Sunday 16 December 2012

[wanabidii] NYALANDU NI ZAIDI YA WAZIRI

Ninayofahamu machache kuhusu Nyalandu ambaye Ikulu inamlinda kwa maslahi fulani nadhani. Aliwahi kuandikwa kuhusu kashfa yakusafirisha binadamu toka Singida hadi Arusha, akawafanyia maonyesho kwa watalii eti kwa kisingizio walikuwa ni yatima, akapewa pesa zao za kuwasomesha kwa miaka 6, lakini hadi leo hajawahi kuziona. Ikaja suala la TBS, Wengi mnajua alipokuwa Naibu Viwanda na biashara, akalindwa. Likaja sakata jingine la kuvunja geti (kizuizi cha kukagua) kilichopo barabarani, akavunja vizuizi viwili ndani ya Jimbo lake, Kinyagigi na Kinyeto kwa gari lake T.505 BKM, lakini polisi walimlinda hadi leo, Pia anatuhumiwa kwa kutumia kampuni yake kupandisha watalii juu ya mlima Kilimanjaro watalii waliozuiliwa kupanda kwa sababu za usalama, lakini yeye aliwatambulisha kama wafadhili wa maendeleo jimboni Singida kaskazini, na sasa hili suala la mgongano wa maslahi Waziri wa Mali asili na utalii kuwa na Kampuni. Ni huyu huyu alituhumiwa kugawa rushwa uchaguzi wa UVCCM kwa viwango vya dola........... Shangaa watanzania. Ni huyu aliyetumia pesa michango ya sekondari ya Kinyeto kufanikisha shughuli za Arusi na Faraja Kota. Vipi suala la kumtishia Afisa wa TAKUKURU Bastola wakati wa kampeni alipokamatwa anagawa nyama usiku kijiji cha Matumbo-Mtinko, Ikaonekana kuwa tena ana uraia wa Marekani, (ana uraia wa Tanzania na Marekani), waliotaka kutoa ushahidi wakaonywa hadi leo sakata likapigwa chini. Lakini huyu ndo anaonekana msafi kuliko wengi CCM. Anabebeka!

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment