F Maro wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> >OIC sio Taasisi ya Kiislamu ingawa ilianzishwa na nchi zenye ustarabu
> >wa kiislamu ndio maana kuna mataifa ambayo sio ya kiislamu
> >yaliyowanachama wa OIC kwa mfano UGANDA , BENIN , BURKINA-FASO ,
> >TOGO , SURINAME , Tembeleahttp://www.oic-oci.org/member_states.asp
> >kwa habari zaidi .
>
> >Pia kuna nchi ambazo ni watazamaji angaliahttp://www.oic-oci.org/page_detail.asp?p_id=179
> >hata umoja wa Afrika ambayo Tanzania ni Mwanachama wake nayo ni
> >Mtazamaji sasa kwanini Tanzania ihofie ? Basi tukaanze kampeni kuanzia
> >huko Ethiopia kwenye Umoja wa Afrika Makao makuu .
>
> >On Dec 20, 10:20 am, Baika Kahuta <bai...@yahoo.com> wrote:
> >> Huyu jamaa kama aliingia mikataba na wachina kwa ajili ya mambo ya kifamilia unategemea  kwa hili hawezi kufanya? Hapa ni kumuomba Mungu ili taifa lisitumbukie kwenye mikataba ya kishetani kama hiyo!
>
> >> Mt. B;
>
> >> Bukoba Municipal,
>
> >> Tanzania - East Africa.
>
> >> --- On Wed, 12/19/12, Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk> wrote:
>
> >> From: Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
> >> Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> >> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Date: Wednesday, December 19, 2012, 3:39 AM
>
> >> Bwana Yona,maadili na maisha ya mtanzania ni zaidi ya katiba, vipi wewe...unaijua hiyo OIC au unaisikia tu. Hebu fuatilia ujue dhumuni la kuanzishwa kwake na maazimio yake kisha uone kama nchi je yafaa tukubaline nayo. Wewe vipi kijana,kwa nini wadhani ni rahisi kuiingiza nchi katika mikataba dhalimu?.Kama kuna jambo la kuwagawa watanzania vipande vipande na wasikubaliane tena,ni hilo suala la OIC. Although kimsingi watu wapo kimya,lakini hawapo kimya kabisa bali wanaojua madhara yake hawapo katika majukwaa ya kisiasa.Ngupula
>
> >>         From: "BILLEGEYA, Mussa" <msbilleg...@yahoo.com>
> >>  To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >>  Sent: Wednesday, 19 December 2012, 12:30
> >>  Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>
> >> Nilishangaa siku moja kundi waliokuwa wanadai Tanzania ijiunge na OIC ni kwa sababu pia Imejiunga na VATICAN..!!!!????? Binafsi sijaona Hoja ya Msingi ya Tanzania kujiunga na "Taasisi ya Kidini" - Kisa eti TUNATAKA KUONGEZA MAENEO YA KUOMBEA-OMBEA MISAADA!!!!
> >>  Ridiculous!
>
> >>  BILLEGEYA, Mussa,Twitter: @MBillegeya
> >>         From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> >>  To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >>  Sent: Tuesday, December 18, 2012 10:38 AM
> >>  Subject: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>
> >> Hatuna sababu za msingi za kukataa OIC , mimi naona Tanzania ijiunge
> >> OIC
>
> >> On Dec 18, 8:25 am, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>
> >> > OIC kama haipingani na katiba mie sioni tatizo lakini kama hata kwa nukta
> >> > inakinzana na uhuru wa mtanzania basi it can go .......
>
> >> > 2012/12/17 Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
>
> >> > > nimesikia taarifa kutoka kwa watu ninaowbmini kuwa rais amewaita wabunge
> >> > > wakiislam na kuwataarifu kuwa hoja ya tz kujiunga na OIC inarudisha bungeni
> >> > > ktk bunge lijalo,na angetaka iungwe mkono. mtoa habari kwa kuwa anajua
> >> > > ninini maana ya nchi kama nchi kujiunga na jumuiya hiyo,alikuwa ni mwenye
>
> >>  huzuni sana na
> >>  yeye mwenyewe akishangaa sana kama rais anaweza fanya jambo
>
> >> > > hilo..Ni
>
> >> > > --
> >> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> > > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> > > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> > > DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> >> > > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> >> > > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> >> > > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> >> > > CALL : 0786 806028
> >> > > Free Delivery in Dar es salaam
>
> >> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> >>  kudhibitisha
> >> > > ukishatuma
>
> >> > > Disclaimer:
> >> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> >> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> >> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> --
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >> Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> >> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> >> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> >> TSHS : 360,000 , 1 YEAR
> >>  WARRANTY
>
> >> CALL : 0786 806028
> >> Free Delivery in Dar es salaam
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >> --
>
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>
> >> nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>
> >> Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> >> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>
> >> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> >> TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

> >--
> >Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> >DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> >80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> >DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> >TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> >CALL : 0786 806028
> >Free Delivery in Dar es salaam
>
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment