Ndugu Chamani,
Sawa, niite "nshomile" au jina lolote, mimi huwa sijibizani na watu kwa mafumbo na kejeli kama wewe . Kwani umeshindwa nini kusema kuwa tafadhali andika kwa kiswahili bila kejeli?- ni ushauri tu. Wewe usomi unauona kwa lugha ya kiingereza!
Lakini hiyo hainiondoi kwenye mada.. Nitaandika kwa kiswahili, nimesema kuwa suala la Holy See na somo hapo juu halina uhusiano. Muktadha wa mada yetu hapo juu ni suala la Tanzania na kujiunga na OIC au la. Nikasema ukileta mada inayozungumzia juu ya kutambuliwa kwa Holy See kama nchi linajadilika kihistoria na kwa sheria za kimataifa. Na Kama unataka, leta hiyo mada tuijadili lakini usije na majibu mepesi ya hoja hapo juu kuwa kuingiza bila sababu za msingi uhusiano wa Tanzania na Vatican pamoja na Tanzania kujiunga na OIC.
Na nikasema kuwa mimi sioni kwanini Tanzania isijiunge na OIC, maana tumewahi kujiunga na mashirika mengine ya hovyo. Mimi binafsi sina shida na Tanzania kuwa mwanachama wa OIC kama itawafaidisha ndugu zetu watanzania wenzetu waislamu. Sioni shida yoyote na hilo mimi binafsi. Na sielewi kwanini wanachelewa kujiunga. Sioni madhara yoyote.
Na nikakupa ushauri, jitahidi kutomwona kila mtu akikupinga ni adui wa uislam na sio kweli kuwa kila mada ikitaja uislamu au ukristo lazima iwe ni dini kuhusu dini au imani pekee. Mambo mengine kama mada hapo juu ni ya kisheria na kidiplomasia zaidi. Kwahiyo, hoja lazima zijengwe kwa kuangalia vigezo hivyo.
nakutakia siku njema.
LR
Date: Tue, 18 Dec 2012 21:04:27 -0800
From: bertmutta@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

WANABIDDII, PLEASE MAINTAIN THE CONTEXT OF THE DISCUSSION! THE DIPLOMATIC RELATIONS BETWEEN TANZANIA AND VATICAN IS QUITE A TOTALLY DIFFERENT SUBJECT FROM TANZANIA JOINING OIC- SEEMINGLY WE ARE DERAILED IN DISCUSSION - WATCH OUT. --- On Tue, 12/18/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment