[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Merry Christmas and a very prosperous New Year 2013
Amen. Neema za Mwenyezi na upendo wake utuongoze sote kwa jinsi tulivyo bila kujali dini zetu, makabila yetu, mikoa yetu wala vyama vyetu! Heri ya Krismas na mwaka mpya kwenu wote¡