Sunday 16 December 2012

Re: [wanabidii] TAMKO LA BAVICHA MWANZA KUHUSU KUTAKA KUMNNG'OA MADARAKANI DR SLAA.

Ndaki.

Kwa kuwa ulimfukuzia mwanamke siku nyingi na baadae ukakamilisha taratibu akawa mke na ulikuwa una muona powa siku akikusaliti na kutoa unyumba kwa watu wengine utaendelea kumuona powa na kumvumilia au utachukua hatua?!

Samahani kwa mfano huu.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 16 Dec 2012 17:40:05 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA BAVICHA MWANZA KUHUSU KUTAKA KUMNNG'OA MADARAKANI DR SLAA.

Kama wananchi kwa sababu zao wakaamua kumchagua mtu mpuuzi na wote mnamjua ni mpuuzi then munasubiri mkishapata mgao wa ruzuku ndo mnaanza kumwona mpuuzi na kuanza kumfukuza tena bila ridhaa ya waliomchagua, huko ni kutowatendea haki wananchi waliomchagua. hii tabia ya kufukuza madiwani tena bila hata kuwauliza wala kuwaeleza waliowachagua, hiyo ni dharau tu. Leo kishaukwaa udiwani mnamwona hafai wakati anagombea alikuwa poa tu!

2012/12/16 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Sawa
 
Hata ujumbe wenyewe ulikaa kimipasho na kikejeli, tulijua kuna watu walitumika

2012/12/15 Gikaro Ryoba <rgikaro@yahoo.com>
Hizo propaganda za magamba wala hazifui dafu mbele ya M4C.

From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, December 15, 2012 11:11 PM
Subject: [wanabidii] TAMKO LA BAVICHA MWANZA KUHUSU KUTAKA KUMNNG'OA MADARAKANI DR SLAA.

KAULI YA VIJANA WA CHADEMA MKOA WA MWANZA

KWA nafasi yangu ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, nimelazimika kutoa ufafanuzi na kuweka kumbukumbu sawa na kutuliza munkari ya vijana wa mkoa huu na nchi nzima kutokana na habari zilizosambazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari.

Imeripotiwa katika njia hizo za upashanaji habari kuwa BAVICHA wanataka Katibu Mkuu wetu wa Chama, Dkt. Willibrod Slaa, aondoke madarakani na kwamba asipoondoka, wataandaa mandamano ya kumng'oa.

Napenda kutumia nafasi hii kusema maneno machache juu ya upuuzi huo ambao kila mtu anajua umetokana, unaratibiwa na kusimamiwa na CCM, ikiwa eti ndiyo moja ya mikakati ya Sekretarieti ya chama hicho inayoitwa kuwa ni mpya.

Kwa nafasi yangu, mimi ndiye msemaji mkuu wa masuala yote yanayohusu BAVICHA kwa mkoa wa Mwanza. Kwa mamlaka yangu ninaelewa fika vijana wa Mwanza hawajawahi, wala hawana mpango wa kubeba propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA na viongozi wetu kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu, akiwemo Katibu Mkuu, Dkt. Slaa.

Natumia fursa hii kuwaondolea wasiwasi vijana wa CHADEMA mahali kokote ndani na nje ya nchi, vijana wa Mwanza tuko imara kukilinda chama chetu na viongozi wetu dhidi ya propaganda za CCM na serikali ambazo zina lengo ya kudhoofisha harakati za kujenga taasisi imara inayobeba matumaini ya Watanzania kwa ajili ya ukombozi wa awamu ya pili.

Natumia nafasi hii pia kuwataka vijana wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza watulie, wakisubiri BAVICHA Mkoa ifanye maamuzi kwa kuzingatia maslahi mapana ya umma wa Watanzania na chama chetu dhidi ya hila, njama na uchu wa mtu mmoja mmoja miongoni mwetu ambaye anaamua 'kufika bei' na kubeba propaganda za CCM.

Napenda kuwaambia vijana wa CHADEMA kuwa mapambano ambayo chama chetu kinayaendesha kiasi cha kutishia CCM kuendelea kuwepo madarakani mwaka 2014 na 2015, ni mapambano ya haki dhidi ya udhalimu, ni mapambano ya matumaini dhidi ya kukataa tama, ni mapambano ya uadilifu dhidi ya ufisadi.

NB.
Mbali na tamko hilo wale vijana walionunuliwa na kujiita viongozi wa Bavicha wana safiri kesho kwenda Mara na wengine kwenda Mbeya. Wamepewa pesa nyingi sana kwa nia na madhumuni waliyo tangaza kupitia baadhi ya vyombo vya habari kule Mwanza.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment