Thursday 20 December 2012

Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1 Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi

Kim, ukitumia heuristic methods ku-reexamine ulichokiandika utaona jinsi gani unavyopambana na mambo ya logic, kwa sbb humo humo unamopondea ndimo na wenzako wanamofagilia, kunakuwa hakuna haja ya kufanya upotoshaji kupitia ma-operesheni kuanzia yale ya CUF na sasa ya CDM tena kwa gharama kubwa sana ya muda, pesa, nguvu ya kudanganya wananchi kwa maandamano na vurugu wakati kama hakuna kilichofanyika ni hakuna tu na kama kipo kipo tu! Hebu cheki hapo... Do you make sense?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 20 Dec 2012 21:24:15
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Serikali ya CCM kutumia ITV, Star TV na TBC1
Kueleza mafanikio ya Serikali - William Lukuvi

Ndugu zangu,
Huna haja ya kumweleza mkeo/mtu wako wa karibu upendo ulio nao kwake!!
atauona kwa vitendo tuu, kama haupo ni haupo na inaonekana!!
Mnachokitetea kiko wapi! Sikatai CCM mmefanya mengi ya maana, ila
mengi zaidi mabaya. Hayo mliyoyafanya ya maana mnayojitapa nayo bado
si kwa kiwango kile ambacho inatakiwa.

Msijivune kwa maneno, acheni watu waseme wenyewe. Kuna AFADHALI na
POTELEA MBALI. CCM ni potelea mbali. na sasa tunasubiri AFADHALI 2015.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment