Wednesday 19 December 2012

Re: [wanabidii] UCHOCHEZI WA CCM, GAZETI LA UHURU NA HATIMA YA TANZANIA

Kwa hulka ya viongozi wa Serikali ya CCM na chama chenyewe, kule tu kusema, "Tunawaambia wasipoitisha uchaguzi, narudia, wasipotangaza nafasi hizi wazi na kutangaza uchaguzi, hapatatawalika" ni kutishia vurugu.
 
Nilimsikia Mhe. Mbowe jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Mlimani TV, akitamka hili.
Alikuwa akiongelea alichokiita "uhuni wa serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi" kuendelea kunyamazia maeneo yapatayo 20 nchini ambayo hayana viongozi wawakilishi wa wananchi baada ya waliokuwepo kuondoka. Kuna kata hazina madiwani kwa miaka miwili sasa, hakuna uchaguzi unaotangazwa. Alisema anahisi ni hofu ya CCM kuwa uchaguzi ukiitishwa, kitapoteza humo. On record.
 
Jabir+

--- On Wed, 12/19/12, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:

From: Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UCHOCHEZI WA CCM, GAZETI LA UHURU NA HATIMA YA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, December 19, 2012, 2:32 AM

Magwa, Aliyoyasema Mbowe yamesikika, na vyombo vingine vya habari vimeripoti. Hatujasikia mahali pengine kwamba 'ametangaza vurugu' kama ilivyo kwenye gazeti hili. Nijuavyo, vyombo vya dola lazima vishughulike na yeyote anayetangaza vurugu nchini.

On 19 December 2012 14:09, KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com> wrote:
Miruko kama mwanataaluma unge-pin-point kwanini umehitimisha ulichosema maana ume-conclude tu

2012/12/19 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
RSM

0 comments:

Post a Comment