Friday 7 December 2012

[wanabidii] Opportunity ya Website Design & Development

Kuna nafasi  za kazi za Website Design & Development kwa vijana wanaojituma na wenye bidii ya kazi:

 

1.    Kutengeneza Website ya Kampuni ya Ulinzi na Intelligensia

2.    Kutengeneza Website ya kampuni ya Consultancy

3.    Kutengeneza Website ya Regional Network ya EA

4.    Kutengeneza website ya Foundation

5.    Kutengeneza Website ya Kampuni inayotoa huduma mbalimbali za kibiashara

6.    Kutengeneza Blog

 

Sifa Za Mwombaji:

 

1.    Awe amesomea taaluma hiyo

2.    Awe anaujuzi wa kutengeneza Website na ameshatengeneza zaidi ya tano.

3.    Awe na bidii ya kazi na mwenye kujituma

 

Tuma maombi yako na CV na haraka kwenda Mtsimbe@gmail.com & sam@danimex.com

 

 

 

0 comments:

Post a Comment