Wednesday 12 December 2012

Re: [wanabidii] YAH: Gari iliyokuwa ikitafutwa.

Asante Malata kwa taarifa hiyo.

Mimi nina mchango kidogo katika jambo hili kama rai kwetu sote juu ya jambo hili. Kwa kweli katika tukio hili mimi naona kuna mambo mengi sana ya kujifunza kwetu. Nilijaribu kufikiria kwa upana kuwa kwanini tukio kama hili liketokea. Sikupata jibu la haraka lakini kwa hisia zangu ni kuwa labda kwa kiasi fulani watu hatujawa na utamaduni wa kuwa wazi katika shughuli za maendeleao tunazozifanya kiasi cha kuwa baadhi ya mali tunasomiliki au biashara tulizoingia ubia na wengine kujulikana ama kwa watu walio karibu nasi au kwa mawakili. Je tatizo liko wapi hasa katika suala hili. Naomba jukwaa tujaribu kujadili na kupeana ushauri kuwa nini kifanyike ili hali kama hizo zisijetokea na kuwaacha wategemezi wetu katika hali ya kutokujua nini cha kufanya? Naomba kuwasilisha.

Ken

2012/12/12 Malata. <malata_3@yahoo.com>
Amani kwenu.
Wiki iliyopita nilitoa taarifa hapa jukwaani kuhusu gari namba T.204 AJP Saloon ya marehemu NIMROD LOTTI CHACHAGE ambayo dereva wake hakuwa ameonekana tangu kufariki wa marehemu Octoba 06,2012. Napenda kuwafahamisha kuwa gari hiyo hatimaye imepatikana jana jioni. Shukrani kwa wote waliofanikisha kupatikana kwa gari hiyo.Aidha shukrani za pekee kwa kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa Bwana Mwamakula na kikosi kazi cha vijana wanaoishi katika mazingira magumu-Ubungo aka watoto wa mitaani ambao walifanikisha zoezi hilo kwa asiliia kubwa.

Hata hivyo, baada ya upembuzi kwa msaada wa kampuni nyingine aliyokuwa akikatia bima imegundulika kuwa bado kuna gari tano ambazo zipo mikononi mwa watu.Gari zote hizo zimekatiwa bima mwezi wa tano mwaka huu. Gari hizo ni:-
  1. T.689 ACD Pick up
  2. T.609 AFE Saloon Mark II
  3. T.801 AGQ Saloon
  4. T. 558 ACM na
  5. T. 886 AKB.

Tafadhali naomba uonapo gari hizo mahali popote toa taarifa katika kituo chochote cha polisi au piga simu kwa namba zifuatazo.

MERY CHACHAGE 0752 881 984
ONESMO CHACHAGE :
______________________________
Without "Ethical Culture" there is No Salvation for Humanity
______________________________
A D D R E S S
John J. Malata
Vikindu Teachers` Training College.
P.O  Box 16268
DAR ES SALAAM
TANZANIA 
Mobile:    +255 754 351 868
Altenative  e-mail:    malata_3@live.com
Blog:http://pengotz.blogspot.com/

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment