Wednesday 19 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Bwana Yona,maadili na maisha ya mtanzania ni zaidi ya katiba, vipi wewe...unaijua hiyo OIC au unaisikia tu. Hebu fuatilia ujue dhumuni la kuanzishwa kwake na maazimio yake kisha uone kama nchi je yafaa tukubaline nayo. Wewe vipi kijana,kwa nini wadhani ni rahisi kuiingiza nchi katika mikataba dhalimu?.Kama kuna jambo la kuwagawa watanzania vipande vipande na wasikubaliane tena,ni hilo suala la OIC. Although kimsingi watu wapo kimya,lakini hawapo kimya kabisa bali wanaojua madhara yake hawapo katika majukwaa ya kisiasa.Ngupula



From: "BILLEGEYA, Mussa" <msbillegeya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 19 December 2012, 12:30
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Nilishangaa siku moja kundi waliokuwa wanadai Tanzania ijiunge na OIC ni kwa sababu pia Imejiunga na VATICAN..!!!!????? Binafsi sijaona Hoja ya Msingi ya Tanzania kujiunga na "Taasisi ya Kidini" - Kisa eti TUNATAKA KUONGEZA MAENEO YA KUOMBEA-OMBEA MISAADA!!!! Ridiculous!

 
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya


From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, December 18, 2012 10:38 AM
Subject: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Hatuna sababu za msingi za kukataa OIC , mimi naona Tanzania ijiunge
OIC

On Dec 18, 8:25 am, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> OIC kama haipingani na katiba mie sioni tatizo lakini kama hata kwa nukta
> inakinzana na uhuru wa mtanzania basi it can go .......
>
> 2012/12/17 Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > nimesikia taarifa kutoka kwa watu ninaowbmini kuwa rais amewaita wabunge
> > wakiislam na kuwataarifu kuwa hoja ya tz kujiunga na OIC inarudisha bungeni
> > ktk bunge lijalo,na angetaka iungwe mkono. mtoa habari kwa kuwa anajua
> > ninini maana ya nchi kama nchi kujiunga na jumuiya hiyo,alikuwa ni mwenye
> > huzuni sana na yeye mwenyewe akishangaa sana kama rais anaweza fanya jambo
> > hilo..Ni
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> > CALL : 0786 806028
> > Free Delivery in Dar es salaam
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment