Thursday 20 December 2012

RE: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?

Wewe Yona,
 
Sio suala la kuhofia, umesoma katiba yetu inasemaje kuhusu kujiunga na Taasisi kama hizo? nenda kasome katiba halafu tuje tujadili. Ila kwa taarifa yako kwa kufanya hivyo utakuwa unavunja katiba. Na sina hakika kama unaelewa consequenses za kiongozi wa nchi kuvunja katiba. Anapoapishwa anaapa kuilinda na kuitetea, akishiriki kuivunja katiba yeye mwenyewe ni hatari, je unajua matokeo yake?? usilinganishe na nchi nyingine kama hizo Uganda n.k. Inategemea sana wao katiba zao zinasemaje. Je unajua katiba ya Uganda, Burkinafaso na Benin zinasemaje kuhusu hilo?? Tusiwe tunapenda ku-copy na ku-paste kila kitu.
 
Selemani.
 
> Date: Thu, 20 Dec 2012 04:50:59 -0800
> Subject: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> From: oldmoshi@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> OIC sio Taasisi ya Kiislamu ingawa ilianzishwa na nchi zenye ustarabu
> wa kiislamu ndio maana kuna mataifa ambayo sio ya kiislamu
> yaliyowanachama wa OIC kwa mfano UGANDA , BENIN , BURKINA-FASO ,
> TOGO , SURINAME , Tembelea http://www.oic-oci.org/member_states.asp
> kwa habari zaidi .
>
> Pia kuna nchi ambazo ni watazamaji angalia http://www.oic-oci.org/page_detail.asp?p_id=179
> hata umoja wa Afrika ambayo Tanzania ni Mwanachama wake nayo ni
> Mtazamaji sasa kwanini Tanzania ihofie ? Basi tukaanze kampeni kuanzia
> huko Ethiopia kwenye Umoja wa Afrika Makao makuu .
>
> On Dec 20, 10:20 am, Baika Kahuta <bai...@yahoo.com> wrote:
> > Huyu jamaa kama aliingia mikataba na wachina kwa ajili ya mambo ya kifamilia unategemea  kwa hili hawezi kufanya? Hapa ni kumuomba Mungu ili taifa lisitumbukie kwenye mikataba ya kishetani kama hiyo!
> >
> > Mt. B;
> >
> > Bukoba Municipal,
> >
> > Tanzania - East Africa.
> >
> > --- On Wed, 12/19/12, Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk> wrote:
> >
> > From: Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
> > Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Wednesday, December 19, 2012, 3:39 AM
> >
> > Bwana Yona,maadili na maisha ya mtanzania ni zaidi ya katiba, vipi wewe...unaijua hiyo OIC au unaisikia tu. Hebu fuatilia ujue dhumuni la kuanzishwa kwake na maazimio yake kisha uone kama nchi je yafaa tukubaline nayo. Wewe vipi kijana,kwa nini wadhani ni rahisi kuiingiza nchi katika mikataba dhalimu?.Kama kuna jambo la kuwagawa watanzania vipande vipande na wasikubaliane tena,ni hilo suala la OIC. Although kimsingi watu wapo kimya,lakini hawapo kimya kabisa bali wanaojua madhara yake hawapo katika majukwaa ya kisiasa.Ngupula
> >
> >         From: "BILLEGEYA, Mussa" <msbilleg...@yahoo.com>
> >  To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >  Sent: Wednesday, 19 December 2012, 12:30
> >  Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> >
> > Nilishangaa siku moja kundi waliokuwa wanadai Tanzania ijiunge na OIC ni kwa sababu pia Imejiunga na VATICAN..!!!!????? Binafsi sijaona Hoja ya Msingi ya Tanzania kujiunga na "Taasisi ya Kidini" - Kisa eti TUNATAKA KUONGEZA MAENEO YA KUOMBEA-OMBEA MISAADA!!!!
> >  Ridiculous!
> >
> >  BILLEGEYA, Mussa,Twitter: @MBillegeya
> >         From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> >
> >  To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >  Sent: Tuesday, December 18, 2012 10:38 AM
> >  Subject: [wanabidii] Re: Tanzania sasa kujiunga na OIC?
> >
> > Hatuna sababu za msingi za kukataa OIC , mimi naona Tanzania ijiunge
> > OIC
> >
> > On Dec 18, 8:25 am, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > > OIC kama haipingani na katiba mie sioni tatizo lakini kama hata kwa nukta
> > > inakinzana na uhuru wa mtanzania basi it can go .......
> >
> > > 2012/12/17 Godfrey Ngupula <ngup...@yahoo.co.uk>
> >
> > > > nimesikia taarifa kutoka kwa watu ninaowbmini kuwa rais amewaita wabunge
> > > > wakiislam na kuwataarifu kuwa hoja ya tz kujiunga na OIC inarudisha bungeni
> > > > ktk bunge lijalo,na angetaka iungwe mkono. mtoa habari kwa kuwa anajua
> > > > ninini maana ya nchi kama nchi kujiunga na jumuiya hiyo,alikuwa ni mwenye
> >
> >  huzuni sana na
> >  yeye mwenyewe akishangaa sana kama rais anaweza fanya jambo
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > > > hilo..Ni
> >
> > > > --
> > > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > > > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> > > > DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> > > > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> > > > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> > > > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
> >
> > > > CALL : 0786 806028
> > > > Free Delivery in Dar es salaam
> >
> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> >  kudhibitisha
> > > > ukishatuma
> >
> > > > Disclaimer:
> > > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR
> >  WARRANTY
> >
> > CALL : 0786 806028
> > Free Delivery in Dar es salaam
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > --
> >
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >
> > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> >
> > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> >
> >
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
> >
> >
> >
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> >
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
> >
> >
> >
> > TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment