Wednesday 19 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Napenda kufafanua kuwa maongezi yanahitajika kuwa na tija,kamwe tusichanganye suala la holy see,vatican na oic. kwanza ijulikane wazi kuwa vatican na holy see si jumuiya na wala havina maazimio ya kichochezi yenye kukwanza wengine.Hoja ya msingi hapa ni kuwa OIC malengo ya kuundwa kwake na maazimio yake yanapingana na mira,desturi na ustaarabu wa dunia na hata tanzania.Je ni halali kama nchi kuridhia na kujiunga na jumuiya hiyo?
ikumbukwe kuwa,watanzania hatuna mgogoro hata kidogo kama waislam wataamua kwenda kama wao ktk jumuiya hiyo.Lkn,viongozi wakiamua kama wao kumanipule na kuipeleka nchi ktk jumuiya hiyo,na ijulikane wazi kuwa,hilo suala halitatengemaa hata kidogo.na muda wowote atatafutwa mtu wa kuitoa huko tutakakokuwa.ili tusifike huko,ni heri suala hili likaachwa,na waislam watumue muda mwingi kuishawishi jumuiya yao,ama iondoe baadh ya vipengere au iruhusu wao kama waislam wajiunge na jumuiya hiyo.nchi hii imeshapata masaibu mengi kwa kuridhia vitu bila ya kwanza kufikiri,haitawezekana tena.Ngupula
------------------------------
On Wed, Dec 19, 2012 6:31 PM EET amour chamani wrote:

>Laurean,
>Afadhali sasa nimeambulia kitu ndugu yangu.
>Naomba usome nilichokisema kisha uangalie tena ulichonijibu hasa suala la HOLY SEE na VATICAN naona kama unavichanganya hivi vitu viwili ambavyo ni tofauti.
>Sikumbuki kusema chochote kuhusu uislam nadhani kwa maana hiyo naomba usinilishe maneno.
>Narudia tena kwa yoyote anayejua atueleze uhusiano wetu na hiyo HOLY SEE ukoje kisheria na je tunaweza kutumia mfano huo kuhalalisha hoja ya kujiunga na OIC?
>Anayejua haya atusaidie.
>
>
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>________________________________
> From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
>To: wanabidii wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Wednesday, December 19, 2012 9:15 AM
>Subject: RE: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>
>
>
>Ndugu Chamani,
>Sawa, niite "nshomile" au jina lolote, mimi huwa sijibizani na watu kwa mafumbo  na kejeli kama wewe . Kwani umeshindwa nini kusema kuwa tafadhali andika kwa kiswahili bila kejeli?- ni ushauri tu. Wewe usomi unauona kwa lugha ya kiingereza!

>Lakini hiyo hainiondoi kwenye mada.. Nitaandika kwa kiswahili, nimesema kuwa suala la Holy See na somo hapo juu halina uhusiano. Muktadha wa mada yetu hapo juu ni suala la Tanzania na kujiunga na OIC au la. Nikasema ukileta mada inayozungumzia juu ya kutambuliwa kwa Holy See kama nchi linajadilika kihistoria na kwa sheria za kimataifa. Na Kama unataka, leta hiyo mada tuijadili lakini usije na majibu mepesi ya hoja hapo juu kuwa kuingiza bila sababu za msingi uhusiano wa Tanzania na Vatican pamoja na Tanzania kujiunga na OIC.

>Na nikasema kuwa mimi sioni kwanini Tanzania isijiunge na OIC, maana tumewahi kujiunga na mashirika mengine ya hovyo. Mimi binafsi sina shida na Tanzania kuwa mwanachama wa OIC kama itawafaidisha ndugu zetu watanzania wenzetu waislamu. Sioni shida yoyote na hilo mimi binafsi. Na sielewi kwanini wanachelewa kujiunga. Sioni madhara yoyote.

>Na nikakupa ushauri, jitahidi kutomwona kila mtu akikupinga ni adui wa uislam  na sio kweli kuwa kila mada ikitaja uislamu au ukristo lazima iwe  ni dini kuhusu dini au imani pekee. Mambo mengine kama mada hapo juu ni ya kisheria na kidiplomasia zaidi. Kwahiyo, hoja lazima zijengwe kwa kuangalia vigezo hivyo.

>nakutakia siku njema.
>LR

>
>
>


>
>
>________________________________
>Date: Tue, 18 Dec 2012 21:04:27 -0800
>From: bertmutta@yahoo.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>WANABIDDII, PLEASE MAINTAIN THE CONTEXT OF THE DISCUSSION!
>
>THE DIPLOMATIC RELATIONS BETWEEN TANZANIA AND VATICAN IS QUITE A TOTALLY DIFFERENT SUBJECT FROM TANZANIA JOINING OIC- SEEMINGLY WE ARE DERAILED IN DISCUSSION - WATCH OUT.
>
>--- On Tue, 12/18/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>
>
>>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Tuesday, December 18, 2012, 8:47 PM
>>
>>
>>Laurean,
>>Wacha "unshomile" mimi kimisheni sikijui
> vizuri.Nakuwa huru nikizungumza nawe kwa kiswahili na nadhani wengi wetu tuko hivyo.Naomba uniongoze kwa kiswahili ili nami niwe na la kuchangia.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>________________________________
>> From: Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
>>To: amour chamani <abachamani@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Tuesday, December 18, 2012 3:16 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>>
>>Ndugu Chamani,
>>Holy See as you call it is an internationally recognised state!
>>We can debate why Vatican is recognised, but that's a subject of a different forum. It doesn't fit into the context above.
>>
>>I don't seem to follow your argument by relating the matter at handy with our diplomatic relations with Vatican.
>>
>>I may agree with you why the vatican is recognised as a state, if you had brought a subject relevant to the topic.
>>
>>I think, if we have to have a sober debate and discussion, we need to do it without religious lens ( no offence intended)
>>
>>So let's debate why we think Tanzania should join OIC without connecting it with and in respect of , I have no objection as a person. we have associated with some rubbish organisations, if this brings our muslim brethren together, why not?
>>
>>So let the country join OIC!
>>
>>LR
>>
>>
>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
> Tanzania.
>>
>>-----Original Message-----
>>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>Date: Tue, 18 Dec 2012 12:04:28
>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>>
>>
>>kim,
>>Yona akisha eleza nadhani haitakuwa vibaya nawe au mtu mwingine akatufahamisha sababu na faida za kuwa na uhusiano wa kidiplomasia na HOLY SEE akizingatia vifungu vya katiba yetu na mikataba yetu nao na uhalali wake.
>>
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> 
>>----------------
>>From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Tuesday, December 18, 2012 2:31 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] Re:
> Tanzania sasa kujiunga na OIC?
>> 
>>Yona,
>>Usiseme mambo kijuu juu tu. mtueleze ni faida gani ambazo tutazipata!!
>>Mtueleweshe kwa mifano, hao waliomo wamepata faida gani!! Ikiwezekana
>>tupate na makarabrasha yao kuhusu kuwahusu, kuhusu wanachama na
>>mengineyo ya lazima kwetu kuyaelewa!!
>>
>>--
>>*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
>>his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
>>*
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <>
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <>
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <>
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786
> 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <>   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es
> salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>> 
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>> 
>>TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>> 
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> 
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> 
>> 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment