Tuesday 18 December 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Magufuli apeleka bomoabomoa Mwenge-Moroko


Yes Kamanda fanya kazi yako

Maendeleo lazima yaje kwa gharama yeyote

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Tue, 18 Dec 2012 17:04:30 +0000
To: Mabadiliko<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: [Mabadiliko] Magufuli apeleka bomoabomoa Mwenge-Moroko

Magufuli apeleka bomoabomoa Morocco

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli.

 
Jumatatu,Decemba17  2012  saa 20:59 PM
 
"Wanaostahili kulipwa fidia walipwe na ambao hawastahili waondoke. Suala la kwamba mko kwenye mchakato life na libaki kuwa neno la wanasiasa tu," alisema Magufuli.
 
"Tengenezeni 'flyovers' nyingi nyingi, ni kazi ndogo lakini inashangaza kwa nini Tanroads inakuwa na kigugumizi," alisema Magufuli na kuongeza:
"Wahandisi wa Tanroads fanyeni hivyo, mbona kule Kenya mambo yamefanyika bila tatizo? Acheni kigugumizi na siasa mfanye kazi."

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1646158/-/item/0/-/13rrcxo/-/index.html

0 comments:

Post a Comment