Tuesday 11 December 2012

Re: [wanabidii] “Sisi wana CCM tunapaswa kutambua kwamba Tanzania siyo mali yetu” – Deo Filikunjombe - Mwanzo

Hayo ni mawazo yake. Nadhani yuko sahihi kama na yeye anaona hivyo. Kwa hiyo nafikiri mabadiliko yanatakiwa kuanza na yeye.

Hoja ambayo nadhani hakuiona sawa sawa kwa mtizamo wangu ni kisoma bure. Jambo hilo kama nchi tulijaribu tukashindwa ndipo tukaingia katika kilipia. Nafikiri kama kuna watu wengine tofauti na Mheshimiwa wanafikiri hivyo wanatakiwa kubadili mawazo hayo. Huku tuendako hayawezekani kabisa. Dunia hii siyo yetu wenyewe kuna watu wasio watanzania ambao wanaelekeza nini kifanyike kwa wananchi wetu. Mfano ni mfumo wa demokrasia ya magharibi ambayo tumeikumbatia utadhani tunaielewa kwa undani. Jambo lingine ni la mazingira pia linahusu ulimwengu mzima. Elimu pia inawngukia katika mfumo huu. Elimu inayokubalika katika ulimwengu mzima ni ile inayolipiwa (najua hapa nimezua hoja)

KEMS
------------------------------
On Tue, Dec 11, 2012 07:36 GMT Magiri paul wrote:

>MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) amekipasha chama chake, kwamba
>kimewafanya Watanzania waamini kwamba rasilimali za nchi ni mali ya chama
>hicho, jambo ambalo siyo sahihi.
>
>Filikunjombe alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam
>wakati wa kongamano lililoandaliwa na Kikundi cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu
>cha Dar es Salaam (UDASA).
>
>Alisema kwamba, kuna mitazamo imejengeka kwa wana CCM walio wengi, kwamba
>Watanzania wote ni mali ya CCM.
>
>"Sisi wana CCM hasa wale ambao tumepewa ridhaa na wananchi kuwatumikia,
>tunapaswa kutambua kwamba Tanzania siyo mali yetu, hivyo jambo la muhimu la
>kufanya ni kutumia nafasi zetu kuwaongoza na kuwaletea maendeleo kwa
>kutumia rasilimali za nchi. Kwa mfano, hawa maprofesa wa chuo kikuu wana
>nafasi kubwa katika kulijenga taifa na kuandaa kizazi chenye elimu lakini
>utashangaa kuona wasomi ndiyo wanaalikwa kwenye harusi na kuchangia
>mamilioni lakini kwenye sekta ya elimu hawahudhurii. Leo kila mtanzania
>akiamua kuchangia Sh 24,000 ni dhahiri wanafunzi wa vyuo vikuu vyote nchini
>watasoma bure, hivyo tuungane tuijenge Tanzania,"alisema Filikunjombe.
>
>http://wotepamoja.com/archives/10857#.UMbiAw8_tds.gmail
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment