Friday 21 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Akhsante ndugu yangu Nchunguye Festo.

Yona,
Mbona mzito sana kuelewa!! OIC ni taasisi ya kiiislamu, misimamo yake
ni kwa faida ya waislam, wenye nayo ni waislam, hao wengine ni member
states tu!
Tunapofanya maamuzi yetu tusiangalie nani amefanya nini, haya mambo ya
kuiga hovyo yameturudisha nyuma sana. Tuna katiba yetu, misingi yetu
ya uongozi, mila zetu, sheria zetu ndani ya jamii, hata tabia zetu
watanzania ni tofauti na mataifa mengine! tujiamulie mambo yetu
kivyetu kwa kujali maslahi yetu.

Leo hii unataka kutusukuma tufunge ndoa na taasisi yenye msimamo wa
kuifuta israel kwenye ramani ya dunia kwa sababu tu wao wana conflict
of interest kwa palestina! Taasisi hiyo ina misimamo wa kupambana kwa
faida ya waislam ila hakuna hata kipengele kimoja kinachozungumzia
wakristo, wanaichukuliaje jamii ya wenzao??

Kwa niliyoyasoma kwa Nchunguye, kiukweli sitaki hata kuwasikia hao OIC
hapa kwetu. Tanzania haina dini, hakuna cha zanzibar wala nani. Hizi
zote ni vijiba tu vya ubalozi wa Vatican, kwani ubalozi wa Vatican
una-deal gani na serikali kimslahi?


--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment