Thursday 13 December 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mama wa Kikurya aua jambazi kwa shaba

Kinachotufanya tushindwe mara zote ni woga na kutojiamini. 

Hongera bibi kwa kupambana na viajana majambazi wasiotaka kutumia bguvu zao kuzalisha na kujipatia kipato halali

Kuna mama mmoja mjane pia huku Arusha aliwahi kumua jambazi kwa panga

Majambazi baada ya kuvunja nyumba wakiwa sebuleni waliambizana kuwa chumba cha mama ni hiki hapa (kwani walikuwa na taarifa kuwa mama alikuwa na pesa alizozificha chumbani)

Jambazi wa kwanza alipoingia chumbani kwa ujasiri kwani walijua mama yuko pekee na hana silaha yeyote kumbe mama alikuwa akiwafuatilia na hivyo akachukua panga na stuli akamba juu ya stuli ili awe juu kidogo. Alichukua panga lake na kuinua mikono yake kuweka mkao kama wa kuchanja kuni na shoka. Jamaa alipoingia tu, mama kwa nguvu zake zote alimshushia panga na kumchanja kama kuni hadi akaangukia alipotoka Yaani sebuleni ali hali amekufa. Wenzake baada ya kuona mwenzao kachanjwa kama kuni walitumua mbio na haikujulika walipoteaje

Hongera Mama kwa ushupavu huo 

Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  Skype: lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter: http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, Google+: gplus.to/lembukivuyo

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment